Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.
We need mabadiliko makubwa sana yan hata tunayodhani tunahitaji basi tunahitaji zaidi haya .
Nimejaribu kutafakari press ya Msigwa nimengundua tuna safari ndefu sana na hawa viongozi, Kuna haja gani ya maelezo? kama haya ndio maelezo ya Ikulu basi ni bora wangekaa kimya kungekuwa bora zaidi...
Na Grace Semfuko, MAELEZO
Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amewataka Viongozi wa Taasisi za Serikali Nchini, kutoa taarifa za mafanikio ya utendaji kazi wa taasisi hizo kwa Vyombo vya Habari, ili kuwaonesha Wananchi maendeleo yanayofanywa na...
Vyakula vimepanda bei.
Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali
Maisha yamekuwa ghali.
Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini.
Sasa unaleta porojo!
👇
Msemaji wa serikali ndg Gerson Msigwa akitoa mrejesho wa kinachoitwa kikao cha serikali na TUCTA leo tarehe 26/7/2022
Lugha gongana. Msemaji wa serikali anasema hivi, TUCTA wanasema vile. Ni kama kuna kurushiana mpira. Gerson Msigwa anaongea kana kwamba TUCTA ndiyo mwajiri na mlipa mshahara...
Mara anajipost anasonga ugali, Mara sijui yuko anapiga masarakasi, mara anapiga mamisamba.
Naona anachokifanya compared na cheo chake ni utoto mtupu.
Halafu naona kama toka atumbuliwe pale ikulu hajakaa sawa kisaikolojia.
Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.
Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 siku hiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na...
Huwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa.
Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabagui
Nilikuwa nasikiliza press ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo kati ya mambo mengi akizungumzia suala la Lolindo na kusema kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa sahihi.
Sasa baada ya taarifa aliruhusu simu kutoka kwa waandishi na wananchi ambao wengi walikuwa ni Wamasai.
Wamasai hao...
Ni muda sasa chama chako hakina imani nawe. Naona hata Iringa tu hawawakukubali. Sababu hazinihusu.
Ila karibu sana CCM huku nadhani utapata nafasi ya kuweza kufanya mambo yako vizuri.kwa uhuru.
Chadema nadhani ni kama wamekuchoka pia kutokana na matamko yako. Umekuwa one man arm...
Peter Msigwa amekuwa kimya sana Toka mwenyekiti atoke Gerezani,amekuwa somehow vuguvugu na wakati Mwingine anaonekana amemeelewa zaidi mama na anatamani afanye naye kazi. Hii Chadema wameiona na kulifanyia kazi, wameona ishara kwamba wasimtegemee Sana Bali waendeleze mapambano ya Katiba mpya...
mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi.
Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni...
Aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi uzuri na ubunifu wa Filamu maarufu ya kitalii ya THE ROYAL TOUR.
Kiongozi huyo wa CHADEMA wa nyanda za juu kusini amesema kuwa inawezekana labda kuna mapungufu madogomadogo...
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.
So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya...
“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji.
Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria.
Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi.
Pia...
Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari.
Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni...
Hakika Nani Kama mama, hakika anaupiga mwingi! Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!
Ni hivi kwa wale watumishi wa umma, hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu Rais wa watu, yaani Kama una mkopo Bank...
Mpasuko mkubwa umeukumba uongozi wa Chadema Mbeya mjini na hii ni dalili kuwa hawako kwenye good terms. Sijui lini watafika mbali
===========
Mchungaji Msigwa: Tumeuvunja uongozi wa jimbo la Mbeya mjini na tunawapa mkoa siku tatu kwa mujibu wa katiba kama nilivyosema kuunda timu(Task force)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.