Kazi na dawa! Ubalozi wa Tanzania Nchini Comoro umekuwa na wakati mzuri na msaanii Jay Melody ambaye ametumbuiza kwa onesho kabambe mwishoni mwa wiki kufuatia mualiko toka Taasisi za Sanaa Comoro. Mwanamuziki huyo ameweza kuvuta hisia za wacomoro wenyewe, Raia wa Tanzania na pia wa Madagascar...
Maneno ya Alikiba
"Hutawai niona nikipost pesa, magari makubwa ama vitu expensive namiliki, sio kwa sababu siwezi, ni kwa sababu nayajua haya maisha vyema, kuna watu wanateseka na wanatamani izo pesa na hayo maisha unayoposti.
Haina haja nipee mashabiki wangu pressure na hao ndio wamefanya...
Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja
Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani...
Hii live show ya Frida Amani ni ya level za kimataifa sana. Msanii gani mwingine anaweza kupiga live kwa level hizi?
https://youtu.be/vamUjgmitOo?si=lkBx8muRD9w-b2ek
Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe
Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo.
Nawatakiwa Asubuhi Njema
bongo
bongo fleva
diamond
diamond platinumz
kabla
kifo
kutoka
mashuhuri
mkubwa
msanii
mtumishi wa mungu
mungu
mwaka
mwanamuziki
nchi mbalimbali
nyota
tanzania
wachungaji
wawili
Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu.
Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.
Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa.
Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube.
Na pia anaingia kwenye orodha ya...
Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo
Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani
Nawasilisha
Msanii aliyetamba na ngoma ya Imekaa vibaya na Tumbo joto , Abdul Miraj maarufu kama Kali P amesema hataki tena kusikia masuala ya Muziki .
Kali P amesema ameamua Kumrudia Muumba wake na sasa hive ana takribani miaka 12 ameingia katika dini na ameachana na maswala ya Muziki.
"katika dini yetu...
Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace
Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu...
Diamond Platinumz msanii namba moja Africa ni zaidi ya msanii.
Mimi namuita mwanamapinduzi au kwa kilami wanasema game changer na anaendelea kulionesha ilo kwa vitendo.
Jambo lolote ambalo lilionekana haliwezekani kwenye industry yetu ya burudani yeye alibadilisha mtazamo na kuwa inawezekana...
Staa wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba amezindua radio yake mpya inayoitwa CROWN FM ambayo inapatikana 92.1 Fm.
Alikiba ameeleza sababu za kuzindua Radio kuwa ni njia pekee iliyoinua career yake na watu kumfahamu kupitia Radio.
Baada ya kuwa msanii kwa takribani miaka 20 sasa anakuwa...
BLACK WA USWAZI .
_____________________
Hatimaye leo tumefanikiwa kumpata mmoja Kati ya wachonga barabara kwenye Tasnia hii ya Muziki wa Bongo Fleva ambao juhudi zao ndio zimefanya Muziki Huu kuwa Hapa ulipo .
Kuna changamoto nyingi sana wamepitia wachonga barabara hawa Enzi Hizo ili kuumpa...
SUPPORT YA MSANII
SOGGY DOGGY ANTER KWA WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MKOANI MWANZA..
____________________
✍🏾 Bila shaka jina la Msanii Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a soggy doggy anter sio jina jipya masikioni mwa watu Hasa Kwa wadau na mashabiki wa Muziki wa Bongo fleva Nchini Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.