mtaani

  1. Nimebisha sana leo; ni kweli kuna Madaktari mtaani hawana kazi?

    Kuna mtu nilikuwa nabisha nae sana leo, mimi ni muhitimu wa level ya degree kwenye coz zetu hizi ambazo kila chuo ukienda zipo, ila MEDICAL DOCTOR Kiukweli kabisa kutoka moyoni siamini kama kweli kuna mtu amemaliza hiyo course hana ajira, labda mnisaidie wenzangu wa JF.
  2. Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

    Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
  3. R

    New Year ndio nimeona faida ya kufahamiana na wahuni wa mtaani

    Habari za mwaka 2021 wadau Twende kwenye mada, nikiwa somewhere nausubiri mwaka mpya nilipata msala nadhani wengi mnajua maeneo unayoishi mtu lazima kunakuwa na vijana wahuni wanaokaa hapo mtaani, hawa watu wakikuzoea sometime ni shida wanaombaomba usipime kila akikuona iwe baa iwe njiani...
  4. Acha kutumia maneno haya mtaani nii matusi makubwa sana

    Tukumbuke kuwa lugha yoyote imebeba utamaduni wa wazawa wa lugha husika. Na matusi hutofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine. Neno ambalo ni tusi katika lugha ya Kiswahili huenda lisiwe tusi katika lugha ya Kiingereza. Pengine umekuwa ukiyatumia kwa ‘kuiga ’, yaani umeyasikia kwenye "movies"...
  5. Mitandao ya simu TIGO, AIRTEL, VODA NK. Msiifuate hii amri itatuumiza watumiaji wenu na FL wenu mtaani

    Kwanza naomba kueleweshwa hii ya TCRA kutoa amri na kupanga bei/kupandisha bei katika kampuni binafsi huru ambazo si za kiserikali hii imekaaje, maana sielewi kupitia hili tamko. ====== Mamlaka ya mawasiliano TCRA imeyataka makampuni ya mitandao kulipa kodi adi asilimia 30% ya bidhaa za laini...
  6. Wezi na wavuta bangi wamekithiri Kawe Mtoni, tunaomba Polisi mtusaidie

    Niliwahi andika miezi kadhaa, .... Nirudi kwa mkuu wa kituo Kawe, ndugu yangu naomba niwajulishe kuna wizi unatokea Kawe Mtoni na maeneo ya bar za Soweto mpaka kanisa la Victory. Kila siku wamama wanaporwa wanabakwa majuzi tumekuta nguo za ndani njian.... Vigenge vya wahuni mnavijua kule Mtoni...
  7. Hali ngumu sana mtaani, unaweza kuuawa kwa sababu ya Elfu 20

    Tukiacha kundi dogo la Viongozi wa Kisiasa wa Chama kilichojimilikisha madaraka, kwa kweli hali ya maisha kwa Wananchi ni ngumu sana huku mtaani,tuache kuvunga.. Hela hakuna wakuu, Ukitoka nyumbani na sh. laki moja unarudi huna hata sh. 100...bila shaka hali hii hainikabili mimi peke yangu...
  8. Mwalimu Mkuu awa ombaomba mtaani baada ya kustaafu

    Mwalimu Losia aliyekuwa mwalimu Mkuu wa shule ya msingi mjini Moroto amekuwa ombaomba mtaani baada ya kumaliza utumishi wa umma.Hakulipwa pensheni yake. Kuna wangapi wa aina hii nchini Tanzania ambao wamekufa kwa stress, wamepooza mwili, na wanasononeka kwa kupata madhila haya? Wengine...
  9. K

    Uchaguzi 2020 Ni wakati gani JWTZ inapaswa kuingia mtaani kushiriki shughuli za kisiasa na kutuliza ghasia?

    Zamani tulikua tunafundishwa majukumu ya ulinzi yalivyogawanyika. Kwa kumbukumbu zangu mgawanyo ulikuwa hivi: 1. Usalama walikua na jukumu la kukusanya kuchakata na kushare taarifa kwa jamii na vyombo vingine kuhusu viashiria mbalimbali vya uvunjifu wa amani au fursa ambazo Kama nchi tunapaswa...
  10. Hivi Ukiamua kutafuta kazi kwa Mikoa ya Tanzania kwenye makampuni, ofisini, viwandani, mtaani, kwa siku tatu utakosa kweli

    Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary. Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige tu.
  11. Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akili nyingi, alichokisema kuhusu pesa kupotea mtaani

    Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi. UNAJUA ALISMAJE? Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa...
  12. JF Scheduled Maintenance - October 2020

    ====== UPDATE: Marekebisho yamefanywa Oktoba 6, 2020 around 23:00hrs na yamechukua dakika 15 ====== Wakuu, Kuna maboresho yanafanyika chini kwa chini, search functionality inaweza isifanye kazi vema kwa siku moja au mbili (tangu jana). Tunatarajia hadi kesho muda kama huu mambo yatakuwa...
  13. S

    Uchaguzi 2020 Hapa Mtaani CCM hawapo tena siwaoni

    Sio kama siku za mwanzo za mwezi huu wa hekaheka za uchaguzi njano na kijani utafikiri msimu wa maua, ila hivi sasa wanaovaa njano na kijani hapa mtaani wamekuwa adimu sana. Wengi niliokuwa nawafahamu wamebadilika kimawazo na fikra zao sasa zinaona mbali,wamegundua shida na dhiki za maisha...
  14. Ajira Mpya za Walimu zinaweza kuwaumiza zaidi wasio na kazi kabisa mtaani

    Sio muda mrefu Serikali imetangaza ajira 13000 kwa walimu wa sekondari na shule za Msingi. Jambo hili ni tumaini jipya kwa walimu hasa wale ambao walikuwa hawana 'michongo' tangu wamehitimu elimu zao Nawaza wale ambao wamejichimbia kijijini jinsi watakavyopata 'Bundle cost' (The newest form of...
  15. Kwanini nyumba yako unaiita "kakibanda kangu"? Mungu hapendi kujishusha sana. Having too much humility is self destructive

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania jifunzeni kujishusha lakini isiwe too much. Mungu hapendi mjishushe sana. Having too much humility is self destructive; Unakuta mtu alikuwa anaishi katika nyumba ya kupanga vyumba viwili chumba na sebule, lakini kwa...
  16. Siku hizi ualimu ni kazi iliyopoteza heshima mtaani

  17. Mamlaka nchini Malawi zinachunguza gharama za Ujenzi wa daraja la kiwango cha kawaida kugharimu USD 600,000

    Kitengo cha Kuzuia Rushwa nchini Malawi kinafanya Uchunguzi kubaini imekuwaje ujenzj wa daraja uliofanyika wakati wa Rais Peter Muthalika katika Mji wa Blantyre mnamo Aprili 2020 kugharimu USD 600,000 The Malawi Anti-Corruption Bureau (ACB) is investigating how a substandard bridge...
  18. Shilingi mia tano imekuwa kero mtaani, maduka ya jumla wengi hawataki kuzipokea

    Tangia mabadiliko yafanyike ya pesa ya shilingi mia tano mwanzo ilikuwa ni noti lakini sasa ni sarafu, changamoto tunayoipata wananchi ni kwamba hii pesa imekuwa ni kero hasa zikiwa nyingi wenye maduka ya jumla wengi hawataki kupokea. Hivyo kusababisha kutokuingiza kwenye mzunguko; Mfano mimi...
  19. sasa mtaani ni kata funua tu!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…