msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Hongera Mbowe kwa kumfanya yule bwana akalambe yeye asali; angewauza mchana kweupe

    Msigwa kwa mujibu wa Lema alitofautiana na Mbowe baada ya ukimya wa mwenyekiti ambao ulipelekea waanzishe group la WhatsApp na Msigwa kuanza kumtuhumu kuwa amekuwa kimya kwa sababu amelamba asali. Kutokana na ukweli kwamba Mwenyekiti alitamani kufanya kazi na watu wasio na uchu wa madaraka...
  2. Heart Wood.

    Kwa ushindi wa Tundu Lissu, sasa inabidi Peter Msigwa utafute mwelekeo Mpya wa Kisiasa

    Kama ni kweli ulifanyiwa figisu kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa nikupe pole sana ndugu Msigwa. Yote kwa yote, wazo la kuhama kwako CHADEMA kwa maoni yangu ni kuwa ulifanya maamuzi ya haraka kutokana na Jazba ulizokuwa nazo. Ulistahili kuwa mvumilivu ili kulinda status yako kisiasa uliyoijenga...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 Msigwa atupa dongo kwa Mbowe baada ya kushindwa Uchaguzi CHADEMA asema "Shimo alilonichimbia mimi ametumbukia mwenyewe"

    Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA na sasa mwanachama wa CCM, ametupa dongo mtandaoni kwa Freeman Mbowe kufuatia kushindwa kwake katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA. Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Msigwa ameandika...
  4. R

    Tundu Lissu sasa ni muda muafaka wa kumkataa Msigwa sababu ameungana na chama kilichokuumiza wewe na Watanzania wasio na hatia

    Hellow! Wanachadema wameshakuelewa, Umeeleweka Kwa watanganyika, Ni muda sasa wa kuvunja urafiki na uhusiano na ndugu Msigwa ikiwa hatokubali kurudi CHADEMA. Ndugu huyo, kwa kujiunga na tawala, tayari ni adui wako kimfumo sababu chama alichopo sasa kimeshiriki kukuumiza wewe na Watanzania...
  5. Father of All

    Kurudi CCM kwa Peter Msigwa ni kuandaa njia kwa mwenyewe ajae atakayejiunga soon?

    Ukimchunguza Peter Msigwa, kidhabu na muongo wa mwaka, durusu hata marafiki na wandani wake ambao bado wako Chadema. Ukishawajua, jiulize, je Msigwa, swahiba wa Jiwe, alikwenda kuandaa njia kwa ajili yao kurudi nyumbani? Je ni mpango wa muda mrefu wa kuiua CHADEMA? Kumbuka, Nyerere aliwahi...
  6. Zanzibar-ASP

    Pre GE2025 Ni ujinga na upuuzi kwa viongozi CHADEMA kutengeneza mkakati wa kuwarejesha Dkt. Slaa, Msigwa au wabunge 19

    Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha wasaliti wa Chadema (Dr. Slaa, Msigwa, Covid 19). Upande wa kambi ya Mbowe wao wanatengeneza...
  7. R

    Inawezekana akina Lema, Lisu na Msigwa ndio walikuwa na mpango wa."kumpindua" Mbowe

    Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
  8. Waufukweni

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Heche wajumbe kanda ya Ziwa, Lissu Kanda ya Kati, Msigwa na Mdude Nyanda ya juu Kusini, Mbowe hapo anatokaje? Kabaki na Sugu tu

    Embu ona! CHADEMA unapozungumzia watu wenye ushawishi, utamtaja Lisu, Heche, Lema, Mbowe na Sugu. Msigwa kama Msigwa angekuwa hajahama CHADEMA angekuwa kwenye top 6 ya viongozi wenye ushawishi CHADEMA. Wajumbe wengi wa kanda ya Kati hawawezi kuacha kumsikiliza Lisu ndugu Yao ati wamsikilize...
  10. Mtoa Taarifa

    Gerson Msigwa: Zaidi ya 80% ya taarifa za utekaji hazina ukweli

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matukio yanayoripotiwa Polisi kuhusu utekaji nchini mengi yanabainika kuwa ni ya uongo. "Kuna matukio yanatangazwa kwenye mitandao na vyombo vya Habari mtu katekwa, nataka nikwambie katika matukio yote yaliyoripotiwa polisi kwa mfano, zaidi ya...
  11. S

    Nilipokuwa mdogo nlikuwa nawaona wazee wanaoacha familia zao na kuondoka home kuwa wabinafsi sana ila kwa yanayoendelelea CHADEMA Msigwa kaona mbali

