msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    CCM sasa tuache kumdhalilisha Msigwa. Inatosha. Ameomba msamaha

    Hakuwahi fanyiwa vitendo hiki huko chadema. Huku kwetu kiumri amezeeka kimatendo amerudi utotoni. Aibu sana.
  2. Tulimumu

    Peter Msigwa uwe unasema na yale ulotendewa na CCM

    Namshauri huyo anayejiita Mchungaji Msigwa kuwa wakati anaitangaza vibaya CHADEMA iliyomlea na kumkuza kisiasa awe anasema na yale aliyofanyowa na serikali ya CCM wakati akiwa CHADEMA ikiwa ni pamoja na kuwekwa ndani mara kwa mara na kubambikiwa kesi. Anaendesha siasa taka hivyo kuonekana no...
  3. Determinantor

    Dudu Baya ampa za uso Msigwa

    Kama huna bando sio kosa langu, hebu sikiliza hapa Chini https://vm.tiktok.com/ZMrCXakBB/
  4. GoldDhahabu

    Msigwa kaenda CCM kuwa sehemu ya akili ndogo au kuifanya CCM akili kubwa?

    Alipokuwa bungeni kwa tiketi ya CHADEMA, Mch. Msigwa alishawahi kukituhumu CCM kwa kusema kuwa akili ndogo (CCM) inaiongoza akili kubwa. Kwa yeye kutimkia CCM, ameamua kuwa akili ndogo ili awaongoze akili kubwa au anataka kuifanya CCM akili kubwa? Pia soma:CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?
  5. GoldDhahabu

    Ni halali kwa Mch. Msigwa kuikosoa CHADEMA?

    Mimi siyo mfuasi wa Chama Chochote cha siasa, ila ni mpiga kuta mwaminifu. Sichagui Chama, namchagua mtu. Msigwa ni mwanachama wa CCM kwa sasa. Lakini miezi michache iliyopita, alikuwa CHADEMA akiwa ni mmoja wa viongozi waandamizi wa hicho chama. Baada ya kuhamia CCM, amegeuka kuwa mmoja wa...
  6. L

    Msigwa, Sasa ni muda wa kueleza mazuri ya CCM ukirejea yale uliyokuwa unasema ni mabaya

    Ndg yangu Msigwa habari! Nimefuatilia kiasi kikubwa mikutano uliyopewa nafasi kutoa hotuba yako. Nindhani tutakuwa tumekuelewa. Sasa itakuwa ni vizuri utueleze na uzuri wa huko uliko hamia CCM. 1. Kama rushwa haiko. 2. Maneno aliyosema Nape kama si...
  7. britanicca

    Siasa za Beirut zinalipa Kama rival akisajiliwa je, ni sahihi kumpa Wizara ilokuwa ya Mpinzani wa Dr Mwezi huu? Au tungevuta vuta muda?

    Hapo beirut kimewaka! Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea...
  8. kavulata

    Pre GE2025 Mchungaji Msingwa anainajisi Siasa za Demokrasia, CCM ni safi kuliko CHADEMA?

    Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana anayajuà. Msigwa anataka kutuaminisha kuwa CCM ni wazuri sana kuliko CHADEMA, hii ni kweli? Huu ni udhaifu...
  9. Komeo Lachuma

    Pre GE2025 Picha: Wameamua kumdhalilisha Peter Msigwa. Ukimtazama usoni amefadhaika sana

    Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa...
  10. L

    Pre GE2025 Mbowe na Lissu msimjibu Msigwa, tutamalizana naye wenyewe

    Mheshimiwa Mwenyekiti Freeman Aikael Mbowe na Makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lissu nianze kwa kusema ninawaheshimu sana. Mmepigwa mawe mengi sana ya maneno ya kisiasa, mmevumilia mengi sana, mmenyang'anywa hata mali zenu, mmeshikiwa mtutu wa bunduki. mmewekwa mahabusu kwa manufaa ya akina...
  11. Komeo Lachuma

    CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?

