msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Msigwa akiulizwa swali gumu kuhusu DP World anajibu watu wajifunze uwezo wa kusikiliza na kukatisha watu kutoa maoni

    Kwenye Mjadala wa Wazi wa Bandari Club House unaoendeshwa na chaneli ya Msemaji Mkuu wa Serikari sasa hivi mambo yamekuwa moto. Msigwa akipigwa swali gumu tu anamwambia aliyeuliza ajifunze kuwa na uwezo wa kusikiliza, halafu anamkatisha muuliza swali kwa kusema kitu anachotaka kusikia yeye...
  2. Analogia Malenga

    Msigwa kumnyima nafasi Peter Madeleka, na kusema list ya wauliza maswali ina maana gani?

    Katika Clubhouse inayoendelea kuhusu mjadala wa Bandari unaoongoza na Habari Maelezo, huku moderator akiwa ni Peter Msigwa, hali imekuwa tete baada ya Peter Madeleka kutaka kuuliza swali ambapo Msigwa ameshutumu Madeleka kutumia utambulisho usio wake, hata hivyo Madeleka alisema ametumia jina...
  3. Li ngunda ngali

    Gerson Msigwa ya nini unateseka namna hiyo?

    Aisee, kama yupo binadamu anayetoa povu la utetezi kwenye hilo la DPW basi ni Gerson! Unajiuliza, kwa nini anatumia nguvu namna ile? Ya nini jambo linaloonyesha hana japo theluthi ya uelewa kwalo analazimisha kulitetea hali inayopelekea mwisho wa siku anaonekana mburula tu mbele ya welevu...
  4. Pfizer

    Gerson Msigwa ni Kiongozi wa kutoa Elimu na kuelezea Manufaa ya DP World Tanzania. Aungwe Mkono

    Baada ya Gerson Msigwa kutoa Elimu kuhusu azimio la Bunge na Uwekezaji wa Bandari ya Dar, Wananchi sasa wamejua ukweli. Ni Jukumu letu Watanzania kuunga Mkono Juhudi zake kwani waliokuwa wanapotosha kuhusu Uwekezaji wa Bandarini sasa wameelewa ukweli. Watu walidanganywa kwamba Bandari zote za...
  5. Nyankurungu2020

    Gerson Msigwa umelishwa nini mpaka unatetea ufisadi na mkataba wa hovyo kama huu! Huoni aibu kwa taifa lako.

    ⁴Kupatia watumishi mafunzo nalo linahitaji Mwarabu kuwekeza. Kuongeza idadi ya meli hatuwezi kama taifa kutafuta tatizo na kufanya ufumbuzi maana tatizo ni miundo mbinu
  6. B

    Msigwa: hakuna bandari iliyouzwa kwa miaka 100 na hakuna bandari itakayouzwa Tanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amekanusha upotoshaji mkubwa unaoendelea katika mitandao ya kijamii kuwa bandari za Tanzania zimeuzwa kwa kampuni ya DP World kutoka Dubai kwa miaka 100 na kusema jambo hilo halina ukweli wowote. Akizungumza na waandishi wa habari wa kimtandao (JUMIKITA)...
  7. Nyankurungu2020

    Gerson Msigwa kama ishu ni kuongeza ufanisi wa kupitisha tani elfu 58 ni lazima mwarabu awekeze? Sisi kama taifa hatuwezi kuboresha?

    Acha upumbavu. Sisi hatuwezi kuwekeza mitambo na kuwapa utalaamu watanzania?
  8. Erythrocyte

    Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe. Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema...
  9. Suzy Elias

    Hivi karibuni nitakuja na kisa cha kusisimua kuhusu JPM, Kasesera na Mchungaji Msigwa

    Ulishawahi kujiuliza, kwa nini JPM alibaki na Kasesera ambaye ni mwandani lia lia wa Benard Membe?! Utaamini kwamba pamoja na mbwembwe zote Mchungaji Msigwa alikuwa mlisha habari wa JPM kutoka upande ule?! Kwa nini JPM alimrejesha RAS yule kuwa DG....?! Simulizi hiyo ifuatayo itakufanya...
  10. Suzy Elias

    Magufuli kwa ukali: " Wewe RM yaani unazidiwa kuamua na mwandishi wa habari Msigwa, kweli?!

