Siasa za Tanzania na zile za South Africa zinaufanano kwa mbali hasa kwa vyama vya CHADEMA na EFF.
Mosi ni itikadi zao zilizojikita mizizi kwenye harakati za kutetea wanyonge.
Pili ni viongozi wa wakuu kukaa madarakani kwa muda mrefu.
Tatu ni kuhamahama kwa viongozi waandamizi wa vyama...
Kila shabiki kuna namna alianza kupenda muziki na hatimaye akajikuta hawezi kutoka tena!
Mi nakumbuka kwenye 90s mzee wangu alikuwa na music system ambayo alitoka nayo Russia na alikuwa akiplay ngoma kama Kesi ya kanga na nyingine za kikongo, muda ullienda baadaye nikawa nasikiliza wasanii...
Taharuki iliyotokea Kenya haina mashiko zaidi ya ujinga
Diamond Platnumz ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wala haina haja ya kubisha kufanya hivyo ni kukumbatia ubishi
Anaempa binadamu ukubwa ni Muumba na huwezi kulazimisha kuthaminika ikiwa watu hawakuthamini
Huyu...
Jana usiku kulikuwa na Tamasha pale Nairobi ambalo moja ya Wasanii walioalikwa kutumbuiza ni Wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz akisindikizwa na Zuchu huku Msanii mwingine akiwa Rayvanny.
Vurugu zilianza baada ya muda wa Diamond Platinumz kupanda stejini kufika ambapo Msanii wa Kenya...
Niko underground ndani ya town sina papara/ full mkoba taratibu ndani ya msafara/ usilete mkwara ipo siku nitatawala/ wakati umefika nimekita kama namadala / kenge wengine wote mi nawaona mafala/ night kisa Bongo ,Visiwani mpaka Bara/ nimekuwa kinara kila kitengo mi nang'ara/ Mc kichwa ngumu...
HAKUNA NOMA - PROFESSOR JAY.
"SIMPLE X"
" ni Extra extra ! Extra Vakaza hakuna noma !/ kazi ndio kwanza inaaza tega sikio upate soma la shahada ya kwanza/ Daima sintanyamaza kuongea yanayonikwaza/ hakuna noma bado nipo chuo kikuu nasoma/ Elimu jicho la tatu nalitumia kutazama/ naona wasanii...
Msanii huyu alikua mkubwa sanaa anapesa nyingi kumpa mwanamke gar ya thaman kwake ni kama kumnunulia kanga
Kuna muda alikua anapita tu mitaa ya kariakoo sasa hiv imebadilishwa jina inaitwa appoh street bas huyo msanii alikua anagawa tu pesa au akipita mtaan asipokupa hela hasikii hela yaan...
Najua huyu mnyarwanda Israel Mbonyi anapendwa sana na mashabiki wake na kama mnavyojua mapenzi upofu.
Ila sio mzuri kwenye kuimba live ameshindwa kabisa kuonesha uwezo kwenye show yake mlimani city.
Huwezi mfananisha wa waimba gospel kama Paul Clement .
Mbonyi ni aina ya wasanii wanaotoa...
Msanii Ashanti
Anaitwa Ashanti Sheqouiya Hayles maarufu kama "Ashanti" mwanamuziki mkongwe wa RnB kutoka nchini Marekani. Moja kati ya wanamuziki walioacha alama ya dhahabu katika muziki wa Marekani na dunia. Sauti anayo na sura yake ya kimahaba ndio iliyokuwa inawatoa udenda wengi kutamani...
Issue yake ya kukamatwa iko hivi, miaka minne ilyopita rapper king von ambaye ni swahiba wa durk aliuawa kwa risasi huko Atlanta akiwa anamletea usela mavi rapper mwenzake wa chicago wa kuitwa quando rondo wakamshoot
mwaka 2022 lil durk alituma member wa kundi lake la OTF (Only the family)...
FEMALE RAPPER SISTER P ALBUM..MAREKEBISHO.
SISTER P .
Kasi tulikuwa nayo sisi enzi zile, sasa hivi hakuna anayekuja kwa kasi, huyu (Chemical) anajitahidi kasi sio mchezo bado mapengo yetu yapo makubwa sana sasa hivi fake wengi sana, umarekani mwingi mbwembwe mpaka wanaharibu,” alisema...
Vipi hii historia unaikumbuka.
GCB KUNDI LA MUZIKI TOKA MKOANI SONGEA.
________________________
GCB ni moja Kati ya makundi ya mwanzo kabisa Nchini Tanzania kufanya Muziki kutokea mkoani "Songea"
GCB ilikua ni kifupisho Cha majina ya wasanii waliounda kundi hilo ..
👉🏿 G-G luck
👉🏿C-Cammy...
Kwa vigezo Hivi. Moja kwa moja twende kwenye Mada.
1. STREAMS KWA UPANDE WA SPOTIFY
Kwa upande wa hizi streaming platform Apple music ndo uongoza kwa kulipa vizuri ikifatiwa na Spotify, Youtube hulipa pesa ndogo zaidi. Kama unavyoona hapo chini
Ikumbukwe Diamond ni kinara upande wa Youtbe...
Habari wana JF
Natafuta msichana kijana mwimbaji mwenye mwonekano wa pop anayejua kuimba kwa Kiingereza katika maeneo ya sinza. awe age kati ya 18 - 21.
Kuna nyimbo za kingereza ambazo atakuwa anaimba kwenye crowd.
NAOMBA TUWASILIANE KWA NJIA YA WHATSAPP +255 759 702 766
nitumie: Whatsapp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.