PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii title "CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara" inathibitisha NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920
Asilimia kubwa ya hao ukiwaangalia hawana mpango na Chauma wala nn, wameenda kujaza tu idadi wachukue posho wakaendelee na harakati za NRNE
 
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920
Then chaumma becomes ccm bitch! Ccm can *** her whenever where ever he wants!
Waliojiunga chaumma, wanafikiri wao ni wa, kwanza, walikuwepo, mermaid, CUF, nccr, wapo wapi, leo
 
Ujai wa chama ni kuwa na wafuasi na si kubebwa na dora
 
ACT wanakula maisha huko Visiwani, huku bara ndo anamegewa keki CHAUMMA ili Diplomats wa kimataifa waone Tz kuna Democrasia ya kweli.
Safari bado ndefu
 
Sio ACT tena
Duuuh wacha tungoje muda ni kila kitu utaongea mda ukifikA
 
Kitendo cha kukaa kimya ni wazi kabisa anahusika na yote haya. Kipindi Mbowe yupo mahabusu mbona wengine walikuwa wanampambania. Baada ya kukosa uenyekiti ndio anataka kuondoka na watu. Tamaa yake haitafanikiwa.
Huyo Mzee ni hovyo sana! Very selfish na anapenda madaraka!
Ila wahenga walisema hakuna marefu yasiyo na ncha!
 
Unaijua formula ya kupata viti maalum kweli?
Huyo hajui kuwa CHAUMA wanapaswa kuwa na mgombea Urais atakaye pata asilimia angalau 10!
Sema kwa vile CCM imeshachafua sana Uchaguzi yote yanawezekana!
Nahisi Mgombea wa CHAUMA anaweza kuwa Freeman Mbowe!
 
Kumuelewa mTanganyika kazi sana, kila uchao na uchwao kujilizaliza, lkn kupembua mambo kwa uyakinifu na kufanya maamuzi sahihi aaugh... Msimu wa hizi sherehe ukiisha kila mtu atarudi kwake, kuanza tena kulaumu,serekalee serekalee serekaleee!
 
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920
Wanaachana na COVID-19 🤣🤣🤣🤣🤣🐸🐸🐸🐸
 
ACT wanakula maisha huko Visiwani, huku bara ndo anamegewa keki CHAUMMA ili Diplomats wa kimataifa waone Tz kuna Democrasia ya kweli.
Mneona Wazungu maboya kama mlivyo ninyi!!

Huu mchezo wanaujua kabla hamjautenda
 
Back
Top Bottom