mshana jr

  1. Tanzanite klm

    Israel toka 1948 na Jeshi la IDF

    HISTORIA YA TAIFA LA ISRAEL TANGU 1948 NA VITA VITA KUU ILIZOPIGANA. UTANGULIZI (softcopy iliyokamilika ipo sasa 3000 tsh pekee) Katika karne ya 19 idadi kubwa ya Wayahudi waliishi katika maeneo kadhaa ya Milki ya Urusi yaliyotwaliwa na milki hiyo mnamo 1800. Uadui dhidi ya Wayahudi ulitokea...
  2. radika

    Iringa: Mahakama ya Wilaya yamwachia huru Abdul Nondo baada ya kutomkuta na hatia

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa leo itasoma hukumu ya kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi #Tanzania (TSNP), Abdul Nondo. Katika kesi ya msingi, Nondo anakabiliwa na makosa mawili ya kudanganya kuwa alitekwa, na kutoa taarifa za uongo, aliyoyatenda Machi 7, 2018. Mliopo iringa...
  3. Nasema

    Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

    Wadau wa JF Doctor naomba mnisaidie. Kwa kipindi cha takribani wiki mbili sasa jicho langu la kushoto limekuwa linacheza sana sehemu ya juu (inayoshikilia kope) na kusababisha jicho zima kucheza hadi wakati mwingine nalazimika kulifumba kwa muda. Hali hii imekuwa inatokea kwa vipindi tofauti...
  4. kunguni wa ulaya

    Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

    Tarehe kama ya leo 25.10.2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha Mnakumbuka? [emoji23][emoji23][emoji23] Habari ndio hiyo.
  5. M

    Wakati tunajadili na kushangaa ya Mo....

    ....kwa wenzetu mambo fulani ya kina Mshana Jr yanaendelea. Jisomee hapa BBC News | New York witches place hex on Brett Kavanaugh - Ikigoma kufunguka Google "NewYork witches place hex on Brett"
  6. presider

    Mechanical Technician

    Mimi n kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 29. Nlisoma Mechanical Engineering DIT mwaka 2010-2013. Nnatafuta company yoyote ya kufanya nayo kaz. Nna uwezo wa kufnya kaz kwenye Migodin na Company za Ujenzi kwenye Catpillar machine,Generator,Air compressor etc. Experience ni Miaka 2...
  7. Mwananchi wa chini

    "Kiburi za Msimu wa Korosho Kanda ya Kusini."

    Serikali ya CCM inaendelea kuboresha maisha ya watanzania kwa kuweka umeme vijijini na mjini. Mwenye Macho hambiwiii Tazama ! Umeme Vijijini hauchagui Aina ya Nyumba ! Tunaamini Uwepo wa Umeme utachochea Mapinduzi ya Kifkra na Maendeleo Kwa Wananchi wetu Vijijini Udumu Serikali yetu ya CCM...
  8. C

    Nilichojifunza kuhusu wanawake wanapenda mahusiano ya kutawaliwa

    Amani ya bwana Mungu iwe pamoja nanyi Ndugu Zangu! Katika harakati za mahusiano kila mtu amepata uzoefu wake wa namna moja ama nyingine, kwa uzoefu wangu katika mahusiano nimegundua jambo moja ambalo vijana wengi wa kizazi hiki wanashindwa kukigundua! Mpenzi wangu ni mwanamke niliyemdekeza...
  9. kabon14

    Nini maana ya ndoto hii?

    Habar wakuu.. Naomba wenye uelewa na haya mambo wanijuze. Ni zaidi ya maramoja imenitokea hii hali. Mara ya mwisho ambayo ni jana ilikuwa hivi.! Nilishtuka kutoka usingizini mida ninayo amka kila siku, lakin kutokana na kuwa jana ilikuwa siku yang ya kupumzika sikuona ulazima wa kuiacha shuka...
Back
Top Bottom