PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920
Mbatia yuko wapi?Umesahau Magufuri alivyo msaidia Lipumba? kwa sasa Lipumba yuko wapi?
 
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920
Yaani jamaa hawaoni kabisa haja ya kubadili script hata kiduchu angalau kupiga chenga wadakuzi?
 
Kwani wananchi ndo wanachagua au CCM ndo yenye kuamua nani awe mwakilishi wa wananchi bungeni?
Kwa kufanya hivyo ndiyo watazidi kuipigia mstari hoja ya Chadema kuwa kwa mfumo wa uchaguzi uliopo bila mabadiliko kura haina thamani, ni dola ndiyo inaamua nani atangazwe kuwa mshindi bila kujali idadi ya kura alizopata. Kwa staili hii kila mwenye akili timamu atajua kuwa Chadema wako sahihi kudai mabadiliko kabla ya upigaji kura. Hapa kitakachofanyika ni kuthibitisha ile hoja ya nusu mkate ambayo ni agano la Mbowe na Samia.
 
safi sana wa
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920

safi sana wacha li chadema lijifie
 
ni muhimu zaidi kuheshimu maamuzi ya wananchi kwenye sanduku la kura na kujiepusha na dhana potofu zisizo na maana yoyote.

mwananchi makini anakaaje ndani ya chama kisichoshiriki uchaguzi, na anakichaguaje sasa.

wanainchi huru watakao ichagua chauma kwenye uchaguzi mkuu, wapewe fursa na nafasi ya kufanya hivyo bila wengineo kuwakasirikia 🐒
 
Haya yote tumeyajua tangu mwezi April , Maria Sarungi alitoa dokezo hivyo hata sasa hakuna jipya.

No reforms no election ndio habari inayoshika kasi.
 
Kwahiyo usitishike, ukiwa na support ya watu, hata ufanyiwe hujuma za aina gani utaibuka kidedea tu.
Mkuu nashukuru kwa kumbukumbu zako nzuri, ila hitaji kubwa la sisi tulio wengi ni kuona mabadiliko lakini sasa shida inakuja ni CCM haitoondoka madarakani leo wala kesho.
 
wanainchi huru watakao ichagua chauma kwenye uchaguzi mkuu, wapewe fursa na nafasi ya kufanya hivyo bila wengineo kuwakasirikia 🐒
mkuu, tunakujua wewe ni CCM kindaki ndaki lazima ufurahie huu mkakati wenu wa kuipandikiza CHAUMMA. Hongereni bhana
 
Jukumu langu kuu ni kueleza ukweli mtupu kitaalamu dhidi ya masuala mballimbali ya kisiasa humu jukwaani,
hayo mengineyo ni porojo tu gentleman 🐒
 
Ni huzuni mkuu, vinginevyo tuunge juhudi tu maana sioni dalili za kuwa defeat hawa jamaa
Dalili ni wewe Mkuu, watu kama Lissu wako focused na ukombozi wakiwaza kama wewe wanaenda Belgium fasta.

If you want to make a change, make a presence, and be a change, sio wajibu wa Chadema au CCM ni wakila mtu.
 
Yote hiyo ni kumuogopa aliyeko ndani
 
Tumesahau ya ACT 2014. Waliingia hivi hivi wakaishia kupata Jimbo moja na kura elfu tisini nchi nzima.
 
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920
Kwani mliposusia uchaguzi hamkuyajua hayo?

Ulitaka hawa waliohama CHADEMA wasitafute jukwaa lingine la kufanya siasa, baada ya kutofautiana na Lissu na Heche?

Kwa sababu kama wasingehama wangeleta mgogoro na kupelekana kwa msajili na hata mahakamani jambo ambako lingewazuia kina Lissu na Heche kufanya kazi yao. Sasa hata ile kesi Salumu Mwalimu aliyofungua mahakama kuu kuzuia shughuli za CDM na ile kesi ya Mchome itakuwa haina nguvu maana sio wanachama wa CHADEMA.

Badala ya kuwaonea wivu wacha mpambane katika ulingo wa siasa., kama wakipewa viti vya bure vya ubunge wewe haikuhusu endelea na no reform no election yako.
 
Ccm
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.

Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.

Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.

CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.

Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.

View attachment 3340920
Ccm hii au nyingine? Subiri kampeni zianze
 
Back
Top Bottom