Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa watoto wa2000+ ambao hawajui muziki wa rap ukoje.
Unaweza kukuta Kila neno katika mstari linaelezea...
Familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imewataka wasanii wanaoigiza sauti za viongozi akiwemo Baba wa Taifa kuanza kutumia majina yao halisi badala ya kujitambulisha kwa majina ya viongozi wanaoigiza sauti zao na kuleta mkanganyiko.
Msemaji wa familia hiyo ambaye ni mtoto wa sita wa...
Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo vya Redio kuzuia kucheza nyimbo zake kwa zaidi ya miaka mitano na kukosa matamasha yao amekiri kuwa...
Ni vipi wandugu,niende moja kwa Moja kwenye mada.Juzi kati tumeshuhudia msanii akishushwa jukwaani punde tu baada ya kuanza kuiburudisha hadhira yake.Hili linaleta taswira flani yenye sintofahamu .Cha kujiuliza ni kwamba Je msanii aweza akawa amewakwaza hadhira au hadhira wamejawa tu na stress...
Tunaendelea..
Msanii G - solo : Nilikuwa katika Album Yao " Gangster with Matatizo " G.w.m" inaitwa " Mikosi"
Album ambayo ilikuwa ina nyimbo kama vile.
Side.. A.
1. Yamenikuta
Featuring – Mr II
2. Bwana Kidevu
Featuring – G Solo (2) & Mc Steav
3. Mguu Nje
Featuring – Dolla Soul
4...
Tunaendelea pale tulipoishia kwenye kipande kilichopita , mahojiano yangu " Ukwaju wa kitambo na msanii " G solo"
Msanii G solo : Kaka yao na wale kina Dada Crew ya " Unique sistes" ilinipa support kubwa sana kwenye upande wa ghalama za usafiri kutoka Dodoma hadi Dar es Salaam, ukaribu wetu...
MSANII G - SOLO
"Msanii wa Tanzania Gerald Mwanjoka ‘G-Solo’ aliyewahi kurekodi wimbo mmoja na msanii maarufu wa hip hop wa Marekani LL Cool J uliojulikana kwa jina la Hip Hop Is Everywhere..
Pamoja na ule wimbo uliomtambulisha vyema Hapa Tanzania akiwa amemshirikisha msanii Inspector...
Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID. Huyu jamaa kama utakurupuka hutaelewa..he is the smartest artist on earth
“STARTER the EP” Officially Out now Worldwide, Stream on All Music Streaming Platforms, Enjoy!!!
Bongo Flava Ndio Fahari Yetu, “STARTER The Ep” iko Hewani Kete ziko saba chaguo ni lako. Enjoy
As promised, 20th imefika Let me present to you “Starter The Ep” to you all my beloved fans, Now Out...
MSANII 50 CENT
"Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent
"Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu...
HISTORIA FUPI YA MSANII BAB LEE KATIKA TASNIA HII YA MUZIKI WA BONGO FLEVA..
"Bab lee jina langu halisi naitwa "Ally Omary " kiukweli mimi kwenye mambo ya muzuki nimeanza toka mwaka 2000 kwahiyo mpaka sasa nina Takribani miaka 24 katika game hii ya Bongo fleva.
Tangu nilipoanza Muziki...
Nilikuwa kwenye daladala jioni moja kutoka kwenye pirika zangu mara ndani ya gari Kuna wimbo ukawa unapigwa nakumbuka kiitikio tu " Wivu mama" ulinivutia sana ule wimbo hasa sauti ya mwimbaji na mashairi yake na ukizingatia ulikuwa ni wimbo wa singeli ikabidi niingie YouTube kutafuta ni msanii...
Hivi wasanii tukio wanalijua au wamejikausha,
Wasanii wanabagua viongozi wa kuwaimbia au inakuaje?
Wasanii hawa mfano msechu muda kama huu keshatoa nyimbo 10 , iweje kifo cha mshauri wa chama cha chadema yuko kimya!
Hawa wasanii mnawaelewa kweli au inakuajekuaje?
Nauliza je wamepost hata kutoa...
Huyu amemshirikisha Jay Melody katika ngoma yake kali FAR AWAY .Mwanzoni nilijua ni Mnaija mpaka nilipo mgoogle ndo nikajua m TZ.Nilishangaa sana.Kilichonishangaza zaidi ni mshamba wa kuvaa kama Marioo ! Nikashangaa zaidi inakuwaje Jay Melody anaruhusu hilo ? Sasa alieshirikishwa ndo kapendeza...
Mnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo hii ni habari njema sana!!
Mungu ni mwema kila wakati!!
Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo August 29,2024 imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo za muziki Nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi.
Wimbo bora wa taarabu...
Katika wasanii ambao nikisikiliza ngoma zao nazielewa namba Moja duniani ni rod wave nataka nijue Kuna msanii anaemzidi kipaji huyu jamaa duniani Sasa hivi nazungumzia kipaji a.k.a mziki mzuri sio umaarufu.
Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake Bwana alitoa Bwana ametwaa.
===
Msanii wa Bongo fleva Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa habari za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea...
Wakuu poleni na majukumu.Niende moja Kwa Moja Kwa mada.Ukweli usio kwepeka huyu mwanadada kutokea Nigeria amekuwa mwenye mvuto kila aendako.
Kina Drake Burnaboy na Justin Bieber wamekuwa wakimfuatilia Sana kila anapo rukia Stage.
Kwa Binafsi yangu nimemkubali Sana huyu Dada aje tuu hapa Bongo...
Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili
Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali Muziki wa Tanzania kuna ulazima wa kila mtanzania kuunga mkono jitihada zake za kukuza muziki wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.