msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Gerson Msigwa acha uongo; Unazungumzia ukaguzi wiki 2 zilizopita wakati huo ulikuwa na zaidi ya bilioni 31 tangu 2023

    Nimemsikiliza Ndg. Gerson Msigwa kwakweli nimesikitika sana kuona watumishi wa umma nyakati hizi badala kuwa watumishi wa umma wamegeuka kuwa watetezi wa viongozi wabovu. Sakata hili jinsi anavyotetea ni sawa na jinsi alivyotetea uongo na udhaifu mkubwa uliosemwa na kiongozi mmoja kuhusu kununua...
  2. Msigwa: Uwanja wa Mkapa upo tayari, CAF waje wakague, walikagua wiki mbili zilizopita

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Wakaguzi wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) waliukagua Uwanja wa Mkapa, wiki mbili zilizopita lakini kwa sasa uwanja huo upo vizuri na tayari kutumika kwa kuwa marekebisho ya sehemu...
  3. Msigwa Atoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa ametoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF ambapo amesema ukaguzi ulipokuwa ukifanyika nyasi zilikuwa zimekatwa mpaka chini hivyo kupelekea kuchimbika baada ya mechi ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Hata hivyo...
  4. Mwana FA, Gerson Msigwa na viongozi husika watueleze zaidi ya Bilioni 30 za ukarabati uwanja wa Mkapa tangu 2023 ziko wapi?

    Ni maajabu ya karne! Tangu mwaka 2023 tulielezwa kwamba ukarabati mkubwa utafanyika katika uwanja wa Mkapa, Tukaelezwa kwamba zimeshatengwa zaidi ya bilioni 30 kwa ajili ya kazi hiyo na uwanja ukatangazwa kufungwa. Ukijaribu kuhoji utaambiwa vyoo vimerekebishwa, Mashabiki na wachezaji wanakuja...
  5. Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA imepoteza imani na wananchi, No Reforms, No Election ni mkakati butu

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ameibua mjadala mkali kuhusu hali ya CHADEMA, akidai kuwa chama hicho kimepoteza imani kwa...
  6. R

    Kesi ya Mbowe vs Msigwa imefikia wapi?

    Kesi ya defarmation ya Mbowe vs Msigwa iliishaje?/imefikia wapi? Mwenye taarifa atujuze Mbowe amgeuzia kibao Msigwa, ataka amlipe fidia bil. 5/- madai kumkashfu By Grace Gurisha , Nipashe Published at 07:46 AM Sep 07 2024
  7. Msigwa: Ukimwi bado upo, Vijana wenzangu acheni kutembelea Rim

    Serikali imewatoa hofu watanzania wote wanaoishi na virusi vya ukimwi, kuwa dawa zipo na serikali tayari imesha andaa bajeti ya fedha zitakazo tumika kuhakikisha watanzania wanapata dawa hizo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa...
  8. Kwahiyo Bondia Dulla Mbabe alisubiri Kwanza hadi apewe na Rais Samia Tsh Milioni 2 kupitia Msemaji Msigwa ndipo aseme si Mitano bali Kumi tena?

    Yaaani Bondia Dulla Mbabe kapigwa, Rais kampa Tsh Milioni 2, ila Chama cha Mabondia Tanzania hakijapewa chochote.
  9. Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amezungumzia Mkataba wa Bagamoyo

    https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa inazozitoa kwa wananchi, Sakata la bandari Bagamoyo, matukio ya utekaji, utekelezaji wa miradi ya...
  10. Mchungaji Msigwa apewe ukuu wa Mkoa wa Iringa ili akasimamie ajenda zake kwa wananchi

    Msigwa amewapigania wana iringa kwa uchungu mkubwa sana wa kiwango cha mama mjamzito. Nashauri Mh. Rais amateur kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa ili akatimilize kiu yake ya kuendeleza Mkoa wa Iringa
  11. Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri, TEF

    Wanabodi, Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF Karibuni. Paskali
  12. Pre GE2025 Gerson Msigwa: Ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere umefika asilimia 99.80, mvua zisiponyesha hata misimu miwili bado tutazalisha umeme

    Serikali inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kusafirisha umeme ili kuhakikisha mikoa yote nchini inaunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kwani kwa sasa, mikoa ya Katavi, Rukwa, Kagera, Lindi, na Mtwara ndio bado haijaunganishwa. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
  13. Pre GE2025 Gerson Msigwa: Hali ya upatikanaji wa umeme nchini imeimarika na kufikia 78.4%

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme. Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
  14. Yuko wapi Mchungaji Msigwa?

    Huyu Mch ameshakula pesa ya Samia. Sasa bili analipaje iwapo haongei?
  15. Serikali yaelekeza Wanafunzi pia wasomee nyumbani kwa Januari 27 na 28, 2025

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
  16. CHADEMA acheni mijadala ya kurejeshwa kwa Covid 19, Msigwa au Slaa. Hao sio wenzenu, ni wasaliti, hawahitajiki popote, wanasaka fursa tu.

    Nimekuwa nikishangaa mnoo mara kwa mara kusikia mijadala ya kujadili namna ya kuwarejesha au kuwakataa wabunge wa Covid 19, Mchungaji Msigwa na Dr. Slaa. Hizi hoja zilishika kasi kipindi cha uchaguzi wa mwenyekiti ndani Chadema na zinaendelezwa hadi sasa huku upande wa wapambe wa Mbowe ukipiga...
  17. M

    Msigwa ataongea nini baada ya Mbowe kuondoka CHADEMA na kuingia Lissu aliyekuwa anamsifu?

    Huyu mfa maji aliwekeza siasa zake katika kumshambulia Mbowe binafsi kupunguza maumivu yake badala ya kunadi sera za Chama chake.CCM walifurahia sana mambo hayo kiasi cha kuambatana nae katika Mikutano yao kwa ajili ya kufurahisha tu wafuasi wao kwa Matusi yake kwa Mbowe. Sasa Mbowe kaondoka...
  18. Gerson Msigwa: Serikali tayari imeshanunua treni 10 za mchongoko, 8 zimeshawasili

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali tayari imeshanunua treni 10 za mchongoko ambapo treni 8 zimeshawasili na kati ya hizo 8, treni moja siku ya Jumamosi Januari 25, 2025 inakamilisha majaribio yake kutoka...
  19. Gerson Msigwa acha kupotosha umma

    Wakuu wa Nchi za Afrika) wanakuja kujifunza namna ambavyo nchi yetu imepiga hatua kubwa kwenye uzalishaji wa umeme, sasa hivi tunazalisha umeme ambao ni zaidi ya mahitaji yetu, uwezo wetu wa umeme kwenye gridi ya taifa ni Megawati 3,410 ni kiasi kikubwa cha umeme.." Msemaji Mkuu wa Serikali -...
  20. Pre GE2025 Kama Msigwa anasema Mbowe alilamba asali kutoka CCM, sasa yeye anafanya nini CCM?

    Hili ni swali la muhimu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…