Kutokea Dar to Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha

Kutokea Dar to Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha

Anauliza umbali kwa route ya Dodoma au Arusha.
Duh! Starting point yake ni Dar destination Mwanza. Swali lake ni route ipi fupi kati kupitia Dar - Arusha - Mwanza au Dar - Dodoma - Mwanza?

Wadau wamemjibu; kwa kuwa routes zone mbili meeting point ni Singida kujua ni ipi ndefu zaidi calculate Dar - Arusha - Singida na Dar - Dodoma - Singida ambapo imeonekana ya Arusha ni mbali.

Mdau mmoja kasema kwa kuwa Singida ndio makutano ya routes hizo mbili blah blah nikamjibu ukitokea Dodoma sio lazima upitie Singida; kuna route ya Tabora pia ambapo no matter umepitia ipi mtakutana Nzega the true converging point regardless which route you go through. Understand?
 
Ukipita hiyo njia una save roughly kama km50 tu.
Labda aisiende Singida apite Ngorongoro, Serengeti atokee Bunda then Mwanza.
Shida njia hiyo atatumia gea kubwa eneo lote la mbugani hivyo atatumia mafuta mengi zaidi
 
Duh! Starting point yake ni Dar destination Mwanza. Swali lake ni route ipi fupi kati kupitia Dar - Arusha - Mwanza au Dar - Dodoma - Mwanza?

Wadau wamemjibu; kwa kuwa routes zone mbili meeting point ni Singida kujua ni ipi ndefu zaidi calculate Dar - Arusha - Singida na Dar - Dodoma - Singida ambapo imeonekana ya Arusha ni mbali.

Mdau mmoja kasema kwa kuwa Singida ndio makutano ya routes hizo mbili blah blah nikamjibu ukitokea Dodoma sio lazima upitie Singida; kuna route ya Tabora pia ambapo no matter umepitia ipi mtakutana Nzega the true converging point regardless which route you go through. Understand?
Si kweli kwamba njia zote mbili meeting point ni moja.
 
hakuna shortcut ya maana. Ukitoka Dodoma kama unataka uende mwendo wa haraka malori yakiwa machache, chepukia pale manyoni nenda itigi hadi tabora ndio ukaunge Nzega, badala ya kwenda singida, igunga nzega. watu wanakimbia singida kwa sababu ya malori mengi na zile senkenke, though njia ya singida kama malori yangekuwa machache ni fupi zaidi ya itigi to tabora. ukishafika nzega tu, hakuna shortcut nyingine hadi mwanza.
Njia ya Monyoni Singida to Nzega ni ndefu kidogo kuliko ya Manyoni, Tabora to Nzega.
 
Kama unalala njiani, Arusha is good, more relaxed Malory sio mengi na barabara sio Sumbufu.

Wakati mwingine sio umbali tu, ila Kuna factors nyingine za ku consider, Mimi ningepita Arusha!
 
Habari wanaJF, naomba kuuliza kama natokea Dar kwa Gari ndogo kuelekea Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha, japo njia ya Dodoma niliishapita mara kadhaa ila Arusha bado

Nategemea michango yenu wakuu
Kwa miundo mbinu ya sahv pitia Dodoma ila Arusha ingeunganishwa na Simiyu kupitia Karatu Arusha ingekuwa karibu sana. Shida ya nchi hii ni miundo mbinu
 
U
Umekwepa nini
unakwepa foleni za malori (hautakimbia zaidi ya 80kmh maeneo mengi), unakwepa pia senkenke na maeneo mengine ambayo yataleta foleni. ile ya Tabora ni ndefu ila mkiachana pale manyoni unamtangulia aliyepita singida kwa sababu wewe wa tabora ni mseleleko tu hakuna fuleni na unapita poripori mwendo hadi 120kmh na hata zaidi na barabara ni nzuri.
 
Back
Top Bottom