mshana jr

  1. mzee wa kasumba

    Nimewakumbuka wapenzi wangu wa zamani

    Zawadi zawadi yangu, uwapi binti mweupe Kipenzi wa roho yangu, kabinti mwenye mapepe Na ahadi za kizungu, wacha ukweli nikupe Leo nimewakumbuka, ma X wa kitambo Kwakuwa mwana sanaa, nitawataja kwa beti Yameshapita masaa, simsahau Bahati Alojiona staa, ameolewa BABATI Leo nimewakumbuka, ma X wa...
  2. Amafita

    Najua huenda ikawa ndio mara yako ya kwanza kujua/kusikia neno hili

    Kwema wana JamiiForums?!!! Nadhani karibia kila mmoja atakayesoma uzi huu tangu umezaliwa umekuta watu wakitumia neno CHIPS na umekuwa ukilitumia kwa kipindi chote cha maisha yako. Labda kama ulikuwa hufahamu basi tambua kuwa neno mbadala la Kiswahili ni VIBANZI. Hivyo basi kuanzia leo ukienda...
  3. Amafita

    Nina uhahika 98% hawajui hili

    Habari wa JamiiForum. Najua imezoeleka katika jamii zetu kwa rika zote (watoto, vijana, wazazi na hata wazee) aidha wasomi au wasio wasomi kutumia neno Nimekumiss pale unapomaanisha kumkumbuka mtu hasa uwepo wake. Hata hivyo neno mbadala la kiswahili ni Kupeza hivyo basi unaweza ukwamwambia...
  4. Toosie Slide

    ApexTv na Noah

    Kwa wale wafatiliaji wa time traveler kwa kupitia hii YouTube channel, watakua wanamfahamu huyu jamaa anaeitwa Noah. huyu mtu alikua anasema yeye ni mtu kutokea future [2030]. Ameaminisha watu wengi sana kuhusu kusafiri kwa muda. Tarehe 23 July 2019, ApexTv walirusha video yake ambayo inaonyesha...
  5. Fortunatus Buyobe

    Barua ya majibu ya Msekwa kuwajibu Kinana na Makamba hii hapa

    BARUA YA MAJIBU YA AWALI. Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu; Ndugu Yussuf Makamba, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu; DAR ES SALAAM. Tarehe15 Julai, 2019. Nakiri kupokea barua yenu ya tarehe 15 07/ 2019 ambayo mliisaini wote wawili, na ikawasilishwa kwangu kwa mkono na Mhe...
  6. FENtastic

    Milango minne ambayo haijawahi kufunguliwa

    Kuna milango hapa duniani kwenye maeneo ya kihistoria kwa miongo au karne kadhaa haijawahi kufunguliwa. Swali linakuja ni kwanini? Imezoeleka unaweza kufungua mlango wowote utakavyo, lakini kiukweli kuna ambayo imepigwa kufuli au kuzibwa kiasi cha kwamba haifunguki kabisa. Pia haijajulikana kama...
  7. Myahudi Jr II

    Sasa nataka nijifunze Kiingereza cha Kuandika...

    Habarini wadau.... Kwa muda mrefu sanaa nimekua nikipata shida sana kwenye Lugha ya Malkia hasa kwenye kuandika/kuongea wakati humu ndani kuna wadau wengi sana wanaijua lugha ya malkia vizuri sana Kama kila mdau anavyoichukulia JF kuna mengi sana ya kujifunza. Ni hivi, Nikisoma kitabu cha...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Uchaguzi 2020 Wana Mbeya Tumekukataa Mh. Tulia

    Hii nimeichota sehemu... TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na watu wake wanavyodhani. Sawa anaweza kuwa mgeni kisiasa. Lakini hawezi kuwa mgeni wa hulka za...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    Enock Maregesi:- Utafiti na Majibu ya utafiti wa umri wa dunia

    Kutokana na utafiti wangu wa siku mbili zilizopita, nimegundua kuwa si kweli kwamba dunia yetu ina umri wa miaka 6,000 ya mwanadamu. Bali, ina umri wa miaka 13,000 ya Mungu. Biblia yenyewe inasema kuwa siku 1 ya Mungu ni sawa na miaka 1,000 ya mwanadamu (Zaburi 90:4; 2 Petro 3:8). Lakini...
  10. FOX21

    Tetesi: ZIWAFIKIE..!!

