PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

G.T.L

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
1,786
Reaction score
4,167
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

Wajinga ndiyo waliwao IQ ndogo
 
Konacho sikitisha mbinu zote hizi zinafanywa na mabilioni yanatumika ili tu kulinda maslahi ya wapiga dili walio serikalini kwa mgongo wa CCM
 
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
Usiwe na wasiwasi wewe jikabizishe kwa Mwenyezi Mungu tu,ndiye anayejua ya kesho
 
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
Uzuri ni kwamba watu wameshtukia mapema mipango miovu!
 
Chadema inachohitaji ni kupata support ya watu na sio kusubiri huruma ya Serikali na Ccm.

Kuhusu Mbowe tusimuhukumu kwakuwa yeye ndo kaijenga chadema mpaka kuwa threat
Watu wa KuSupport nchi hii utawaona mtandaoni tu kwenye inshu za Umbeya na Mpira basi.

Mbowe ni Icon wa siasa pinzani nchini, lakini naona kama vile ana take Revenge dhidi ya zile dhihaka na kejeli za kina Lissu na Lema wakati wa uchaguzi wao
 
Baada ya reforms kufanyika hakuna cha Chauma wala Chapuliza.....mtashuhudia wenyewe tofauti ya tumbo na ubongo.
Tatizo ni muda wa kuzipata hizo reforms na mwenye mamlaka kama atakua willing ku Negotiate
 
Back
Top Bottom