Taasisi ya elimu Tanzania (TIE) nawapongeza Kwa juhudi za kuinua Elimu nchini katika ngazi zote shule za msingi mpaka masekondari
Lakini suala linakuja kwenye hao wanaoenda kuutekeleza Kwa vitendo huo mtaala hawaandaliwi sawasawa na matakwa ya mtaala hivyo kufanya matokeo ya huo mtaala...