mshana jr

  1. mrdream

    Je, kuna ukweli hapo kwenye utumiaji wa mafuta?

    Wadau nataka kununua gari. Katika pitapita zangu nimekutana na hili na nimesoma hayo maelezo nimeyapenda hasa kwenye ulaji wa mafuta.... Je, naweza kuipata kwa shilingi ngapi mpaka mkononi kama nitaagiza Japan? (Bajeti yangu inakomea 13-14 mil) itawezekana au niamke kutoka ndotoni? Khs spare...
  2. Sanyambila

    Zipi sababu za vijana wa sasa kukumbwa na mvi, hasa za ndevu?

    Wasalam wadau. Dunia ya Sasa imekumbwa na matatizo au changamoto ya vijana wadogo kiumri KUKUMBWA na MVI kidevuni na imekukwa Kama Natural modelling appearance (handsome) ukikutana na vijana kumi wa umri kuanzia 30 Hadi 40 vijana 6 au 7 Wana mvi kidevuni (white hair). Sasa baada ya MAELEZO...
  3. DR HAYA LAND

    Serikali watu wenye akili Sana Kama Mshana Jr, Bams, Robert Heriel kwanini msiwatumie wakaipeleka nchi Mbele?

    Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele. Mtu Kama Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli Bams Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka...
  4. msomalia

    Naomba ushauri wa kozi

    Ndugu samahanini kwa usumbufu,.nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne,ufaulu wake ni Division III(24) (kiswahili, english, history, geography)-𝐂 (civics, biology, phyisics, chemistry)-D mathematics-F Kwa huu ufaulu je aaply coarse ipi yenye uhafadhari kwa hali ya sasa kwenye vyuo vya...
  5. KING MIDAS

    E FM wachukueni Bujibuji, Mshana Jr na GENTAMYCINE, radio itabadilisha direction na kuleta ubunifu mpya

    Hebu fikiria hapa una GENTAMYCINE , kushoto una Mshana Jr na katikati kakaaa mkaka wa haja, Bujibuji Simba Nyamaume , Simba halisi wa kiume. Watu wanataka kusikia madini, fanya mabadiliko bro Majizo
  6. DR HAYA LAND

    Role model wangu ni Dr Issack Maro na Mshana Jr

    Dr Issack Maro wa Clouds :FM na Mshana Jr wa JF Hawa ndo vijana wanaojitambua hapa Tanzania, Elimu zao wanazifanyia Kazi vizuri naomba wazazi muwatumie hawa vijana Mshana Jr na Issack Maro Kama mfano Bora wa Jamii.
  7. Mohammed wa 5

    Unaonaga aibu kununua kitu gani dukani ukikuta muuzaji jinsia tofauti na yako?

    Mimi nikikuta muuzaji ni ke au unamkuta mama flani hivi wa makamo Kama ya bimkubwa mood ya kununua vitu hivi inaisha.. Condom Boxer Pedi kwa ajiri ya mchumba Chupi kwa ajiri ya mchumba Dawa za gono Dawa za kuongeza nguvu za kiume Energy Rasta Mafuta ya kupaka baby care Je, wewe unaonaga aibu...
  8. Jemima Mrembo

    Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

    Ramadhan Kareem. Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini. Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk. Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani...
  9. Mohammed wa 5

    Wazazi wanataka mjukuu wanashangaa hawajawahi kuniona na mwanamke

    Maisha Yana Mambo mengi Sana. Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 29 nakaribia 30 soon,mtoto wa pili Kati ya watoto watano nimemaliza chuo mwaka 2019 sasa hivi nipo mtaani napiga harakati zangu Mungu anasaidia maisha yanasonga JAPO familia yetu inajiweza kipesa sitegemei hela za nyumbani...
  10. Mohammed wa 5

    Naota ndoto kila siku nipo na mdogo wangu aliyefariki

    Wakuu naomba ushauri wenu Mimi ni mtoto wa pili Kati ya familia ya watoto watano Nina miaka 29 miaka mitatu nyuma nilipata msiba wa mdog angu tuliyefuatana ambaye mpaka kifo chake kinatokea alikuwa Yuko kidato Cha nne kifo chake kilitokea ghalfa tu Shida yangu Kila siku naota ndoto Niko pamoja...
  11. Zulu Man Tz

    Wako Wapi Vitukuu vya Nabii Nuhu?

