msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. Crocodiletooth

    Ni wajibu wa msanii kuwasilisha wimbo wake Basata kabla hajautoa au sheria inasemaje?

    Hili limekuwa linanitatiza sana je utaratibu unasemaje Kuhusu hili? Je msanii anaweza kutunga tu wimbo wake na akaurusha tu bila kuruhusiwa na mamlaka hii? (BASATA) na endapo msanii atafanya hivyo kiholela ni adhabu gani anaweza kukumbana nazo.
  2. BARD AI

    Kenya: Msanii wa Injili aomba radhi baada ya picha zake za utupu kuvuja mitandaoni

    Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili eneo la Kati Mary Lincoln amejikuta akiingia Kanisani kutubu na kutafuta maombi baada ya picha na video zake za utupu kusambazwa mitandaoni. Aliandamana na wasanii kadhaa akiwemo Karangu wa Muraya ambaye pia amekuwa akivuma mtandaoni kwa madai ya kuchukua...
  3. Shujaa Nduna

    Msanii wa vichekesho, Joti jitathmini katika hili

    Nimeangalia clip yake ya maigizo inayoitwa(kazi na ngono)katika igizo hili limeanza vema lakini ktk kumaliza nadhani lina utata. Joti aliigiza kama binti mwenye elimu ya digrii anayetafuta kazi, lakini bosi akamtaka kimapenzi ili ampe kazi na aliposhindwa kugawa uroda bosi hakumpa kazi. Joti...
  4. waziri2020

    Nabii Mkuu Dkt Geordavie amzawadia gari la kifahari BMW X5 msanii Mkaliwenu

    Katika hali isiyo ya kawaida mchekeshaji aliyejizolea umaarufu mitandaoni Jackson Sakwile maarufu kama “Mkaliwenu “ametunikiwa gari la kifahari aina ya BMW X5 na Nabii maarufu nchini Dk GeorDavie baada ya kukunwa na mashairi ya nyimbo aliyoitunga kwa ajili yake. Tukio hilo lilitokea hivi...
  5. Nakadori

    Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

    Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa. Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki...
  6. Chachasteven

    Kusah: Diamond sio msanii / Ruby ana mabwana wengi / ep yangu imetumia milioni 10

    Baada ya kuachia EP yake Kusa kasema haya
  7. Lycaon pictus

    Bongo hakujawahi kuwa na msanii mkali wa Reggae kama Bahati Bukuku

  8. U

    Ni Msanii Gani wa Bongo Fleva mwenye Nyimbo nyingi wa wakati wote,? Sugu, Juma, mond au prof

    Watanzania kwenye suala la kuweka kumbukumbu na takwimu tuna tatizo kubwa sana, kuanzia mtaani Hadi serikalini. Leo nimekaa nimejiuliza he ni msanii Gani wa Bongo Fleva anayeongoza Kwa kurecord trucks nyingi na zilizokuwa released sijaweza kupata jibu, lakini Kwa mawazo yangu anaweza akawa kati...
  9. Poker

    Ni mistari ya msanii gani au nyimbo gani ilikupatia mpenzi na je mpo naye au kilishaumana?

    Binafsi ile ngoma ya Mb dogg latifah ilinivutia pisi moja matata kwa kipindi hicho mtoto wa kiirawq kutoka haidom. Ila alikuwa machepele sana macho juu juu mwisho wa siku nikamkuta mitaa flani hivi na dingi mmoja kuanza kuliamsha popo yule demu akamwambia yuke dingi mimi ni mdogo wake nina shida...
  10. Countrywide

    Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

    Nimeziona baadhi ya picha za mtanzania mwenzetu na mwanaume mwenzetu Frank Maston. Ambae pia ni mwanamuziki. Picha zake zinanipa shida kubwa sana na sijui how ntarecover na nachokiona. Sikubaliani na hii kitu, wala sitaki pia kuhukumu lakini naamini jamii inaweza kutoa msaada kumtoa huko alipo...
  11. Infantry Soldier

