mtandao

  1. Mtandao wa Mycelium (Uyoga): Kiumbe Kikubwa Zaidi Duniani na Hadithi ya Uhai Usioonekana

    Je, uhai lazima uwe na macho? Lazima utambe au uruke? Au unaweza kuwa kitu tulivu, kinachostawi gizani, kikienea polepole kwa mamia ya karne bila mtu yeyote kugundua? Katika simulizi ya ajabu ya maisha, kiumbe kikubwa zaidi duniani si nyangumi wa buluu anayetamba baharini, wala si mti wa miwata...
  2. Tiktok yashtushwa na kushangazwa na idadi ya wasukuma katika mtandao wao. Waongoza kwa kutengeneza content

    Hakika si kilimo tu, sasa wameingia katika dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa kasi kubwa.
  3. Mtandao wa elimu Tanzania: Adhabu ya viboko iondolewe shuleni

    Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa adhabu ngingine zenye kuongeza stadi za maisha kwa mwanafunzi. Soma: Simiyu: Mwanafunzi adaiwa...
  4. Je mtandao wa X (twitter) umezimwa Tanzania?

    Mtandao namba 1 kwa kuibua mijadala mbalimbali ulimwenguni maarufu kama X zamani ukijulikana kama Twitter ni kama umezimwa nchini Tanzania. Ukijaribu kuingia kwa njia ya kawaida unagoma mpaka utafute VPN. Je ni tatizo la kimtandao au ndio umezimwa kimyakimya?
  5. Dkt. Biteko: Serikali kujenga mtandao mkubwa wa mabomba ya gesi pamoja na vituo vya kujazia gesi kwenye magari

    Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala (kilomita 19) jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo pia itajenga vituo vitano vya CNG...
  6. Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) watoa msaada kwa Kituo cha Wazee Wasiojiweza Njoro

    Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) mkoani Kilimanjaro leo Machi 6, 2025 wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha wazee wasiojiweza Njoro, kilichopo kata ya Mji mpya mkoani hapa. Vitu vilivyotolewa ni mchele kilo 100, unga wa ugali kilo 50, unga wa ngano kilo 50, mafuta ya kula...
  7. AI ya Elon max ya mtandao wa X ! kiboko ya uongo

    Nimeipa kazi ya kutengeneza picha ya sura yangu!! Nilikua naijaribu tu maana hatujawai onana😅😅
  8. Nimerejea JF baada ya kuupitia mtandao wa X (Twitter)

    Habari za Asubuhi wakuu,wale wakubwa zangu Shikamoo Mshana Jr ,Shikamoo ndugu yangu wa muda mrefu GENTAMYCINE ,mambo vipi mdogo wangu rikiboy Mzee wa kula Tunda kimasihara, Kiufupi ndugu yenu ZERO IQ nilijipa breki kidogo hapa Jamii forum na kwenda huko kwenye huo mtandao wa watu wa X zamani...
  9. Kwanini ikifika saa6 usiku network inakata Vodacom?

    Nimekuwa naona mara kwa mara ikishafika saa6 kamili usiku (00:00) au ndani ya dakika kumi za mwanzo network ya Voda inazima kabisa! Inarudi baada ya nusu saa au pengine inarudi saa7! Kwanini inakuwa hivi?
  10. Mtandao wa YAS na roaming network wamefeli

    Habari wanajukwaa, Nimekua mtumiaji wa mtandao wa YAS (Tigo) kwa miaka sasa. Ila mtandao huu umejaa janja janja sana. Wakati wanahama kutoka jina la Tigo kwenda YAS mtandao huu ulijitabainisha upo nchi tano. Tanzania Togo Comoro Senegal Madagascar Ila cha kushangaza huu mtandao unapotoka nje...
  11. Elon kamaliza kazi Simu zetu hizi zitakua na uwezo wa kushika mtandao wa StarLink moja kwa moja

    Sasa mkombozi wetu ametufikia tena. Ni jambo la kumshukuru Mungu. Jamaa yetu Elon kakinukisha huko. Mnalionaje hili wakuu, Sasa simu zetu zimewezeshwa kushika mtandao wa Starlink. Kwa heri Vodacom, Kwa heri Airtel, Kwa Heri Yas, Kwa Heri Halotel. Tubaki na biashara za Miamala. Source...
  12. Naomba mbinu ya kukukwepa utapeli wa mtandao wa Yas!

    Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa, katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa nimekumbana kadhia ya kukatwa salio kila nikifanya miamala na kila nikinunua vifurushi kupitia mtandao...
  13. Pre GE2025 Kwa mawe aliyokuwa anarusha Tundu Lissu leo Ikungi, imebidi tu wakate mtandao

    Huyu Tundu Lissu ni mtu wa hatari sana. Nilikuwa naangqlia live anavyochambua hoja kwa hoja kuwaelezea Watanzania kwa nini wanasema No Reform No Election. Nonso alizokuwa anatema Lissu hata uwe kilaza wa mwisho lazima utamwelewa. Alikuwa anatoa na takwimu sahihi bila kusoma popote. Naona Simu...
  14. KERO Mtandao wa Halotel Tanzania umedorora kwa kiwango cha kushangaza, ukionyesha udhaifu mkubwa katika utoaji wa huduma za mawasiliano

    Katika siku za hivi karibuni, wateja wamekuwa wakijiunga na kifurushi cha GB 10 cha mwezi mzima, lakini ndani ya siku tatu tu, bando limekwisha, huku matumizi halisi ya data yakionyesha kiwango cha 1GB kwa kila siku tatu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kasoro katika mfumo wa usimamizi wa data au...
  15. Leo naacha Rasmi kutumia mtandao wa HALOTEL

    1.Back in days 2022 kuna kipindi watu walikua wakinipigia sipatikani hali ya kuwa simu ipo on, ikawa mpaka mtu arudie mara kwa mara kupiga ndio kuba muda labda itakubali. 2. Kuna kipindi mlishikilia pesa yangu hewani kwa wiki nzima niliyokuwa naituma pahala pa muhimu sana mkanikosesha uaminifu...
  16. J

    Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

    Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini Ngoja...
  17. Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024. Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26. Pakua Samia App kupitia...
  18. A

    Mtandao wa "YAS" Msipokuwa serious mtaanguka sokoni

    Kwanza niwapongeze kwa kufanikiwa kweny manunuzi ya mtandao wa tigo na mkaubadilisha jina kuwa" YAS" Mahali mnapofeli kwa sasa 1. Mmebweteka saana, kweny promotion mkiendelea kutegemea promo za zamani za tigo na mnachofanya ni kubadili jina tuu la promotion. 2. Kukosekana kwa ubunifu na...
  19. Nimetapeliwa kwenye biashara yangu ya huduma za kifedha (Uwakala)

    Habari za wakati huu wakuu!. Aisee hatimae na mimi nimefikiwa. Walikuja jamaa watatu kwenye biashara yangu ya huduma za kifedha(uwakala) kwaajili ya kupata huduma. Wawili walikua wanaweka fedha nusu nusu, yani anaweka 20,000 tena anasema niongezee 1,000 mara niwekee tena 5,000. Hii yote...
  20. Je, Xiaohongshu[RedNote] utakuwa mtandao mbadala wa TikTok endapo utafungiwa January 19 ?

    Huu mtandao wa kichina Xiaohongshu kwa jina la kiingereza RedNote utaweza kuwa mbadala wa TikTok marekani kama utaweza kukufungiwa Januari 19 au ni nguvu ya soda tu kwa sasa. Xiaohongshu, also known as RedNote, has hit #1 on the US App Store following news of a possible TikTok ban on January...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…