Wakuu habarini za leo, natumai mko kamili gado.
Ninalo wazo kubwa la biashara ambalo likitekelezeka hakika litanipatia ukwasi wa kutupwa na nitakuwa moja ya matajiri vijana kwenye hii nchi.
Tatizo sina mtaji wa kutekeleza wazo lenyewe, nachokifanya kwa siku hizi chache nakwenda kulisajili kwa...