    Ninaomba kumshauri msanii Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) ili aweze kuitangaza vema Wasafi Bet

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums. Ninaomba mwenye mawasiliano ya msanii Diamond Platnumz au anayeweza kunikutanisha naye ili niweze kumshauri juu ya namna njema ya kuitangaza Wasafi Bet. Smartphone yangu iliibwa mwezi May ila sasa ninatumia Whatsapp ya mjomba wangu number...
  12. I

    Marioo (TotoBad) amekuwa msanii lulu bongo kwa sasa

    Nimepata wasaa leo nikaskiliza album mpya ya barnaba classic. Ni album nzuri kwakweli lakini nilivyofika kwny track aliyomshirisha Marioo, kuna kitu tofauti kabisa nikagundua kwny ngoma hiyo. Yule kijana sasa hivi ni kana kwamba yupo ndani ya beat anaflow nalo kama mawimbi kwny bahari ,anafanya...
  13. JanguKamaJangu

    Msanii maarufu wa Rwanda, Yvan Buravan afariki Dunia kwa saratani

    Mwanamuziki maarufu Nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho. Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa akipatiwa matibabu. Buravan alianza kupata umaarufu mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa Malaika, baada ya...
  14. Mwizukulu mgikuru

    Msanii Tundaman anyang'anywa uanachama Simba

    Baada ya sakata la juzi kuingia la kuingia na jeneza uwanjani msanii tundaman amenyang'anywa kadi ya simba...na haikutosha mo dewji kamuambia asirudie kukanyaga ofisini kwake..
  15. Poker

    Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

    Binafsi huwa namkubali sana mwanamama Alicia keys nakibao chake cha fallin. Moja kati ya vibao vikali mno kuwahi kutoka kwake. Je wewe unamkubali msanii gani na kibao chako pendwa?
  16. N

    Hatari sana: Manara kesho kupanda kama msanii ataongea kiaina

    Agh, I never saw this coming. THE GREATEST HAJJ MANARA kawapiga watu chenga ya mwaka na atakayejaribu kumgusa itakuwa mwisho wake kushikilia cheo hapo TFF.........KIVIPI Intelejensia ya NJAAKALIHATARI imegundua kwamba kesho atapanda kama msanii wa mziki yaani back vocalist wa msaniii maarufu...
  17. Mung Chris

    Nigeria: Msanii agoma kumsapoti mwanasiasa kwenye kampeni ili heshima yake kwa kila mtu ibaki palepale

    Msanii maarufu nchini Nigeria na mchezaji wa filamu Nollyhood amekataa kiasi cha Naira 10,000,000 sawa na shillingi 54,935,758.91 za Tanzania ili kumsapoti mwanasiasa anayefanya kampeni, mwanasiasa huyo aliona akimtumia huyo msanii kwenye kampeni atapata wanachama wengi na kura zitaongezeka, ila...
  18. R

    SoC02 Malezi ya Msanii Diamond Platnumz katika kuibua mabilionea vijana kupitia vipaji vyao

    Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na alibaki akilelewa na mama yake mzazi aitwaye Sanura Kassim maarufu kama “Sandra”...
  19. M

    KWELI Msanii Rayvanny rasmi aondoka Wasafi

    Hayawi Hayawi sasa yamekuwa, ilianza kama kamchezo kakuigiza kutokupeana support za kupostiana kati ya Rayvan na wasanii wenzake wawasafi lakini utetezi ukawa mwingi, Ikafuata mama yake Boss wa Rayvan kumkatia Behewa Rayvan huko Instagram yaan Mama Dangote kumunfollow Rayvan. Zikaja Event zote...
  20. Poker

    Harmonize kwa sasa ndio msanii pendwa kuliko wote Tanzania na mwenye mafanikio kimuziki. Kuujaza Wembley Stadium Desemba

    Ukubali ukatae ila kwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri. Ana Show zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola laki 2 kuendelea mwezi wa 12 atakuwa na concert pale Wembley Uingereza. Na huenda akawa msanii wa...
Back
Top Bottom