Picha: Pinterest
Mimi nimeanza kutumia X kwa sasa toka 2017. Niliheshimu mtando huu sana kwa habari nzuri na kwa ufupi kutokwa kwa watu mbalimbali.
Leo hii unaingia X unakuta ndio watu wanaongoza kwa kusambaza video za ngono pamoja na kudhalilisha watu na mwisho naweza sema Facebook ni mtandao...
Kwa siku za hivi karibuni mtandao wa Vodacom umekuwa ukisumbua sana Hali ambayo imepelekea usumbufu mkubwa sana kwa watumiaji wa mtandao huu.
Kumekuwa na Hali ya kukatika kwa network au kushindwa kufanya miamala ya kifedha jambo ambalo limekuwa likijirudia rudia na kuzua sintofahamu Kubwa kwa...
Kampuni ya Roblox inayohusika na na Michezo ya Mtandaoni (Gaming) imetangaza kubadili Sera zake zinazuhusu Usalama wa Watumiaji wake ambapo kuanzia Novemba 18, 2024 Watoto wenye chini ya miaka 13 hawataruhusiwa kuingia katika Jukwaa hilo
Hatua hiyo inafuatia ukosoaji wa muda mrefu uliokuwa...
Wadau kama kichwa kinavyosema, nimekwama nahitaji angalau 5k nipate lunch, ni site au app gani inaweza kunifanikishia hilo kwa muda mfupi?
Naombeni muongozo wadau, jua ni kali tumbo lina mgogoro.
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Suleiman Kissoki amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 6, 2024 nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam.
Akizungumzia taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa Shiwata, Michael Kagondela alisema hadi jana jioni, marehemu alikuwa...
Wa Kwanza kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Sufuria iliyotoboka.
Wa Pili kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Jalala
Wa Tatu kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Kinyesi Kibichi
Halafu kwa haya Majibu yenu / yao Wanawake ndiyo mnataka tukizikamata na Kuwahongeni...
Mtandao wa Twitter/X ndio jukwaa maarufu zaidi na pendwa la kimtandao kwa miaka mingi ya hivi karibuni katika kutoa taarifa za mambo ya siasa, katika uchaguzi huu wa Marekani unaondelea wadau wa Democrats wanalalamika X kumbeba Trump na kukandamiza taarifa zao leo siku ya uchaguzi.
Leo siku ya...
Baada ya Mwachama wa JamiiForums.coma kulalamikia changamoto ya Huduma ya Mtandao katika Mfumo wa NeST, ufafanuzi umetolewa na mamlaka inayohusika
Kusoma hoja ya Mdau kwa zaidi bofya hapa ~ PPRA Mtandao wa Manunuzi (NEST) una changamoto sana
Afisa Uhusiano wa Umma wa PPRA, Joseph Muhozi...
kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu
mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo shop bora SME kulko post paid inayo limbukiza maden Tigo wameandika kupata huduma 10k
Ndugu zangu wana Jamvi mnakumbuka siku chache zilizopita, baadhi ya wateja wamekumbana na changamoto za kutumia huduma ya mtandao wa Vodacom?
So Vodacom Tanzania hivi sasa wanafanya maboresho muhimu ya mifumo ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha huduma kwa wateja wake.
Soma, Pia: Mtandao wa...
Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
Hi
Ni router za ukweli sana hauhitaji router ya kila kampuni insupport mtandao wowote ule online kama unapata si chini ya 200,000 hata kwenye soko la china..
Mimi nauza nusu bei yaani 120,000 pekee mpya kabisa kuanzia mbili kuna discount.
Tupo Dar, Arusha na Nairobi
Wakuu habari ya muda huu, hongereni kwakuendelea kupambana kuhakikisha ndoto zenu zinatimia🤝 hakika Atukuzwe Mungu anaye tuwezesha katika Hatua hizi zote🙏.
Wakuu nimekuwa nikiangalia Bei za bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika mtandao WA Alibaba kwakweli zina Bei nafuu kuliko hapa nyumbani..Sasa...
Elon Musk anaendelea kuboresha kanuni za mawasiliano ya mitandaoni kwa hatua nyingine ya juu kabisa.
Sasa Elon anasema kama umaweeka bandiko ama post na imechagua hilo bandiko liende kwa umma ama public basi hata wale ulio wablock wanatakiwa kuona maana ni public unless uchague kuweka private...
Mgomo mkubwa wa madereva wa taksi mtandao za mtandaoni za kampuni ya Bolt leo Oktoba 15,2024, mpaka yalipo makao makuu ya kampuni hiyo eneo la Morocco Kinondoni, wakishinikiza ongezeko la nauli.
Madereva wa Bolt wameandika malalamiko kuhusu ongezeko la makato ya kamisheni kutoka asilimia 15...
VODACOM shida nini matuzimia mtandao hovyo?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hivi hawa watoa huduma za Voda kwa nini wanatuzimia mtandao hovyo na kutusababishia hasara na fedheha ya mawasiliano huku wakiendelea kutulia bando/vifurushi tunavyoeka?
Mbaya zaidi hata wakirudisha mtandao...
Uamuzi huo umefanywa na Jaji Alexandre de Moraes ikiwa ni miezi miwili tangu Mtandao huo ilipofungiwa kutoa huduma zake nchini humo kwa madai ya kukiuka Sheria ya Mitandao
Brazil's Supreme Court has said it is lifting a ban on the social media platform X, formerly known as Twitter.
In his...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.