    Historia Fupi ya Vitukuu vya Nabii Nuhu Kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu ya Biblia Mwanzo 10:1-32 Biblia imeonyesha uzao wa watoto wa Nuhu ambao ni Shemu, Hamu na Jafeti uzao ni kama ifuatavyo Wana wa Japheti ni Gomeri, Magogu, Madai, Javani, Tubali, Mesheki, na Tirasi. Wana wa Hamu ni Kushi...
  12. alovera

    Nimezaa na Mwanamke kutoka familia ya washirikina, najitoaje?

    Habari za siku nyingu wandugu, Mwaka 2010 nilioa mwanamke tuliyedumu naye uchumba takribani miaka 5 tena ndoa ya kanisani lakini huyo Mke aliniacha naye akakimbila USA, baada ya hapo mwaka 2012 nikapata mwanamke ambaye nilimkuta na mtoto mmoja ,na sasa tumeshazaa watoto watatu. Shida yangu ni...
  13. D

    Je, unakubali ndoa au unakataa?

    Wakubwa shikamoni kuna debate inaendelea hapa jamii Forums baina ya team mbili 1) KATAA NDOA 2)KUBALI NDOA Kwa upande kataa ndoa muwakilishi ROBERT HERIEL aliandika uzi huu "Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi" Kwa upande wa kubali ndoa ni MSHANA JR Kaandika uzi huu "Malezi...
  14. Bundakwetu

    Hongera Mshana Jr

    Napenda sana uandishi wako na uwasilishaji wa nyuzi zako hakika umestahili kuibuka mshindi katika Jukwaa hili nina mengi ambayo nimejifunza kupitia nyuzi zako, hasa tiba ya Chumvi hongera sana ila nipe mbinu ya kumiliki pesa na kujikinga na wachawi😂😂
  15. sifi leo

    Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

    Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu. Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili... Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima...
  16. DR HAYA LAND

    Mtu aliyekataa kumuhudumia Mzazi wake hadi anakufa, je, afanye nini ili laana imuepuke?

    Mtu aliyekataa kumuhudumia Mzazi wake hadi anakufa, je, afanye nini ili laana imuepuke? Mshana Jr Bujibuji Simba Nyamaume mchungaji Yaani Maisha ni hatari curse is real.
  17. sifi leo

    Familia ya Dkt. Rwakatare mtafuteni Mshana Jr wa JamiiForums haraka, ni ushauri wa bure!

    Enyi familia ya Dkt. Rwakatare nawashauri ushauri wa bure bure bure kabisa, mtafutieni mganga wa JamiiForums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni huyu Diwani hapotei hivi hivi. Mbona alikuwa hapotei mama yake akiwa hai? Mi nasema mtafuteni mshana...
  18. Sanyambila

    Ushauri kwa NECTA: Usimamizi wa mitihani kwa shule za Sekondari na Msingi

    Habari watanzania! Hivi karibuni Katibu mkuu wa NECTA aliyepita sasa ni naibu katibu mkuu TAMISEMI, ametuachia jambo geni kwenye usimamizi wa mitihani.anyway labda lina tija au wapo kwenye utafiti wa mfumo sijui kwanza nikwamba zamani ilikuwa walimu wa SEKONDARI walisimamia mitihani ya...
  19. Nazjaz

    Mshana Jr, havumi lakini yumo

    Huyu kaka kajaaliwa kujua almost mambo mengi sana. Kila jukwaa hapa JF ana mchango wake mkubwa tu. Be blessed kaka Mshana Jr
  20. Madame S

    Inakuwaje nikimfikiria mtu ambaye sijamuona muda mrefu, nikija kumuulizia kwa watu ninaambiwa kafariki

    Habari za wakati huu, Naombeni kujuzwa hii hua ina maana gani, yani ninakua namfikiria mtu ambae sjamuona muda mrefu mno ajabu nikikutana na mtu ninaejua anajua alipo nikimuulizia tu jibu no moja AMEFARIKI Mara ya kwanza kunitokea, kuna classmates wenzangu nilikua nikielewana nao mno, sasa...
Back
Top Bottom