Kutokea Dar to Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha

Kutokea Dar to Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha

habari wanajf naomba kuuliza kama natokea dar kwa gari ndogo kuelekea mwanza ipi njia fupi kati ya kupita dodoma au arusha,njapo njia ya dodoma niliishapita mara kadhaa ila arusha bado,nategemea michango yenu wakuu
Majibu yapo kiganjani mwako, Google. 🤔
 
habari wanajf naomba kuuliza kama natokea dar kwa gari ndogo kuelekea mwanza ipi njia fupi kati ya kupita dodoma au arusha,njapo njia ya dodoma niliishapita mara kadhaa ila arusha bado,nategemea michango yenu wakuu
Njia zote zinakutania Singida thus
Dar-Dom-Singida ni 702
Dar-Ar - Manyara-Singida ni 960 km
 
Habari wanaJF, naomba kuuliza kama natokea Dar kwa Gari ndogo kuelekea Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha, japo njia ya Dodoma niliishapita mara kadhaa ila Arusha bado

Nategemea michango yenu wakuu
Wewe na huyu kama stori moja:
Kuna global online kuhusu kesi moja ya kijana kufa miezi hii kituo cha polisi wakadai kutoroka chumba cha mahabusu na kwenda ofisi za mpelelezi na kukuta kisu ambacho ofisini wanatumia kukatia maparachichi ofisini.

Alipo ulizwa muriro alidai hiyo kesi ni ya zamani sana tokea mwaka jana .

IMG_1191.jpeg
 
Ukipita hiyo njia una save roughly kama km50 tu.

Labda aisiende Singida apite Ngorongoro, Serengeti atokee Bunda then Mwanza.
Japo ameuliza ufupi wa umbali (distance), in terms of time Manyoni - Tabora - Nzega takes less time kuliko Manyoni - Singida - Nzega kutokana na msongamano wa magari hususan wa malori kupitia Singida. Aliyepitia Tabora atawahi Nzega kuliko kupitia Singida.
 
jamani asanteni kwa michango yenu mnayoendelea kutoa nimepata mwangaza kama nilivyotangulia kusema njia ya dar to mwanza via dodoma nimepita mara kadhaa ila changamoto ni jam wakati mwingine unaweza tumia hadi masaa matano na ushee kuiona morogoro,endapo utofauti ungekuwa km 100 mpaka kuiona singida(ambako ni makutano)ningepita arusha
 
To mean utafika Singida urud m
Not true; kuna route Manyoni - Tabora - Nzega inaikwepa Singida. The best meeting point ni Nzega na sio Singida.
Bora na anaetoka arusha nae arud manyoni from Singida?
 
Not true; kuna route Manyoni - Tabora - Nzega inaikwepa Singida. The best meeting point ni Nzega na sio Singida.
Sikuhizi madereva wengi wa malori wanapita Sana hiyo njia ya kutoka manyoni-tabora- nzega
 
To mean utafika Singida urud m

Bora na anaetoka arusha nae arud manyoni from Singida?
Tafadhali rejea hoja ya niliyem-quote. Ukiwa Manyoni it is more efficient kupitia Tabora to Nzega than going through Singida. Hayo ya kutokea Arusha haikuwa hoja kwa niliyem-quote.
 
Japo ameuliza ufupi wa umbali (distance), in terms of time Manyoni - Tabora - Nzega takes less time kuliko Manyoni - Singida - Nzega kutokana na msongamano wa magari hususan wa malori kupitia Singida. Aliyepitia Tabora atawahi Nzega kuliko kupitia Singida.
Anauliza umbali kwa route ya Dodoma au Arusha.

Sasa akipita Arusha halafu atokee Singida ni hasara zaidi.

Labda akitoka Arusha aunge hapo Makuyuni atokee Serengeti, Bunda then Mwanza.
 
Sikuhizi madereva wengi wa malori wanapita Sana hiyo njia ya kutoka manyoni-tabora- nzega
Kupitia Tabora unateleza tu hakuna jam na wala rushwa wengi kama kupitia Singida ingawa hiyo ya kwanza it is slightly further than the latter.
 
Ukipita hiyo njia una save roughly kama km50 tu.

Labda aisiende Singida apite Ngorongoro, Serengeti atokee Bunda then Mwanza.
mkuu huko mbugani tairi kupasuka si kugusa ukizingatia niko na ka wish
 
Habari wanaJF, naomba kuuliza kama natokea Dar kwa Gari ndogo kuelekea Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha, japo njia ya Dodoma niliishapita mara kadhaa ila Arusha bado

Nategemea michango yenu wakuu
hakuna shortcut ya maana. Ukitoka Dodoma kama unataka uende mwendo wa haraka malori yakiwa machache, chepukia pale manyoni nenda itigi hadi tabora ndio ukaunge Nzega, badala ya kwenda singida, igunga nzega. watu wanakimbia singida kwa sababu ya malori mengi na zile senkenke, though njia ya singida kama malori yangekuwa machache ni fupi zaidi ya itigi to tabora. ukishafika nzega tu, hakuna shortcut nyingine hadi mwanza.
 
Back
Top Bottom