Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...