msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Nanyaro Ephata

    Peter Msigwa ni mlaji wa matapishi yake

    Peter Msigwa Mlaji wa matapishi yake Uamuzi wa Peter Msigwa kuhama kutoka Chadema kwenda CCM unaacha alama mbaya katika siasa za Tanzania. Ni tukio linalofungua mjadala kuhusu uaminifu, uadilifu, na misingi ya uongozi. Msigwa, aliyewahi kuwa kiongozi mashuhuri ndani ya Chadema, sasa anaonekana...
  2. Kurunzi

    Rev Msigwa, Karibu CCM ila Usisahau hilli Ni Baada ya Dau Kifikiwa

    CCM inazidi KUVUNA. Hali tete Chadema. Ukitafakari sana unaweza kudhani mpinzani halisi ni Luhaga Mpina kumbe Peter Msigwa ndiye CCM kindakindaki. Najua hujaelewa. Iko hivi; ndani ya CCM wanaamini Luhanga Mpina amekuwa mpinzani dhidi ya serikali ya CCM ambayo kimsingi ndiye iliyompa kibali cha...
  3. peno hasegawa

    Mliomchukua Peter Msigwa mnajua mnakompeleka au katuma na TISS ya CDM?

    Huyu hapa msikilizeni!
  4. T

    Msigwa kafuata ulaji CCM, ni lazima apewe cheo

    Msigwa sio wa kwanza kuondoka CHADEMA kuhamia CCM. Wapo waliotangulia kabla yake, kwa hiyo tunasema amefuata nyayo za wenzake akina Waitara, Silinde na wengine wengi. Kwa upande wa CHADEMA hili ni pigo kwa namna yoyote ambavyo watalichukulia, lakini kwa CCM ni mtaji. Na mitaji kama hii huwa CCM...
  5. Ngongo

    Ujio wa Mchungaji Msigwa CCM umekosa mashamshamu

    Heshima sana wanajamvi. Mchg Msigwa kahamia CCM baada ya kushindwa nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda na Mh Sugu. Mchg Msigwa kaenda CCM baada ya kushindwa na kukubali kushindwa,lakini siku mbili baada ya kutoa pongezi kubwa kwa Mh Sugu alianza kubwabwaja na kutoa shutuma dhidi ya uongozi pasipo...
  6. R

    Tubashiri: Msigwa atapata uteuzi gani CCM, for sure kuna nafasi ameahidiwa kumbuka alishasema Magufuli alimuahidi Uwaziri

    Moderators naomba msifute uzi huu. Ngoja tutabiri (tu bet)Msigwa atapata nafasi gani ya uteuzi CCM Mimi nasema atapewa nafasi ya kuwaumiza chadema kama Mkuu wa wilaya/ Mkuu wa mkoa aweze kuwasweka ndani maana atakuwa ni mwenyekiti wa ulinzi wa wilaya/Mkoa.
  7. Elius W Ndabila

    Karibu Mchungaji Peter Msigwa

    KARIBU MHE BABA MCHUNGAJI PETER MSIGWA CCM. Na Elius Ndabila 0768239284 Nimeona mjadala mkubwa juu ya ujio wa Mhe Baba Mchungaji Peter Msigwa CCM. Wapo wanaofurahia ujio huo na wapo wanaoponda. Wote wapo sawa. Mimi kabla sijatoa hoja zangu ninaunga mkono ujio wa Mhe Baba Mchungaji Peter Msigwa...
  8. Sanyambila

    Sawa, kila la kheri Msigwa ni uamuzi wako na utaheshimiwa ila usiibomowe CHADEMA

    Mpendwa MCH. Peter Msigwa, Umekuwa mwanachama mtiifu Kama siyo mwaminifu nionavyo Mimi katika chama chako tangu umejiunga nacho 2000+ vita ulipigana , vita vile vya heri na fitina ulivifaulu saaana hongera saana. Hatimaye Leo umejiunga na Adui wako na chama chako wa takribani miaka 30...
  9. P

