Mwanzo 11 mstari wa 4
Usitake kuniambieni wajenzi wa Babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana...
Mimi ni kijana wa kiume ambaye nipo kwenye mahusiano na binti wa kabila X. Binti anaupendo kwa kweli na anajua kupenda haswa ila changamoto iliyopo wazazi wangu kila nikikaa nao wananionya sana kuhusu hilo kabila na inatokea mara nyingine mzazi wangu ananipigia kelele nyingi akinisihi niachane...
Kwa muda mrefu sasa hapa Jf kumekuwa na mpambano.mkali Sana wa hoja Kati ya digba sowey na Mshana Jr kuhusu masuala ya ulozi na Uchawi huku kila mmoja akijinasibu kuwa na ufahamu mkubwa kuhusu taaluma ya ulozi kuliko mwenzake.
Tusiandikie mate wakati wino upo, Jesus is Here, John the...
Habari za usiku wana JF matumaini yangu muwazima wa afya kuhusu Corona tunaomba Mungu hatutetee.
Duniani kweli kuna mambo katika pitapita yangu nimekutana na picha ya mgongwa wa loa loa filariasis ambaye alipigwa picha ya jicho lake ,inatisha kweli kwani ndani ya jicho kwenye ile sehemu nyeupe...
Ama kwa uhakika mkuu Mshana jr leo umetuangusha bhana.
Baada ya kukusoma katika ule uzi wa Bawacha pale Mlimani City kwamba leo Mnyama hapakatwi bali anauwa, si ndio nikaagiza bia zangu kusherehekea ushindi lakini yaliyojiri wewe mwenyewe umeyashuhudia.
Kamanda mshana jr leo umeniangusha!
Ni ajabu na kweli baada ya yote yaliyotokea Moshi mwezi uliopita Mwamposa atunukiwa udaktari wa heshima. Mshana Jr alitabiri kupanda cheo kwa Mwamposa na sasa yamekuwa kweli. Watu wanapaswa kufunguka macho kuhusiana na yanayoendelea ulimwenguni tena siku hizi yapo wazi kabisa. Kuweni waangalifu...
Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM.
Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
Miaka kadhaa iliyo pita nilikuwa na tabia ya kwenda bichi, haswa ile beach ya msasani kupitia pale chole au kwenye kituo maarufu kinachojulikana kwa jina la Macho {kutokana na hospitali maarufu ya macho ya CCBRT}. katika maisha yangu hakuna kitu nincho kipenda sana kama kuogelea japo nimewahi...
Hivi ungekuwa wewe ndiye MCHAWI uchague moja kati ya hivi:
MOJA
Ubuni teknolojia ya kufanya shamba lijilime, lijipalilie na lijivune
PILI
Ubuni teknolojia ya kufungua mlango wa mtu (ikiwemo wa geti) uingie chumbani umnyanyue bila huyo mtu kuamka ukamlimishe fasta fasta kisha umrudishe bila...
Habari za asubuhi wanajamvi,
Nimeleta uzi hapa naamini nitapata msaada wa kimawazo. Kwa kawaida katika makuzi ya watoto malezi yanatofautiana na hivyo kuleta tabia tofautitofauti baina ya familia moja na nyingine au jamii moja na nyingine.
Hoja yangu ni kuhusu kuongeza IQ, Creativity and...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nasoma Chuo Degree Mwaka wa Pili, kuna binti mmoja mama yangu alinambia ni mzuri ana tabia nzuri, sema mimi nikawa napotezea sikuwa na haja hiyo. Siku moja nilienda kumsalimia mama nikamuona huyo binti, jamani ni mzuri balaa. Yeye baba ni Mzanzibar na mama...
Habari zenu,
Mambo yako hivi, kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kama zaidi ya mwaka hivi. Ndio main chick kwa sasa, kitandani nipo nae vizuri saana, yaani sina tatizo kitandani. Hapo juzi kati kuna mwanamke mwingine nikaanzisha mahusiano nae. Yule mwanamke wangu wa kwanza akajua, akalia...
Email. nipenguvu@gmail.com
Instagram. nipenguvu
“Ee bwana wangu! Nisahidie mimi mja wako”. Ilisikika sauti ya hofu kutoka kwa mama mmoja akiwa kanisani huku akiwa anatetemeka.Siku hiyo ilikuwa siku ya jumapili katika kanisa moja lililopo kijijini, pembezoni kabisa mwa mji uliozungukwa na...
Habari zetu wana JF,
Naomba mnisaidie kudadavua au kutolea maelezo kidogo au kwa upana kuhusu hiyo short notes ya mkuu lifecode nimejaribu kuchokoza mara kwa mara lakin holaa. Natanguliza shukuran. Trained bender
(Lifecode)
Language that the universe speaks is through symbols asigned into...
Naomba nianze kwa kuwasalimu, habari za wakati huu
Kwa zaidi ya nusu muongo nimekuwa nikifuatilia mijadala ya huku ndani JF nimekuja kugundua kuwa Taiifa hili na Afrika kwa ujumla tuna hazina kubwa ambayo hatuitumii kabisa
Naomba nianze kwa kusema kuna tofauti kubwa ya mtawala na kiongozi...
Wanafunzi wanaoendelea na masomo vyuo vikuu vya Tanzania hujishughulisha na shughuli mbalimbali za kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza, ikiwemo mizaha na vicheshi miongoni mwa wanafunzi wenzao.
Mabadilishano haya ya ucheshi husaidia wanafunzi wapya kuhisi sehemu ya utamaduni wa jumla na...
Umofia kwenuuu wanabodi!
Awali ya yote ningependa sana kumpongeza Dc Jerry Muro kwa jitihada zake za kuingilia Kati sakata hili la mali za marehemu .Naomba tuutumie uzi huu kama njia ya kumpa ushauri mheshimiwa DC wa namna ya kushighulika na sakata hili!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana...
Ndugu wadau,
Kwa yeyote mwenye connection ya kazi ya umeme ya size ya chini na ya Kati, iwe ya nyumba au kiwandani, akiweza kuni connect nitakupitia 30 percent ya value ya kazi ukitoa materials. Kazi yote nitaifanya kwa ufanisi mkubwa. Kumbuka na risiti ya EFD inatolewa inapohitajika. Please...
Mm n kijana wa 28yrs. Ilitokea kupata watoto wawili wa kike na binti wa kichaga (muuru) ambapo watoto hao wote walikuwa prematured chini ya miezi 7na walikufa wote kwa nyakati tofauti (walipishana mwaka moja).
Mtoto wa wanza alikuwa prematured wa miezi6 hospital ilikataa kumtoa ingawa...
Habarini za Alhamisi natumaini mpo vizuri sana, poleni kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema. kama ilivyo kawaida yangu ya kuwaletea makala za kutambua mambo mbalimbali kuhusu jamii kadhaa hapa duniani. kuanzia utamaduni wao, mila pamoja na namna ya maisha yao kwa ujumla.
Leo nitakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.