Wewe huna hata google map ukaangalia kabla ya kuuliza JF? Hiyo smartphone ni ya kazi gani kama kitu kidogo kama hicho umeshindwa kupata jibu... unakera mno.jamani asanteni kwa michango yenu mnayoendelea kutoa nimepata mwangaza kama nilivyotangulia kusema njia ya dar to mwanza via dodoma nimepita mara kadhaa ila changamoto ni jam wakati mwingine unaweza tumia hadi masaa matano na ushee kuiona morogoro,endapo utofauti ungekuwa km 100 mpaka kuiona singida(ambako ni makutano)ningepita arusha
Inahusiana nini? Ndo maana umelambwa banWewe na huyu kama stori moja:
Kuna global online kuhusu kesi moja ya kijana kufa miezi hii kituo cha polisi wakadai kutoroka chumba cha mahabusu na kwenda ofisi za mpelelezi na kukuta kisu ambacho ofisini wanatumia kukatia maparachichi ofisini.
Alipo ulizwa muriro alidai hiyo kesi ni ya zamani sana tokea mwaka jana .
View attachment 3308758
Panda ndege.Habari wanaJF, naomba kuuliza kama natokea Dar kwa Gari ndogo kuelekea Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha, japo njia ya Dodoma niliishapita mara kadhaa ila Arusha bado
Nategemea michango yenu wakuu