Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa pamoja na kuwa na urafiki wa muda mrefu na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, kwa sasa hawezi kumkwepa kumkabili kisiasa, kwani Msigwa amehamia chama pinzani na si mwanachama...
Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani.
"Wamepoteza dira, wamepoteza misingi ya chama chao, wamepoteza mvuto na kujiita chama cha upinzani kikuu...
Wakuu
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote.
Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.
Kada wa CCM mchungaji Peter Msigwa awataka vijana wote nchini kupuuza propaganda za CHADEMA na Kuiunga Mkono CCM.
"Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagomba huko waliko, hawana mwelekeo, wamepoteza dira. Wakina mama fanyeni biashara zenu, vijana msipoteze muda kusubiri...
Mchungaji Peter Msigwa aliyekihama Chama Cha Chadema hivi karibuni na kuhamia Chama Cha Mapinduzi CCM, wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, akiwa mstari wa mbele kuipigia chapuo CCM huko mkoani Iringa, asubuhi hii amekuja na hoja binafsi wakati huu ambapo Kamati kuu ya Chadema inaketi...
Wakuu,
Mambo yanaendelea kuwa ya moto kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali.
Mchungaji Msigwa ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA amezungumza hivi karibuni mkoani Songwe hivi karibuni.
Soma pia: Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima
Msigwa amesema kuwa kama...
Vigogo wa CHADEMA mkoa wa Arusha wamesema ni suala la muda tu Lema atamfuafa Msigwa.
Vigogo Hao wamesema kwamba Lema hufanya vikao vya siri na Makonda na Mrisho Gambo. Katika kujiandaa na hilo, Lemma alijiapiza hatagombea cheo chochote kanda ya kaskazini.
Wakati Msigwa akikitifua ndani ya...
Wanajukwaa hiki kijembe cha Kigaila moja kwa moja kinamlenga Msigwa, anasema kamwe usifikirie kwa kutumia tumbo, maana njaa ikishahamia kichwani ni shida.
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.
Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu...
Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani. Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena
Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi...
Kwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa.
Najiuliza, hivi Msigwa haijui CCM vizuri eti?
Wallah CCM watakachomfanya Msigwa hatokuja kusahau!
Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani chama hicho kimekosa uhai na timu yake imeonekana kuchoka. Msigwa...
Mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu aidan msigwa nadhani mpaka sasa atakua amemfunika ndugu diamond platinumz kwa utajiri baada ya kufanikiwa kusajili na kuuza madini ya dhahabu kilo 111.82 yenye thamani za kitanzania shilingi bilioni 20.11 katika soko la madini chunya
Mchungaji Peter Msigwa kada mpya wa CCM yupo live Star Tv.
Fungulia tumsikilize
Soma Pia: Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu
Ama kweli siasa sio uadui, na hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa..
Wabobevu na manguli wa siasa za Tanazania wameamua kujitosa na kuchukua hatua za kuingilia kati ugomvi wa kisiasa na kutuliza vita ya maneno, kashafa na tuhuma za kisiasa baina ya F. Mbowe mwenyekiti wa chadema taifa na...
Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa.
Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote
Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati...
juu ya yote, tumuombee dua Msigwa. hayupo vizuri
ameunja record record za dunia.
haiziwekani kakaa na Mbowe miaka 20, ghafla dakika 1 imekuwa adui. Hakuna mtu duniani sample hio
hakuna .tangu ianze siasa za vyama vingi hii haijawahi kutokea, ndio kwanza tunaona.
labda tusema mmoja akiingilia...
Wanaukumbi.
MBOWE KATAPIKA MAPEMA SANA WAKATI KAZI NDIYO INAANZA
NI KICHEKESHO sana kwa Mbowe ambaye ni kinara wa kuropoka kauli za hovyo na za uongo juu ya CCM ,serikali na Rais Samia ambazo wangeamua kumpeleka mahakamani basi angekuwa na kesi mpaka mahakama ya mwanzo Buguruni kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.