mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simba na Yanga ni mtaji wa Serikali mnawalaumu TFF na Bodi ya ligi Bure tu

    Amini nawaambia hii issue isingekuwa simba/Yanga kuna timu ingekiona cha mtema kuni. Simba na yanga zinadekezwa na serikali na ndiyo jeuri yao kubwa TFF hawana meno. Kipindi kile game imesogezwa masa 3 mbele kisa birthday ya mwinyi yanga akachomoa bettry na hakufanywa kitu. Leo yametokea...
  2. Anza biashara ya printing, scanning na photocopying kwa mtaji mdogo tu.

    Mashine ni mpya kabisa, imetumika kwa miezi miwili tu. Unafaa kwa matumizi ya ofisi, chuo, Stationary na biashara. Bei poa 2,000,000/- karibu tuongee. 0712302556, 0684240927
  3. Wapi naweza pata mtaji wa kuanzisha BAR

    Katika viwanda 30,000 bilivyojengwa mie na familia yangu hatuna hata kimoja.!? Kwa sababu uanzishwaji wa viwanda ni jukumu la private sector na kila mmoja wetu hata mie NIMO.. Wapi naweza pata mtaji nianzishe BAR niwapunguzie watu mawazo kama jukumu la bia lilivyo...
  4. Y

    Fursa za biashara Bukoba mtaji million 5

    Habari Wana JF Naomba kwa mtuu anae ifahamu Bukoba anipe abc za fursa za kibiashara Nina mtaji wa million 5 nanimgeni katika mkoa huo 🙏
  5. Kama una Mtaji Njoo ufungue Gym Mkata Wilaya ya Handeni

    Wasalam mabibi na mababu, Kama mnavvojua wilaya ya handeni - Mkata kwa sasa ni sehemu inayokuwa kwa kasi sana. Kuwepo kwa Ofisi za Halmashauri Mkata, Hospital kubwa ya wilaya, Lakini yote kwa yote ni mji uliokuwa na muingiliano na watu tofauti tofauti kama vile watumishi wa umma, wafanya...
  6. Fungua mwanga wa mustakabali wa sekta- Jiunge nami kufanya kitu cha kimaendeleo na kuvutia sana(Bila mtaji wa kwanza lakini kwa shauku kubwa )

    Habari za mda huu , JIna langu naitwa Geofrey ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya uhandisi .Pamoja na masomo yangu nimejitengenezea msingi imara wa uelewa wa biashara kwa kusoma vitabu tofauti vinavyoelezea mbinu bora za ujasiriamali, usimamizi wa biashara na mkakati wa soko. kwa kipindi cha...
  7. Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

    Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana. GHARAMA: 1. Frame...
  8. Kijana Mwenye kuhitaji kuwekeza kwenye soko la mbao, nguzo za umeme kwa mtaji wa milioni mbili tu nipo hapa nitamsaidia

    Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate faida ya haraka Karibuni tuwekeze kwenye soko la miti ya mbao pamoja na nguzo za umeme Kwa mtaji...
  9. W

    Watanzania wengi ni waoga wa maisha, wanamshangaa Mbowe kukataa ajira benki kuu, una baba tajiri wa kukupa mtaji mrefu na connections, bado uajiriwe ?

    Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha, Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote, anaweza kukupa mtaji mrefu bila kujiuliza mara mbili, uende kuhangaika kwenye ajira za mshahara wa milioni...
  10. Je, kwa mtaji wa mil 1.5 naweza kufuga kuku wa mayai, wa nyama na chotara kwa wakati mmoja?

    Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
  11. Ushauri wa biashara kwa mtaji wa million moja na nusu

    Kuna mtu anaomba ushauri nikaona niwashirikishe wanafamilia wa jf, Ana million moja na nusu anataka kununua bodaboda used namba d ampe mtu ampe elfu nane kwa siku au afungue saluni za mtaani kinyozi ampe elfu saba kwa siku Wazoefu wa biashara izo toeni ushauri
  12. Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  13. Jinsi ya Kuanza na Kufanya Online Business Bila Mtaji wa Pesa (Uzoefu wangu)

    Nimeanza kufanya biashara mtandaoni (online business) tangu mwaka 2021 na hii ni njia bora ya kujiongezea kipato bila ya kuwa na mtaji mkubwa wa pesa. Nitakueleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kuanza biashara ya mtandaoni ukiwa huna mtaji wowote wa pesa. Hapa ni mambo ya msingi unayohitaji...
  14. Nawezaje kuanza biashara ya real estate Kwa mtaji wa viwanja nilivyo achiwa na Mzee ?

    Wakuu habari Kuna viwanja vitatu Mzee kanipa, Kimoja kipo Mlandizi ndani ndani huko porini, kama unaenda bagamoyo Kingine kipo ubungo external Cha mwisho kipo kimara mwisho Na Sina mpango wa kuuza hata kimoja , ila mpango mkubwa ni kuanza biashara ya Real Estate Sasa, swali la msingi...
  15. M

    Mtaji wa milioni 45 napata faida ya 500,000 baada ya siku14 ni sawa?

    Habari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14 Hadi mzingo unakua umeisha. Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda? Ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaidi
  16. Je mtaji wa ml.8 unatosha kufuga layers 600 mpaka waanze kutaga?

    Habari wakuu, naombeni uzoefu wenu hasa kwenye sekta hii ya kuku wa mayai. Binafsi nimewahi kufuga kuku wa kienyeji, chotara, na broilers kwa uchache, ila kwa sasa nahitaji kufuga kuku wa mayai 600 hivyo ningependa kujua gharama zao hasa kwenye upande wa chakula, vifaranga na madawa tuu ukiacha...
  17. Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo dar es salaam, kisiju (Iam seeking for a capital to start farming business in dar es salaam, kisiju)

    Habari Naitwa Aisha. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa heka 11 za kulimia tu, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba kisima...
  18. Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo Dar es salaam kisiju( seekin for a capital to start farming here in Dar es salaam kisiju)

    Habari. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa shamba la kulikia na jamaa wa karibu heka 11, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba...
  19. Naomba Msaada: Ushauri, Kazi, Mtaji, au Vifaa vya Kusikilizia

    Habari wanajamii, Naitwa Allen, Samahani Kwa usumbufu, natambua mna mambo mengi ya kufanya ila kwa MDA wako umeamua kupitia Uzi huu🙏🏿, Napitia changamoto ya Usikivu hafifu Kwa takribani miaka mitano (5) hali ambayo imeathiri sana maisha yangu ya kila siku. Nimezunguka HOSPITALI tatu (3)...
  20. Nimekula mtaji wa watu

    Mssada wadau kuna duka nimekabidhiwa lakini mwenendo wa mauzo siyo wa kuridhisha pia inasemekana hili eneo halina biashara na uswahili ni mwingi,lakini mbaya zaidi kwa milango tuliokodi sisi upande wetu kwa miezi kadhaa nashuhudia watu wanahama mimi bado nimekomaa. Tatizo linakuja duka biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…