    Kama kichwa kinavyojieleza... huenda wanachama chadema wameona mbali kuwa njia haitoki as long as mwamba Mbowe yuko enzini... Unajua baada ya kukaa ndani ya ndoa nimekuja kuelewa kuwa sio wababa wote wanachama home na kusepa kuwa ni wabinafsi... wengine ni sababu za wake zao kuwa na kero na...
  12. Mindyou

    Lissu akana tuhuma za Mbowe kuwa alishirikiana na Peter Msigwa kuvujisha nyaraka muhimu za CHADEMA

    Wakuu, CHADEMA mambo yamezidi kupamba moto. Lissu akiwa anajibu swali aliloulizwa kuhusu tuhuma za Mbowe kwamba nyaraka za chama zilikuwa zinqvujishwa na Msigwa ambaye ni rafiki yake mkubwa. Lissu akiwa anajibu swali hilo amesema kuwa hajawi kuvujisha nyaraka za chama na kuongeza kuwa...
  13. R

    Kwa urafiki na uswahiba wa Lisu na Msigwa uliodhihirika sasa, haiwezekani Msigwa akahamia CCM bila Lisu kujua

    Ikinyesha utajua wapi panavuja. Matukio ya hivi karibuni yalitokana na Lisu kuropoka hovyo, yanadhihirisha wazi kuwa Msigwa na Lisu had prior communication na Lisu na Msigwa alipewa baraka na Lisu kuwa hama...maybe in the near future tutaungana huko. It is a matter of time! Afadhali...
  14. T

    Namna Mchugaji Msigwa anavyoiongelea CHADEMA unaweza kudhani CCM ni Mbinguni alafu CHADEMA ni duniani

    Hua namsikiliza sana Peter Msigwa na vichambo vyake dhidi ya CHADEMA sasa sijui tatizo ni ulimbukeni au ugeni au ushamba. Nijuavyo mimi vyama vyote vina matatizo. Ila ndugu Msigwa anataka kutuaminisha kwamba kwa yeye kugombana na CHADEMA basi CHADEMA haina jema hata Moja. Soma Pia: Mchungaji...
  15. L

    Gerson Msigwa: Matunda Matamu Ya Siku 150 Za DP World Bandarini, Serikali Yakusanya Billion 325

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Mama ameifungua Nchi na Sasa Asali na Maziwa vinatiririka na kumiminika Tu hapa Nchini.kwa hakika kila mmoja analamba asali Kiganjani mwake.Embu nisiwachoshe na kuwapunguzia Utamu . soma hapo chini👎 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matunda ya...
  16. chiembe

    Baada ya Msigwa kuishambulia CDM mfululizo, sasa yuko kimya kabisa kamuachia Lissu, wamejipangilia kutudhoofisha? Tuamke!

    Naona kama kuna mkakati wa kuidhoofisha Chadema kuelekea uchaguzi. Lissu akiwa anatumika na dola yuko mstafi wa mbele kutengeneza mgawanyiko hasa baada ya Msigwa kuishambulia sana Chadema, lakini akagonga mwamba. Wana chadema, tukija kustuka, chama chetu kitakuwa hoi bin taaban, watu...
  17. Megalodon

    Gerson Msigwa, haiwezekani kila mmoja akawa Mlinzi wa SGR, Serikali iwajibike

    Moja ya best investment ya JPM na atakumbukwa kwa hili ni SGR. God bless you John, Rais Mtendaji. Tupo kwenye Science na Technology ,digital transformation, artificial intelligence, machine learning, satellite, Blockchain, internet of things, automotous drones, robotics and automations...
  18. Mindyou

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Nilisikia wanasema Msigwa amenilipia ukumbi wa Mlimani City. Maneno ya Msigwa ni ya bure na ya uongo kabisa!

    Wakuu, Baada ya wadau kudai kuwa Msigwa ndio alimlipia Lissu ile hela ya yeye kufanya press yake ya Mlimani City, Lissu amejitokeza kupiga uzushi huo Siku ya leo akiwa anatoka kurudisha fomu ya Uneyekiti CHADEMA, Lissu amezungumzia tetesi za kwamba Peter Msigwa ambaye kwa sasa ametimkia CCM...
  19. chiembe

    Pre GE2025 Kwa nini Lissu amedhamiria kuwafukuza John Mrema na wenzake pale makao makuu ya Chadema? anamsaidia Msigwa kulipa kisasi?

    Habari za ndani ya kambi ya Lissu ni kwamba ameandaa orodha ya watu ambao yeye anawaita chawa wa Mwenyekiti, na kwamba amejiapiza kuwafuta kazi pale makao makuu. Tetesi zinasema sababu kubwa ni kulipa kisasi cha rafiki yake Msigwa ambaye wakati wa uchaguzi wa Kanda alisikika akitoa milio ya...
Back
Top Bottom