mshana jr

  1. Mshana JR kuhusu ombi langu kwako

    Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa) Anyway nakumbuka niliomba mazungumzo binafsi nacwewe mkuu mshana(PM) na kwakuwa umefunga PM basi uliniahidi utanicheki na nimekuwa...
  2. Ubunifu wa ukumbi wa sherehe msituni;Tumuunge mkono mshana jr kwenye topics zake za ubunifu

    Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee. Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili nilikuwa busy sana kuwabembeleza kuku wangu wanitagie na kutonoa mayai na kweli wamefanya hivohivo...
  3. Nina shida na ndugu Mshana Jr

    Habari za wakati huu, Nina shida na Mshana Jr. Ewe ndugu Mshana Jr nimekutafuta PM lakini meseji haziendi. Uonapo uzi huu please naomba unitext. Shukran.
  4. UNAUFIKIAJE UTAKATIFU?.

    UNAUFIKIAJE UTAKATIFU?. Katika mambo ambayo, watu wamefungwa na kuona ni ngumu ni hali ya kufikia utakatifu. Kanisa katoliki wamebaki kutangaza watu fulani, kuwa ni wenye heri na watakatifu. Tusijue wanatumia vigezo vipi. Ili hali mwenye kujua hilo ni Muumba. Hakuna njia nyingine zaidi ya...
  5. Pre GE2025 Hizi ndizo hoja zitakazotumika kuizika CHADEMA endapo Mbowe akiibuka mshindi wa kiti cha uenyekiti Taifa, Ongezea nyingine

    Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini? Mosi, ni rahisi sana TAL kama mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA, kuipangua hoja ya Rushwa kwa kuwaeleza...
  6. JE ? MSHANA jr ALIACHA ULOZI KWA HIALI??

    Heri ya jumapili: Jana juzi bhn Kuna jamaa yangu alipata kesi kubwa hapa dsm sasa katika kuhangaika jamaa wakashauri twende Kwa msisi tanga tukaroge tuokoe jahazi safari ya watu watatu ukaanza tumefika handeni tunaelekezwa Kwa msisi kumbe ni ndani ndani kabsa...
  7. Mke wangu ameweka kijiti cha uzazi wa mpango bila kunishirikisha tena nkiwa mbali kwa miezi minne

    Rejerea mada juu. am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee Maswali najiuliza ni haya 1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani. 2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali. Kusema kweli mke...
  8. Msaada nina uvimbe shavuni nimetumia dawa lakini haujapungua

    Habari Wana JF, Naomba Ushauri Niende moja kwa moja kwenye hitaji langu. Mwezi wa saba nilipatwa na uvimbe ghafla upande wa kulia wa shavu chini ya sikio. Uvimbe ulikuwa mdogo na haukuwa na maumivu yoyote hadi nilipougusa na kuuminya minya, hivyo nikaamua kuupuuza. Hata hivyo, baada ya...
  9. K

    Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

    Habari wakuu! Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa. Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito...
  10. Picha hii ni special dedication kwa Mshana Jr, mwana JF nguli asiye na mfanowe

    Mr. Warthog is untouchable.
  11. Mshana Jr na Robert heriel nimefatilia maandiko yao nimegundua Tanzania watu wenye akili bado wapo

    Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr Mnafanya Kazi nzuri na Kazi yenu itakumbukwa vizazi na vizazi. Maandiko yenu mmeandika hapa JF niseme yanasaidia watu wengi kujitambua na kuondokana na ujinga. Nyie ni hazina na mtaendelea kuishi katika akili za WATU. Mna uwezo mkubwa Sana wa AKILI na...
  12. B

    Nina shida na mshana jr

    Habar , naomba mshana jr uonapo uzi huu ni dm plz plz
  13. Je, Mshana yuko wapi?

    Ametoweka nyumbani toka mwezi wa pili tumetoa taarifa polisi ya hapa Los Angeles atakaemuona atoe taarifa kwenye mamlaka husika. Asanteni.
  14. Je, una tatizo la Mimba kuharibika?

    Hii Ni maalum kwa wanawake wote ambao wamekuwa wakishika ujauzito na huwa zinaharibika kabla ya muda wake. Sasa Leo tumewaletea kaujanja ambako hakatumii gharama kubwa katika kulidhibiti tatizo Hilo. Huu unaouona pichani Ni mchicha, lakini siyo tu mchicha Ila Ni mchicha bwasi. Huu mchicha...
  15. Maisha 2070: Una nini cha kuacha kama kumbu kumbu hapa JamiiForums

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat". Ni tumaini langu wote ni wazima. Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma mpaka mwisho. Kuna vitu vingi vinatokea katika maisha tunavichukulia kawaida but Ushawahi kujiuliza...
  16. Mshana Jr in Sweden

    Nigerian guy living in Sweden smartly married a Swedish lady, so as to be legally certified with resident permit, but the lady was not aware of this. He lied to the lady that he is from Kenya because of the bad reputation of Nigerians in that part of Sweden. After their wedding, the lady...
  17. W

    Namtafuta jamaa anaitwa Mshana Jr

    Namtafuta Sana Mshana Jr, nimejaribu kumcheki PM ila haikubali kutuma
  18. N

    Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa east cars, Dr. Mechanics, Mshana Jr au Samatimes

    Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa East cars, dr.Mechanics, Mshana jr, Samatimes
  19. Huyu demu au jini maana simuelewi

    Nimekutana nae bar toka nianzishe nae mahusiano saizi ni miez miwili ajabu kwake sipajui na hataki nipajue mfano, nikiwa nae mbali nikisema tu nimuwazie yaani nimuweke kwenye mawazo yangu haipiti masaa mawili lazima nimuone machoni kwangu, utakuta namkuta sehemu, ajabu na yeye atakwambia...
  20. Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

    1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar. 2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini. 3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka. 4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…