    Amekosa mvuto. Amekuwa si riziki kabisa. Hata ndani ya Chama hapati heshima yoyote. Wameona hana impact pamoja na kujaribu kumjenga ila wanaonga hajengeki. Chadema. Wameshamsahau. Mi ningekuwa ni mshauri wa Msigwa ningemshauri agombee nafasi Chadema. Ashinde kisha akishinda ajiuzulu ahamie CCM...
  12. H

    Kwa CV hii ya Msigwa! Je, ni eligible kuweza kusimamia maliasili na utalii??

    WanaJF! Hapa nchini Tanzania kuna sekta fulani fulani ambazo ni nyeti na zinapaswa kupewa uangalizi wa kina ili ziweze kuleta tija kwa taifa. Mfano tu wa sekta hizo ni sekta ya maliasili na utalii, sekta hii kama ikiweza kusimamiwa vizuri, sio tu itaipatia serikali mapato yake, bali itaweza...
  13. Determinantor

    Bulaya ampa za Uso Msigwa

    Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto. Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao. Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na...
  14. Vichekesho

    Msigwa aingizwe kwenye kamati ya maridhiano aiwakilishe CCM kuridhiana na CHADEMA

    Mh Tundu Lissu amekuwa akinyooshea kidole kitendo cha Mwenyekiti wake kushiriki katika maridhiano na CCM. Amekuwa akisema kuwa CCM hawaaminiki. Kwakuwa Lissu anakiri kuwa anamwamini Mchungaji Msigwa na ndiye aliyeshika chupa ya damu toka Dodoma hadi Nairobi, basi CCM impe jukumu mchungaji...
  15. Allen Kilewella

    Msimshangae Msigwa: Mvuvi ndiyo huamua samaki auzwe au aliwe supu

    Kuna baadhi ya watu wanashangaa ukengeufu wa Msigwa. Wengine wanahoji kama ana utimamu wa akili ama kawehuka. Lakini lazima tukubaliane kuwa sote kama watanzania tunao ujinga wa kihalaiki. Ujinga wetu mkubwa ni kuwategemea sana wanasiasa kusimamia maslahi yetu bila sisi kuwasimamia wao...
  16. Kididimo

    Wizara ya Mifugo ichunguze. Vijana wa viatamizi waliomaliza Mafunzo wanatupwa maporini utafikiri wao ndo wananenepeshwa na siyo ngombe

    Kuna uwezekano Mama yetu Samia anahujumiwa. Serikali ichunguze wasimamizi wa Mradi wa vijana BBT- Mifugo. Kuna haya mambo yanayotia kinyaa; 1. Vijana waliahidiwa kukaa mwaka mmoja kambini wakipata mafunzo ya unenepeshaji mifugo. Kinyume, wamekaa mwaka mmoja na nusu kwa mahangaiko yasiyo ya...
  17. E

    Kila nikiangalia hizi picha nabaki kuwangaa CHADEMA lia lia kuhusu suala la Msigwa

    Wanasiasa ni ngumu sana kuwaamini na wanashangaza
  18. T

    Iwapo Msigwa angemshinda Sugu yote haya angesema na kukimbilia CCM. Anyamaze kulinda heshima yake

    Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote haya. nimemdharau sana. ni kweli Mbowe anaqeza kuwa ameitoa Chadema kwenye misingi yake lakini haya...
  19. Crocodiletooth

    Nitazunguka nchi nzima kuueleza uhuni na uongo wa Chadema kwa watanzania - Msigwa

    "Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu...
  20. GENTAMYCINE

    Ukiwa na Akili timamu hutomshangaa Msigwa kuhamia CCM ila ukiwa Juha hakika utamshangaa mno

    Wiki tatu zilizopita hapa hapa JamiiForums niliandika na kutahadhirisha kuwa CHADEMA hakuko salama mkadhihaki. Sijui ni kwanini mnashindwa Kukubali kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu hakuwapa Utajiri wa Mali na Pesa bali kawapa ule wa Akili Kubwa, Maono na Maarifa mengi ya Kiuchambuzi...
Back
Top Bottom