PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920
Hii itakuwa njema sana. Tulianza na NCCR MAGEUZI. Ikaja CUF baadae Chadema. Sasa hivi ni zamu ya CHAUMA!
 
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920
Hawa ni wanachama?😂😂😂😂
 
Watu wanasoma shule ila sasa nimeamini tatizo kubwa ndani ya Tanzania ni ukosefu wa AKILI TIMAMU basi maana Elimu watu wanayo tatizo limebaki ni kukosa AKILI tu.
 
Yakwamba
Wakuu habarini.

Yale mapandikizi yenu yamehamia chauma sawa.

Wenye ccm Yao watahamia chauma sawa.

Ccm ni kinyonga ni kweli Haina shida.

Joto la kisiasa na kidiplomasia ni Kali ndani na nje ya nchi ni kweli.

CHADEMA ni chaguo la watanzania na MUNGU MWENYEZI.

Mabadiliko ni lazima nchi hii.

Mwamba lissu amebeba agenda muhimu Kwa taifa hili na ni lazima aikamilishe.

Mama Samia shtuka unataka kufukiwa kwenye shimo unalolichimba mwenyewe.

Tiss mnataka kuwadanganya watanzania na Dunia Kwa kuipa chauma nchi? Mtakosea sana kwani moto utabaki pale pale .Tupeni haki wananchi tukabidhi mamlaka YETU Kwa wazalendo CHADEMA

Mwisho haya ni mawazo ya kichaa asiyejua chochote kwenye taifa hili na sijui kusoma lkn picha naionana Wana jf wenzangu Kama mlifikiri Kuna Cha maana ninaandika basi mmejizingua 😂🤣😂🤣😂 HONGERA ndumbaru kwa utoplo wa Jana🤣🤣🤣
Ccm waachie madaraka wawape chaumma? Unajitambua kweli ndugu?
 
We mnduku kweli, labda amebeba maono ya mkeo fala wewe. Usituhusishe watanzania na kibaraka huyo. Nyumbu 10000 haimaanishi ni watanzania wote.
 
Ujumbe umewafikia wanaoelewa.
 
Tulia wewe vyama vya siasa imara duniani viko vitatu tu na kifupi vinatumia mambo fulani hivi ya kiroho ukiita ushirikina utajijua

Cha kwanza ni Chama cha kikomunisti cha China ,cha pili chama cha kikomunisti cha Korea kaskazini cha Tatu ni Cha CCM cha Tanzania

Uwe mpole tu .Mikoba ina pass toka kizazi kwenda kizazi. Ndio maana Nyerere alitamka wazi kuwa upinzani ujikite udiwani na ubunge na serikali za mitaa zaidi na Mzee Karume Zanzibar alitamka wazi kuwa Zanzibar marufuku kubadilisha nahodha yaani Raisi ila ruksa kubadilisha mabaharia makamu wa raisi,waziri kiongozi ,wajumbe baraza la wawakilishi nk

Ila Nahodha raisi lazima atoke CCM

Siasa za Tanzania ziko so complicated itachukua zaidi ya karne hata kumi wazungu kuzielewa

Every time they they know at the end of the day they discover they didnt know

Hiyo ndio Tanzania
 
Ndio maana wenye akili za kuona mbali wanataka reforms, kumbe nchi hii CCM ndio wanaoamua wapi wapewe ubunge na wapi wasipewe ubunge? Sisi wananchi kura zetu hazina maana Tena?! Chaguzi za kimagumashi magumashi mtu yeyote ambae ni mpinzani wa kweli hawezi kushiriki.
 
YES ndicho nilichomaanisha mkuu lkn nasikika mods wameunganisha Uzi wangu
 
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920

Chauma ni miongoni mwa vile Vyama Mamluki
 
We mnduku kweli, labda amebeba maono ya mkeo fala wewe. Usituhusishe watanzania na kibaraka huyo. Nyumbu 10000 haimaanishi ni watanzania wote.
SaSa Matusi ya nini wewe bichwa maji la kijani
 
CCM kamwe haiwezi kuachia jimbo kwa kutoa kama zawadi. Hapo CHAUMMA ijipange kushinda uchaguzi na sio kusubiri kupewa jimbo. Kama kuna mwanaCCM kawaahidi hilo wajue wamedanganywa.
 
Back
Top Bottom