Mimi ni kijana ambae nipo kwenye umri wa kuuvuka ujana na kuuendea utu uzima. Miaka ya nyuma mara kadhaa nimeshawahi kuumizwa sana kwenye mahusiano. Ilifikia kipindi nikaamua kuyapa kisogo mahusiano. Mbinu haswa niliyokuwa naitumia ni ku hit and run.
Ila baadae miaka 6 nyuma nilikutana na...
Kuachana na kusherekea sikukuu hizi kwa kupata burudani mwanana Pia tuna ndugu zetu wa kidigital hutufurahisha sisi tuliokosa location
Nabandika vimbwanga vyangu nilivyoshuhudia hapa duniani mwaka huu nawe bandika vyako
:D:Dtamka neno moja la kijasiri
:D Mubashara
Naaanza Mimi
Ni asubuhi nimeaamka Mara pa
Naona ka sijielewi duuh
Kumbe ni J3 mitungi ya Jana
Imenichanganya ndo mana hata sielewi
Ni noma kwenda mbele siunajua tena wasela ndo ivo 😀😀😀😀😀😀
Tupieni na yenu wakuu tuchekane humu najua wengine sio watunzi wazuri kama nilivyo mm tu ila shuka tu
Kwa habari nilizozipata, leo hii 13/11/2020 zinaeleza kwamba Ofisi Kuu za Kanisa la KKKT (DKMS-KKKT) zilizopo Tanga katika wilaya ya Lushoto zinatarajiwa kufunguliwa tena
Ufunguzi huo utafanywa na Askofu Mkuu wa KKKT Dr. Shoo hii ni baada ya maridhiano kati ya Waumini na Uongozi wa Askofu...
Awali ya yote naomba kuweka interest zangu mbele, Mimi ni muumini wa mambo ya Kiroho. Ninaamini juu ya uwepo wa ulimwengu wa Kiroho. Nina amini kuwa, kabla ya mambo kuwa vile yanavyoonekana kuwa katika ulimwengu wa Kimwili, mchakato wake huwa unakuwa ulianzia Rohoni na baadaye kujidhihirisha...
Habari wadau,
Nimechaguliwa chuo zaid ya kimoja yaan DUT na CBE ila nimetumiwa sms ni confirm chuo kimoja ninachokita kupitia code number kupitia account cha chuo ninachokitaka.
Pia kuna chuo cha private niliomba ila siyo online na wamenichagua so nasubiri majibu ya majina waliyopeleka TCU...
Ipo hivi wachawi hawapatani na baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini.
Maji ya mvua!!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe.
Maji ya bahari!!! Hii...
Tutarajie kufurahia/Tutarajie kufadhaika
Vitu vinavyoongelewa na CCM mtu CHADEMA hawezi kukiona cha maana kwakuwa moja kiu yao ni kuona chama chao kinatawala nchi siku moja na na kipindi chao cha kutaka adhma yao hii itimie ni kipindi hiki watu wa CCM wawavulie kwakuwa ukweli siku zote...
Akili hupimwa Kwa matendo, na matendo huleta natokeo hasi au chanya. Maamuzi ambayo ni matokeo ya kufikifikiri hupelekea mtu kufanya matendo Fulani.
Swali nalojiuliza hivi sisi watu weusi je tunafanya maamuzi shihi Kwa wkati sahihi, je tunaweza kupima natokeo bora Kwa mambo yapi ya mfano...
Marekani imewawekea vikwazo waendesha mashitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku kadhaa baada ya mahakama hiyo kuidhinisha uchunguzi kuhusu tuhuma za uhalifu wa kivita unaodaiwa kutekelezwa na Marekani nchini Afghanistan.
WALE MASHABIKI WA USA NA WASHIRIKA WAKE, NA KUAMINI KUWA...
Dada mmoja alifiwa na mume wake kwenye ajali yapata mwaka sasa ni mzuri wa kila kitu nikajua mwaka hautaisha ataolewa so nna mishe zangu around anapoishi and simply ni mteja wangu since then, utani mwingi but with respect mwezi uliopita tukaanza kuwasiliana Kawaida tu bila maneno ya kuashiria...
Waisraeli wamerusha satellite mpya kwa dhumuni la ujasusi hasa kuichunguza Iran na teknolojia yao ya Mabomu ya Nyuklia.
Ni vipi waihofia Iran huku ninyi mnaowasujudu mnaamini kuwa wana akili sana kuliko mtu yoyote duniani. Kwanini wasiunde vifaa vya kufanya hayo mabomu ya Iran yawe maji ya...
NGUVU YA ULIMI.
Mwanadamu ana nguvu kubwa sana ya kumiliki mazingira aliyonayo-Hii ni zawadi kubwa sana kutoka kwa Mungu,tatizo wengi hatujui hii nguvu ya kumiliki na kutawala tutaitumiaje(Power to possess and rule by using Your soul and tongue).Leo nitazungumzia kuhusu ulimi,Ulimi ni kiungo...
Naomba kufahamishwa kwa nini katika nembo za kada za afya(sina hakika kama ni zote) zina nyoka.Nyoka ni alama ya nini,anawakilisha nini na kwa nini nyoka isiwe chura au binadamu.Nakumbuka katika nembo ya pharmacy kuna nyoka na hata katika nembo ya Muhimbili kuna nyoka pia si chuo si hospitali...
Mwanadamu yeyote kitu anachotarajia kabisa maishani ni furaha na amani. Utataka upate mpenzi mzuri, mrembo kuliko wote ili akupe furaha.
Mwanamke atataka mpenzi mwenye hela, mcha Mungu, mpole, etc akitarajia furaha. Utataka gari Kali sio kwamba likusafirishe tu, Bali pia likubebee jina lako...
Kuna siku nlikuwa nimelala, nikaota ndoto moja, yaan ilikuwa ni bonge moja la aidia ni kama MUNGU alinishushia, hii ilikuwa aidia MPYA kabisa kuwahi kutokea. cha kushangaza sasa nmeamka asubuhi nimesahau kabisa niliota nini, yani najua kuna kitu niliota lkn ndo hivyo tena nmesahau; back n time...
Nafikiri kwenye 3d hakuna future Wala present ni past tu so ni lazima tufe coz tulishakufagaa. to see the future is like to remember how it was. To see the future and you living straight to no where is impossible (tafakari)otherwize you knew it.
Buddah said we are all here because we know...
Habarini za asubuhi wakuu.
Ni desturi iliyopo kwa baadhi ya makabila na hata wazazi kuwapa wanao majina ya asili ,naweza kuita majina ya kiukoo..
Wale wote wenye majina ya asili naomba mtupe pamoja na Maana ya Hilo jina uliloitwa au ulilompa mtoto wako..japo baadhi huwa yanaleta ukakasii...
Habari wakuu !!,,
Leo nataka nitoe muongozo kidogo juu ya mamlaka ya anaye kulisha,,.Anaye kulisha kila siku ana mamlaka juu yako ya kukutuma ,kukuagiza ,kukupangia kazi ,kukupa maelekezo bila kujali wewe ni nani na yeye ni nani..
Poleni na changamoto za korona.
Ndugu msomaji, pole kwa shughuli na pilika pilika za kila siku katika harakati za kulizungusha gurudumu la maisha. Awali ya yote napenda kuwaletea mada ambayoitakuwezesha kumtambu mwanamke aliyetoka ama anayetoka kimapenzi na mwanaume mwingine
Itambulike kuwa lengo la uzi huu sio kuumbua bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.