    Kisa kingine cha kweli acha niwashirikishe kuhusu JPM kipindi alipokuwa W UJ. Kama sikosei ilikuwa mwaka 2013 kipindi hicho miradi miwili ya barabara kuanzia Songea mjini hadi Namtumbo na Likuyu hadi Mbinga ilikuwa inatekelezwa kwa ufadhili wa MCC. Songea - Namtumbo Mkandarasi wake ilikuwa...
  11. R

    Kwa namna Gerson Msigwa alivyofanya propaganda issue ya mabehewa ya TRC naamini soon ataondolewa kwenye nafasi yake; alikosea Sana kushabikia makosa

    Nadhani wasemaji wa serikali katika sekta mbalimbali waanze kuwa wachunguzi kabla ya kutoka kusema. Issue ya mabehewa Gerson alikuwa na uwezo wakuwaachia TRC wapambane nayo kupitia Afisa habari wao lakini yeye alibeba Bango nakuwa mstari wa mbele. Leo hii Yale yaliyosemwa na jamii ndiyo...
  12. BARD AI

    TCRA yadai Clubhouse ilipotea kwasababu ya Kiufundi, sasa ipo hewani

    Siku moja tangu utokee mkwamo wa upatikanaji wa mtandao wa Clubhouse nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema haikuufungia bali kulikuwa na changamoto za kiufundi, lakini umesharejea. Mtandao huo ambao watu huutumia kuwasiliana kwa sauti, kufanya mikutano na mijadala mbalimbali...
  13. BARD AI

    Msigwa: Hakuna Wanyama wanaosafirishwa nje

    Watanzania wametakiwa kupuuza taarifa zinazosambazwa mitandaoni kuwa kuna wanyama wanaosafirishwa na ndege zinazotua katika hifadhi za wanyama. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo Januari 15 jijini Dodoma akizungumza na waandishi wa habari, ikiwa ni muendelezo...
  14. BARD AI

    Ndege 3 za Air Tanzania (Air Bus) zimepata hitilafu ya kiufundi, haziruki

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kusimama kwa ndege hizo za Shirika la Ndege (ATCL), aina ya Airbus a220-300 kumetokana na hitilafu ya kiufundi na ambapo watengenezaji waliagiza zisiruke. Amesema Serikali inaendelea na mazungumzo na watengenezaji kuhusu matengenezo ya Ndege hizo...
  15. Analogia Malenga

    Msigwa: Hakuna ndege inayobeba wanyama, mwenye ushahidi alete

    Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa wapeleke. Gerson Msigwa amewataka watanzania kupuuzia uzushi unaoendelea mitandaoni kutoka kwa watu...
  16. Idugunde

    Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

    Yaani mjenge ofisi Iringa huku bado mmepanga Ufipa .👇
  17. K

    CHADEMA: Awamu ya Sita imeimarisha Uhuru wa Kujieleza nchini

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeipongeza serikali kwa kuanza kuboresha mazingira ya haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Hayo yalisemwa na Chama hiko wakati wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu kupitia Tamko la kimataifa la Haki za kibinadamu (UDHR)...
  18. Kamanda Asiyechoka

    Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

    Unapiga porojo kuwa tuna helikopta za usaifiri tu. Kwani nini msiwe na kunyanyulia mizigo? Pesa zipo lakini mnaelekeza kwenye mashangingi na ufisadi tu. Kama tungekuwa na aerial cranes hata nne. Moja kanda ya ziwa, nyingine kusini, kaskazini na pwani ndungu zetu tungewaokoa.
  19. The Burning Spear

    Swali: Gerson Msigwa wa Hayati Magufuli ndiyo huyuhuyu wa Rais Samia?

    Wanajamvi. Kuna kitu sikielewi au hakipo Sawa. Hivi huyu Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali ndo yuleyule wa kipindi cha Magufuli?. Huyu jamaa hata kama ni unafiki au kulamba asali basi huyu kazidi. Amekuwa mtu wa hovyo sana, anaongea pumba mara zote. Siku hizi anaongea nonsense kabisa...
  20. Tengeneza Njia

    Gerson Msigwa na Precision Air

    Msemaji wa Serikali - Kama cheo kinavyoonyesha uzito wake. Bora leo usingeisemea tu hii serikali ukalala au ukaenda zako Barra Beach kula prawns. Umeshindwa kujisikiliza mwenyewe kwanza chumbani kwenye kioo na kufanyia majaribio hiki ulichokisema kwa wananchi juu ya ajali kubwa kama hii na...
Back
Top Bottom