msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    Mch. Peter Msigwa: Hayati Magufuli ametufundisha tujue tabia za watu wengi

    Muda ni Mwalimu mzuri sana ! Wanafiki wote wamejidhihirisha. Tabia za ki TIKITI MAJI nje wa kijani na ndani mwekundu, ziko wazi . Jambo moja la kumshukuru JPM ni la kutufanya tujue tabia za watu wengi. #MboweIsNotATerrorist https://t.co/Y6l1tcnXnd
  2. B

    Mdogo wangu Gerson Msigwa, iheshimishe ofisi uliyopewa...tumia mitandao Kwa maslahi mapana ya utumishi

    Nadhani Gerson Msigwa anaomba mama afuatilie kuona kama anafaa au amteme. Mambo anayopost Msigwa siyo mambo yakupamba kurasa za watu wa kariba yake. Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii unasave purpose yake binafsi na Serikali pia. Account yake inategemewa kuendelea kuitangaza Nchi, kumbuka...
  3. Idugunde

    Gerson Msigwa: Ufafanuzi juu ya pesa za serikali zilizotumika kujenga barabara ya Morroco- Mwenge

    UFAFANUZI. Tsh. Bil. 4 za Sherehe za Uhuru zilizotumika kujenga barabara ya Morroco-Mwenge (2016) zilifanya upanuzi wa barabara za njia 2 zilizopo katikati ya barabara na Tsh. Bil. 71.8 za msaada wa Japan zimetumika kujenga barabara za njia 4 zilizozinduliwa na Mhe. Rais Samia.
  4. G

    Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

    Namsikiliza Gerson Msigwa katika kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa. My take. Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi...
  5. N

    Gerson Msigwa: Serikali inawasiliana na watoa huduma wa mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu kukosekana kwa huduma

    Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo. Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe...
  6. Mung Chris

    Msemaji wa Serikali sema ukweli kuhusu wastaafu umejitetea visivyo na kusema kitu ambacho hakipo

    Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea...
  7. Fundi Madirisha

    Msigwa acha propaganda hazikusaidii, Hamza ni wa CCM, unataka ushindi gani?

    Ninasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi walishindwa kuthibitisha? Huyu Hamza si alijenga ofisi cha Chama huko Chunya? Mnataka uthibitisho...
  8. B

    Gerson Msigwa ndani ya DW akieleza sababu za Rais Samia kurekodi makala ya Royal Tour

    Katika kipindi cha Kinagaubaga cha Idhaa ya Kiswahili ya DW cha nchini Ujerumani, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa ameeleza kiundani sababu za Rais Samia kurekodi Makala Maalum itakayoonyeshwa katika kipindi cha Royal Tour ambayo itatangaza Utalii, fursa za uwekezaji zilizopo nchini...
  9. Analogia Malenga

    Serikali yalipa bilioni 212 kwa ajili ya ndege 5

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...
  10. B

    Gerson Msigwa aipongeza MSD kwa kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, ameipongeza Bohari ya Dawa (MSD) kwa jitahada zake za kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba kwani vitaipunguzia serikali gharama ya kuagiza dawa nje ya nchi. Msigwa ametoa pongezi hizo hii leo, wakati...
  11. Stephano Mgendanyi

    Aliyoyazungumza msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa wakati akizungumza na wanahabari leo jumamosi septemba 04, 2021

    ALIYOYAZUNGUMZA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI NDUGU GERSON MSIGWA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JUMAMOSI SEPTEMBA 04, 2021. 1. BEI YA MAFUTA. Palitokea taarifa mbili, EWURA walitoa taarifa ya kupanda kwa bei ya mafuta na baadae kusitisha bei hizo. Ufafanuzi wa Serikali ni kwamba baada ya bei...
  12. F

    Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

    Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani. Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000. Ameendelea kudai...
  13. B

    Maeneo aliyoyatolea ufafanuzi Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa

    Mapema leo Jumamosi Agosti 28, 2021 Msemaji wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa- amezungumza na Waandishi wa habarih katika Ofisi za Habari-Maelezo Jijini Dodoma. Haya ndiyo aliyoyazungumza Ndugu Msigwa wakati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya Serikali. Haya ni sehemu ya maeneo...
  14. Nyankurungu2020

    Gerson Msigwa amelewa madaraka, anadhani kila mwananchi ana kipato kama chake

    "Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson #MsemajiWaSerikaliPress...
  15. Shujaa Mwendazake

    Clouds 360: Mahojiano na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, akifafanua mambo mbalimbali

    "Hayati Magufuli alikuwa anafanya kazi sana. Alikuwa analala akiwa na usingizi tu kama hana basi alikuwa halali. Na asipolala hata sisi hatuwezi kulala". "Rais Samia anafanya kazi sana. Ukiona anapanda ndege anashuka unaweza ukahisi ni maisha mazuri lakini hapumziki. Tuna bahati ya kuwa na...
  16. J

    Gerson Msigwa: Tuko mbioni kuanzisha Televisheni ya Serikali itakayorusha Habari za Maendeleo tu

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali. Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa. Chanzo: Clouds tv
Back
Top Bottom