    MKIAMBIWA SIASA NI BIASHARA MUWE MNAELEWA: MSIGWA HUYOOO CCM

    Siasa ni biashara nzuri sana. Binafsi naipenda. Msigwa baada ya kuona ugumu wa kufanya biashara CHADEMA ameamua kutimkia CCM. Nadhani wananchi maskini na wanyonge mna la kujifunza hapo.
  10. J

    Lema: Mchungaji Msigwa nimeumia sana, natamani niendelee Kufanya Kazi na wewe kwenye Chama Bora CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema ameumia sana kuona mchungaji Msigwa anahamia CCM...
  11. Riskytaker

    Kuja kwa Msigwa CCM tayari teuzi inamuhusu

    msigwa atakua mkuu wa mkoa,au mkuu,wa wilaya au cheo chochote chenye mshahara wa 5m+ amechanga karata vizuri alikua na option mbili abaki chadema akose pesa au aende ccm apate pesa. sadly ni kwamba kuna wanaccm kindakindaki yani wafia chama ambao nafas/iteuzi yao imechukuliwa tayari na mtu...
  12. Djob Nkondo

    Je lengo la Msigwa kutumkia CCM Ni kumfuata muhasimu wake bwana Mbilinyi??

    Baada yabuchaguzi wa kanda ya nyasa na matokeo kutangwazwa aliyekua mgombea wa ukanda huo kwa nafasi ya uanyekiti leo katimkia ccm. Katika matokeo ya uenyekiti wa kanda hiyo ambapo mheshimiwa Joseph mbilinyi aliibuka na ushindi wa 51% na mgombea mwenza mheshimiwa Mchungaji Msigwa aliibuka na...
  13. chiembe

    Je kwa tukio la Msigwa, Lissu ataanza kumuheshimu Mbowe kwa kuipanga Kanda ya Nyasa na kuona mbele?

    Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo? Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda...
  14. BigTall

    Alphonce Msigwa: Uoto wa Asili lazima urejeshwe na kulindwa

    Alphonce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Mradi wa Kulinda Ikolojia ya Hifadhi ya Mahale na Hifadhi ya Katavi amesema lengo la mradi ni kusaidia Wanyamapori kuendelea kuwepo huku Abel Mtui ambaye ni Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Katavi akisisitiza umuhimu wa upatikanaji wa magari yaliyotolewa...
  15. Nyankurungu2020

    Rais Samia amefeli wapi? Gerson Msigwa amkumbuka shujaa wa Afrika hayati JPM

  16. J

    Pre GE2025 Ushahidi wa Mzee Mbowe akisema Msigwa ndiye aliyeshika chupa ya damu wakati wa kumsafirisha Lissu Nairobi huu hapa

    Mbowe huyu hapa akieleza kilichotokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi kwa matibabu.
  17. sonofobia

    Pre GE2025 Lissu: Aliyeshika chupa ya damu nikipelekwa Nairobi ni Msigwa (sio Mbowe)

    Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu. Amesema aliyeshika chupa ya damu aliyokuwa akiongezewa ni Mchungaji Peter Msigwa mwanasiasa nguli asiyeogopa hila na figisu. Wataalam...
  18. L

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Hayati Magufuli alitaka kunipa uwaziri na pesa lakini nilikataa

    Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo. Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu...
  19. Erythrocyte

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mliodhani nahama CHADEMA Mnajidanganya

    Ujumbe wake huu hapa --- Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema hana mpango wa kukihama Chama cha CHADEMA baada ya kutoshinda uchaguzi wa Kanda ya Nyasa. Msigwa...
  20. BARD AI

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa apendekeza kuwe na Midahalo ya Wazi hadi katika ngazi ya Kitaifa ili kupata Wagombea wa kupambana na CCM

    DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa Wagombea Msigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari na kusema "Napendekeza katika ngazi...
Back
Top Bottom