    Natanguliza salamu zangu na shukran kwa ndugu jamaa na marafi ndani ya hili jahazi, ni muda mrefu nimejarb sana kuweza kujiunga pamoja nanyi ila sio mgeni sana nilikuw nikpta 2 na kuzisoma post nying na kujifunza meng kutka kwa ndugu #Mshana jr, na wengineo. ...¤1 LOVE¤...
  11. princemikazo

    Bungeni Jamaica

    Haille Selassie Wa gwan Rastafari I Conquer the Babylon King of Lion..Pichani ni Baadhi ya Wabunge wa Jamaica wakiwa Bungeni wakifuatilia mjadala mujarabu...Yah Man Jah Bless Em'..Bless bless bless,Booom..!! @ChaliiYaKijengeJuu.
  12. Slowly

    Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

    Kitendo cha Maalim Seif kujiunga na ACT wazalendo na kuikacha Chadema kama wengi tulivyodhani sio jambo la kukurupuka ila ni well calculated timing attack against a well organized super power CCM. JPM ni mtu hatari sana kwenye siasa, ni mtu anayeona tatizo kwa haraka na kujiandaa kulikabili...
  13. Changes boy

    Dodoma city photo

    Picha Kali za dodoma. Makao makuu na jiji
  14. Njopino

    Vifundo vya mzunguko wa maisha

    Wasalaam wana Jf. wote Unaweza kuita majina yoyote fahafu mahusiano ya mambo au vitu hivi ambavyo kwa pamoja tuvijadili, ingawa Mimi nimeviita vifundo ambavyo vipo kwenye kamba inayoitwa maisha kuonyesha uhusiano wake, vitu hivyo ni Taarifa (information), Nguvu (power-leadership) na Pesa...
  15. Francis3

    USHAURI MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE 2018 KUHUSU COMB NA KOZI MBALIMBALI AMBAZO ZINAWAFAA KULINGANGA NA MATOKEO WALIOYOPATA

    Habari zenu, Kwanza kabisa kama kichwa kijielezavyo hapo juu ,leo nimemaua kuzungumizia kuhusu wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2018 na wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali kwa masomo mbalimbali mwaka wa masomo 2019. Nitazungumzia mada hii muhimu kwa kugusa maeneo yafuatayo...
  16. Tanzanite klm

    Uhusiano wa ardhi na mafanikio

    *Uhusiano wa Ardhi na maisha*17* Asalaam ndugu zangu,Hii ni jumatatu nzuri kubwa. - Kuna siku moja katika andiko langu na pia katika kitabu changu kipya *Mgodi kati kati ya masikio* nilielezea juu ya miongoni mwa namna za kupunguza na kuondoa madhara ya negative forces katika mwili na nafsi...
  17. S

    Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Heri ya mwaka wa 2019 wanabodi Naomba Uzi huu tuujadili kwa kuzingatia kuwa mnasaidia MTU ni muhimu sana . Jini mahaba linanisumbua sana, limesumbua ndoa yangu mpaka kutengana , limeharibu maisha yangu kiuchumi baada ya kuoa nikarudi sifuri kabisa. Naomba kuuliza jinsi ya kulifukuza milele...
  18. Sethshalom

    MERCEDES BENZ C CLASS KOMPRESSOR C 180 and C200

    Habari zenu wadau Kuna rafiki yangu ameniomba nimuulizie kuhusu hizi gari zote ni milango 3 na za 2003 ,Benz C class kompressor c180 na C200. ipi ambayo ni nzuri na inafaa kwa matumizi ya familia ya kawaida . Na kwa ujumla izi gari zina sifa gani ,mapungufu na faida zake Asante sana kwa majibu yenu
  19. neophyte

    Safisha maji na upate ladha nzuri ya maji

    PureLife Tap Maji safi ni nini? BF Suma PureLife ya Maji inashika nafasi ya 7 kati ya vifaa vyenye ubora na ufanisi wa maji kwa hali ya juu , kifaa ambacho kinaweza kuzuia chembe za 0.1amu na chembe ambazo ni ndogo mara 500 kuliko nywele. kinauzwa kwa bei ya punguzo ambayo ni 130,000/= piga...
  20. Tanzanite klm

    Attitude is everything

    ATTITUDE IS EVERYTHING -Mawazo chanya ndio msingi wa mafanikio katika maisha yako. -Inahitajika mikakati na smart hardworking kufikia malengo yako. -Uwezo ulionao ndani huenda ni mkubwa zaidi kuliko unavyodahani, au pengine kuna mtu aliyewahi kukuambia una uwezo mkubwa ukachukulia poa, au kuna...
Back
Top Bottom