PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920
Safi,nyie Chadomo endeleeni na tonetone 😁😁

Nawashauri wake Uviko 19 wahamie Chauma mapema

By the way Mbunge gani wa CCM atakubali kuachia Jimbo kizembe?
 
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920
He! tumefika hapa kwamba sasa CCM inagawa majimbo na sio kula za wananchi tena!?
 
Back
Top Bottom