Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Ni kweli Shimba ya Buyenze nimeitoa kwa upole sana. Kwa mambo yanavyoenda, hasa ukiwa unayashuhudia kwa macho. Na Watanzania wanavyoyachukulia!!!Sijui kwa nini hii comment imenifanya nione wivu. Imetolewa kwa upole mno jamani kha! ๐๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ
Itachukua miaka mingi sana, Tz kuwa inapaswa iwe. Sasa ni kama kumuachia Mungu, atende vile anavyoona. Inasikitisha!!!