msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. Msanii Soggy Doggy

    HABARI ZA WAKATI HUU WAFUATILIAJI WA JAMVI HILI LA UKWAJU WA KITAMBO. ................................... ✍🏻kama ilivyo destru yetu wadau na wafuatiliaji wa jamvi la Ukwaju wa Kitambo, huwa tuna desturi yakufanya mahujiano na wasanii wakongwe katika Game hii ya bongo fleva.. ✍🏻wiki hii...
  2. Msanii Jaiva wanawake wanampendea nini?

    Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana! Sitoshangaa huyu msanii akiwa anawapata wanawake kisa ana sauti nzito! Au pengine mimi sioni wengine wanacgo...
  3. Huyu msanii Nas B alipotelea wapi!?

    Aliimba Dua la Kuku, aliimba huko pamoja records.. I have a story with him. Anybody.. p'se..
  4. 2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

    2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
  5. Mtazamo wa msanii Balozi juu ya muziki wa hip hop duniani

    Mwanamziki wa Muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop Balozi Dola maarufu kwa jina la Dola Soul ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani amesema muziki wa Hip Hop katika nchi hiyo umepoteza uhalisia wake wa mashairi yenye ujumbe wa maisha badala yake sasa wamejikita zaidi kibiashara. Balozi aliyewahi...
  6. Video: Sanamu la msanii Take off latengenezwa

    Limekuwa ni jambo la kawaida kuona watu maarufu wakijengewa masanamu yanayofana na mionekano yao. Baada ya Rapa Take off kuaga Dunia mwaka 2022, Mr Official ametuletea sanamu lenye kufanana na msanii huyo ambae aliuwawa kwenye shambulio la risasi huko Houston Texas nchi Marekani. ANGALIA VIDEO...
  7. Harmonize ahofia kurogwa wimbo wake usifanye vizuri

    Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri. Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao amewashirikisha wasanii Bien toka Kenya na Boby Shmurda wa nchini Marekani. Hii ndio post Harmonize...
  8. Mbosso ndiyo msanii wa bongofleva mkali kuliko wote kwa live music. The best ever!

    Tangu mapinduzi ya muziki wa Tanzania yatokee kwenye miaka ya 1990 na kuzaliwa muziki wa kizazi kipya yani bongofleva kumetokea wasanii wengi hodari. Ila hajawai kutokea mpaka sasa msanii anaeweza kuimba live nyimbo au muziki wa bongofleva kumzidi Mbosso. Mbosso ni fundi wa live music. Anaimba...
  9. Hivi huyu msanii alinionaje? Saa moja na nusu milioni tano na ushee!

    Milioni tano na laki tatu na elfu kumi na mbili kweli! Kuna msanii mmoja wa kike maarufu sana hapa Tanzania amenishangaza sana. Msanii huyu kwenye bongo movie yupo kwenye mziki yupo ameniacha hoi sana leo. Kuna jamaa mmoja naye ni maarufu sana na anasifa ya kuongea sana na mbwembwe nyingi...
  10. Huyu Pasta Dominiki 'Nabii Kiboko ya Wachawi' ni nani? Nguvu yake ni ya Kweli? Siyo Msanii kama wa Kawe na Kimara Temboni?

    Kwa Nyomi Kubwa alilonalo sasa na Nyota yake inavyoanza Kungaa huku Akipendwa na Kukubalika zaidi kwakuwa huwa Habahatishi kwa Kukutajia Mbaya wako (hata kama ni Mzazi au Nduguyo) huku Akiwaumbua na Kukutajia Wachawi wako na akikuombea na kufanikiwa hawa wa Kawe na Kimara Temboni wasipomkalia...
  11. Maisha yanaenda kasi sana, Eti Shilole naye ana msanii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

    Maisha yanaenda kasi sana eti shishi baby naye ana msanii 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Msanii wake mwenyewe ni mpishi wake wa shishi food πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa cha kuchekechesha ni kwamba eti msanii ataendelea kupika na kutosha vyombo kama kawaida hapo shishi food wakati huo huo atakuwa anaimba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aliponiacha hoi Sasa...
  12. Msaada: Naomba anayejua jina la huu wimbo anisaidie na jina la msanii!

