Mtaani kwetu maji yamekatika week ya 2 sasa. Inasemekana lkn eti, baada ya mh rais aliyepita kuondoka kuna watu washaanza michezo ile ya zamani ya kukata maji ili wawe wanauza kwenye maloli!
Hebu tuambie kama na mtaani kwenu maji yamekatwa kwa muda mrefu. Huwezi jua labda mama ataliona kisha...