Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii
Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa)
Anyway nakumbuka niliomba mazungumzo binafsi nacwewe mkuu mshana(PM) na kwakuwa umefunga PM basi uliniahidi utanicheki na nimekuwa...
Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee.
Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili nilikuwa busy sana kuwabembeleza kuku wangu wanitagie na kutonoa mayai na kweli wamefanya hivohivo...
Habari za wakati huu,
Nina shida na Mshana Jr. Ewe ndugu Mshana Jr nimekutafuta PM lakini meseji haziendi. Uonapo uzi huu please naomba unitext.
Shukran.
UNAUFIKIAJE UTAKATIFU?.
Katika mambo ambayo, watu wamefungwa na kuona ni ngumu ni hali ya kufikia utakatifu.
Kanisa katoliki wamebaki kutangaza watu fulani, kuwa ni wenye heri na watakatifu. Tusijue wanatumia vigezo vipi. Ili hali mwenye kujua hilo ni Muumba.
Hakuna njia nyingine zaidi ya...
Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini?
Mosi, ni rahisi sana TAL kama mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA, kuipangua hoja ya Rushwa kwa kuwaeleza...
Heri ya jumapili: Jana juzi bhn Kuna jamaa yangu alipata kesi kubwa hapa dsm sasa katika kuhangaika jamaa wakashauri twende Kwa msisi tanga tukaroge tuokoe jahazi safari ya watu watatu ukaanza tumefika handeni tunaelekezwa Kwa msisi kumbe ni ndani ndani kabsa...
Rejerea mada juu.
am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee
Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.
2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.
Kusema kweli mke...
Habari Wana JF, Naomba Ushauri
Niende moja kwa moja kwenye hitaji langu.
Mwezi wa saba nilipatwa na uvimbe ghafla upande wa kulia wa shavu chini ya sikio. Uvimbe ulikuwa mdogo na haukuwa na maumivu yoyote hadi nilipougusa na kuuminya minya, hivyo nikaamua kuupuuza.
Hata hivyo, baada ya...
Habari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito...
Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr
Mnafanya Kazi nzuri na Kazi yenu itakumbukwa vizazi na vizazi.
Maandiko yenu mmeandika hapa JF niseme yanasaidia watu wengi kujitambua na kuondokana na ujinga.
Nyie ni hazina na mtaendelea kuishi katika akili za WATU.
Mna uwezo mkubwa Sana wa AKILI na...
Hii Ni maalum kwa wanawake wote ambao wamekuwa wakishika ujauzito na huwa zinaharibika kabla ya muda wake.
Sasa Leo tumewaletea kaujanja ambako hakatumii gharama kubwa katika kulidhibiti tatizo Hilo.
Huu unaouona pichani Ni mchicha, lakini siyo tu mchicha Ila Ni mchicha bwasi.
Huu mchicha...
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat".
Ni tumaini langu wote ni wazima.
Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma mpaka mwisho.
Kuna vitu vingi vinatokea katika maisha tunavichukulia kawaida but Ushawahi kujiuliza...
Nigerian guy living in Sweden smartly
married a Swedish lady, so as to be
legally certified with resident permit, but
the lady was not aware of this.
He lied to the lady that he is from Kenya because of the bad reputation of Nigerians in that part of Sweden.
After their wedding, the lady...
Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia...
1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar.
2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini.
3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka.
4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.