    Kwa anayejua jina la huu wimbo anisaidie ni muhimu sana. https://www.instagram.com/reel/Czn5se0IMrm/?igshid=MTdlMjRlYjZlMQ==
  13. D voice ndio msanii aliyefeli kuliko wasanii wote waliowahi kutambulishwa na WCB

    Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini. Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini...
  14. TANZIA Zahara wa Afrika Kusini afariki Dunia. Imedaiwa aliwekewa Sumu na Ndugu yake katika Sherehe ya Baada ya Mahari

    Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda mfupi. Zahara amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 35. Binafsi nitamkumbuka sana Zahara kwa...
  15. Happy Birthday Msanii🌷🌼🌻, lakini unanikera aisee

    Happy birthday kwako (kwangu) Msanii Leo umetimiza miaka kadhaa tangu uanze kupumua juu ya ardhi hii ya wadudi. Natumaini umejifunza mengi na kuona mengi kwenye dunia hii hii ambayo ni nzuri kwa wachache na shubiri kwa wengi. Ombi lako (as birthday wish) kwa uongozi wa JamiiForums kwamba...
  16. S

    Sina ushabiki wa kitimu kwenye muziki, ila Harmonize ni msanii wa ovyo sana

    Mimi huwa nashabikia muziki mzuri bila kuwa na U-team kama ambavyo dhana hiyo imejengwa hapa Bongo. Mfano: Team Diamond, Team ALIKIBA, Team KONDE n.k. Mimi msanii yeyote tu akiimba ngoma kali namkubali bila kujali ni Mondi,Kiba au yeyote yule. Unajua msanii ili u-maintain kwenye game ya...
  17. Msanii Harmonize β€˜Konde Boy’ alivyotibuana na Mabaunsa Uwanja wa Mkapa, ngumi zarushwa

    Inadaiwa Msanii Harmonize na team yake ya Konde Gang walienda VVIP kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026, wakati wa mapumziko, jana Usiku wa Novemba 21, 2023. Watu hao wakashuka kwa lengo la kuelekea Uwanjani inaaminika wlaitaka kwenda...
  18. Wimbo wa Msanii Darasa "I don't care (it's holiday)

    Chorus Kali sana na melody imetulia ila amezingua kwenye mashairi ya kitoto hajayapangilia,nadhani hakua serious na hii ngoma, angetuliza kichwa hii ngoma inebamba zaidi ya hapa sababu inaendana na sana na msimu huu wa sikukuu. Kama anaweza mwanetu angefanya remix na kuweka mashairi kwenye...
  19. RASMI: WCB wasafi wamtambulisha msanii wao mpya; D VOICE

    Katika usiku wa SWAHILI NIGHT iliyoandaliwa na lebo namba moja ya muziki nchini Tanzania; tarehe 17 november, wamemkaribisha msanii ambaye atakuwa chini ya Lebo hiyo ajulikanaye kwa jina maatufu kama D VOICE. D VOICE si msanii mgeni sana katika masikio ya wapenda burudani ya mziki nchini...
  20. Jose Chameleone: Hakuna msanii wa Tanzania na Kenya anayetufikia kwa Kuimba, wanabebwa na Mashabiki tu

    Msanii Mkongwe wa Muziki, Jose Chameleone amesema licha ya Muziki wa Uganda kuachwa nyuma na Kenya na Tanzania, bado taifa hilo linajivunia uwezo wa kuimba walionao Wasanii wake ambapo hakuna Msanii wa Tanzania wala Kenya anayefikia uwezo huo. Amekiri, Muziki wa Uganda uliyumba kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…