Na huu ni ukaguzi wangu binafsi kutokana na eneo nililopo. Hapa nitatoa kitu kinajulikana km customer feedback.
Awali ya yote mimi ninatumia mitandao yote ya simu yaan Airtel, Yas zamani Tigo/Zantel, Vodacom na Halotel.
Sasa kwa eneo nililopo nimejaribu kufanya tafiti zangu binafsi ili...
Wakuu niko kwenye final process za Kufungua Kampuni, Nahitaji Wadau mnishauri je Niwe na Namba Moja tu ya simu kwa ajili ya Mawasiliano ya Kampuni au niwe na namba zaidi ya Moja?
Na Je nichague mtandao upi wa simu kama namba Kuu ya Kuwasiliana na Kampuni?
Location ni Dar es Salam
Hii mitandao ya simu Tanzania imekuwa kero sasa, unajikuta una laini ya kila mtandao na kila laini unasajili kwa kazi yake kwasababu hakuna mtandao unaotoa huduma zake kwa 100%.
Nina laini za mitandao mitano lakini kila mmoja una matatizo yake.
Halotel, laini yao imeacha kufanya kazi ghafla...
Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali
Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
Ndugu zangu siku za karibuni mliifahamu kama kampuni ya TIGO sasa imekuwa YAS una lipi la kusema juu ya mabadiliko haya
Hii imekaaje tangu ilipobadilishwa na kuitwa YAS huku huduma ya fedha ikiitwa MIXX by YAS badala ya TIGO PESA??
Je tutegemee mafanikio makubwa ama kifo cha mende??
Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza gharama za makato hazionekani kabla ya kutuma pesa, ila utakutana nazo tu ukishatuma tayari. Hii si...
Tuliokuwepo miaka ya 2010 tunakumbuka Zitto, Mwigamba, na Kitila walianzisha na kuratibu mtandao wa siri ulioitwa ' 'Mtandao wa Ushindi' nje ya utaratibu wa Chadema ili kumwezesha Zitto Zuberi Kabwe kutwaa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa; Remember MM, MM1 MM2 na MM3.
Similarities ya...
Mahakama ya Rufaa ya D.C. imetangaza uamuzi wa kuunga mkono sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok kutoka China, kuuza hisa zake za programu hiyo ifikapo Januari 19, 2025, la sivyo itakabiliwa na marufuku kote Marekani.
Sheria hiyo, inayojulikana kama Protecting Americans from...
Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 27/11/2024?
Mpaka jana tarehe 29/11/2024, mtandaoni anasomeka, ila tunasoma habari...
Siku ya jana nilitoa fedha kwa wakala. Hapa nilipo huwa kuna mwendo kiasi hadi kufikia alipo wakala.
Sasa nina wakala ambaye huwa natoa fedha alafu namwagiza boda ananiletea mpunga wangu home nampa buku. Sasa jana nikafanya hivyo, kwanza mtandao ukawa haupo.
Nikamcheki jamaa baada ya muda...
Salama wakuu
Kuanzia mida ya jioni leo huu mtandao wa Yas naona unanipa shida kufanya mawasiliano kwenye kifaa changu
Simu hazitoki, sms haziingii internet imekata ukiwatafuta huduma kwa wateja namba hazitoki
Sijajua shida ipo kwenye simu yangu au na wale wanaoutumia mtandao huu wamepata...
Kwa wale tuliozoea neno 'Tigopesa' na uhusiano wake na huduma inayopatikana ya 'Pesa' kwa njia ya mtaandao wa TIGO, mnaonaje matumizi ya neno jipya la 'Mixx by Yas' lisivyo na uhalisia/ufanani na huduma inayotolewa ya 'Pesa'!
Inawezekana wahusika na kubadilika kwa jina hilo wana maana nzuri tu...
Huu mtandao wengi walikuwa wanautumia kwasababu za ngono! Lakini kwa wanaodeal na kutuma package za picha kubwa ulikuwa mzuri! Hapa kwangu ni zaidi ya miezi kama 6 hivi siupati!
WAKUU naombeni kujua ni mtandao gani kati ya hii iliyopo nchini UKIWEKA PESA kwenye huduma za miamala Ina ulinzi mzuri yaani ngumu watu kuiba pesa kati ya hii tigo Vodacom Airtel na halotel
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO IMEPUNGUZA UHALIFU WA MTANDAO- ACP MWANGASA
ACP Joshua Mwangasa, Mkuu wa Kitengo cha Makosa ya Mtandao kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Tanzania amesema kuwa kabla ya kutungwa kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 kesi nyingi zilizokuwa zikiripotiwa...
Habari za kazi, Natafuta gari ya kufanyia tax mtandao(Uber & Bolt), nina uzoefu wa kuendesha tax mtandao zaidi ya miaka minne, naishi kongowe mzinga kilwa road, nipo tayari kufanya kazi kwa bidii na maarifa.
Mawasiliano 0769235120
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.