Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.
Salaam, Shalom!!
Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk.
Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa,
Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako...
Ninao ushahidi usioacha shaka kutetea kauli ya Mch Peter Msigwa kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatumia chama hicho kama saccos binafsi tena ya familia. Na kwamba anatumia Mbowe Foundation kukwiba fedha za chama hicho (ruzuku).
Hata 2010 katika Uchaguzi mdogo jimbo la Busanda...
Friends and Enemies,
Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.
Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira.
Kwa Mfano anasema,mbowe...
Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe
Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka.
Soma Pia: Peter...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa peter Msigwa ameendelea kuvurumisha Makombora Mazito mazito kwa CHADEMA,ambayo yameonekana kuteketeza na kusambaratisha kabisa kambi zoote za CHADEMA na kuwafanya askari wake kuishi kwa kutanga Tanga muda wote.
Mtumishi huyo wa Mungu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahia maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kujuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania.
Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa...
Kuna utumwa wa aina nyingi ukiwemo wa fikra, ngono, kutumikishwa na pia huu wa siasa ambao Msigwa na Peneza ndo unawahusu
CCM sasa hivi kazi yao ni kuitisha mikutano halafu wao wanakaa background wanawatanguliza Msigwa na Peneza ili kuishambulia CHADEMA huku wao wakiwacheka hasa wanapokosea...
Kuna rafiki yangu fulani amenithibitishia kuhusu ndugu yake aliyepona VVU baada ta kunywa dawa ipo kama chai alienda magomeni ama clinic yake kwa dokta anaitwa tr msigwa hata youtube video zake zipo anajinasibu anatibu ukimwi na magonjwa mengine.Binafsi mimi nina mashaka kwani tumefundishwa na...
Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa.
Manufaa ya...
Issue ni Je kuondoka kwa Msigwa, Chadema imeteteleka? Is Chadema crubmling due Msigwas's cross over the floor/defecting to CCM? haya ndiyo maswali ya Msingi.
Watu wa maana ni wengi lakini kuna mtu akiondoka mnatikisika. Msigwa alikuwa wa maana, sawa lakini umaana wake ni kwa kiwango cha kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mchungaji peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada mtiifu na Mzalendo kwa chama cha Mapinduzi na ambaye anajutia uamuzi wake wa kupoteza nguvu zake na muda wake wa miaka takriban 20 kuwa ndani ya CHADEMA.
Amsema kuwa CHADEMA ni Sacco's ya mtu ,ambapo...
Hata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo
Alikuwa akiongea katika mkutano mmoja mkoani Kagera.
Hotuba yake nzima unaweza kuitazama katika link hapa chini...
Ni dhahiri, Msigwa alipojiunga CHADEMA, kama ilivyo kwa wengi waliokuja kukengeuka baadaye na kuamua kuwa mapandikizi, alikuwa ni mwanachama halisi aliyekuwa ameamua kuwa CHADEMA. Lakini wakati wa uongozi wa Magufuli, bila shaka, kwa hulka yake ya tamaa ya cheo, alishindwa kuhimili kuishi bila...
Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth!
Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue!
Heshima uliyokuwa nayo si ya kubeba masananu ya watu! Tena watu uliokuwa ukiwananga miaka zaidi ya 10 starting with her...
Heshima ssna wanajamvi.
Sasa ni wazi Mch Msigwa ni mmoja wa wale wanasiasa waliolamba fedha za Abdul.
Katika hali ya kustaajabisha Mch Msigwa hakuwahi kubeba Bible takatifu hadharani na kuwaaminisha waumini wakikifuata na kukitii kitabu hicho kitakatifu watakwenda Mbinguni.
Mheshimiwa Abdul...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.
Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.
Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.
Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo...
Kuna na Upendo Peneza pia
Manara msemaji wa Yanga deep down ni SIMBA 100% Kaenda Yanga kwa sababu ya njaa tu
Msigwa si mwana CCM kwa hali iwayo yote.. Njaa iliyokimbilia kichwani ndio iliyompeleka CCM
Mapenzi ya kitu huja na kupoteana lakini sio mahaba.. Wapenzi waachanao na kurudiana kila...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya CHADEMA zinapaswa kuchunguzwa kwasababu CHADEMA si malaika kwamba wasikosee.
"Inategemea hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.