Tigo Tanzania wanatakiwa kujibu tashwshi za Wateja Wao Wanahoji ni kwa nini Wanakata Bando 20 Au 30 katika kila awamu ya manunuzi yake.
Je, ni hii ni tashwishi yake tu au ni pamoja na wateja wote wa Tigo? Kama kuna mteja mwingine wa Tigo amekutana na shida kama hiyo. Aseme hapa kwa sababu Tigo...
Huku kwetu ikifika saa 12 jioni ni shida tupu, usifanye miamala mida hiyo utakoma!!!!!! TCRA mkoa wapi kuwatetea walaji?
Pia soma: Vodacom yaomba radhi kutokana na changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Aiseeh!
Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima.
Sio China, India, Pakistan, Ulaya ndio usiseme, Amerika na hata huku Afrika.
Sijajua tatizo ni nini. Hivi mchina...
Rafiki yangu mpendwa,
Kwa muda sasa tumekuwa tunakupa habari njema za SEMINA YA USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI 2024. Hii ni semina inayokwenda kukujengea ujuzi wa aina tatu; KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha ili kuwa na maisha huru.
Semina hii inafanyika tarehe 27/10/2024 Mbezi Garden Hotel Dar...
May all souls find enlightment.
Wakuu katika wakali wa ubunifu na magineous wa nyakati hizi jina moja haliwezi kukosekana ni Elon Musk.
Huyu somo amekua na mchango mkubwa sana katika kuboresha maisha ya kizazi chetu kwa uchache tu tunaweza kuzungumzia mchango wake katika sekta technology...
Mtandao wa Bwana Elon Musk wa Starlink sasa unapatikana Burundi.
Juzi rais wa Afrika Kusini alisema anamkaribisha na ameongea na Elon kutoa huduma ya Starlink hata kwa kuondoa vikwazo vya umiliki wa wazawa wa ndani.
Starlink inapatikana Afrika kusini ila kwa huduma ya Roaming kama ilivyo...
Toka 2021 nimekuwa nikitumia Twitter ku comment na ku like ku following, ila miaka ya hivi karibuni imenizuia kufanya hayo yote isipo kuwa ku like.
Naomba msaada kama kuna namna ya kufanya niweze kutumia kwa ukamilifu, nimejaribu kuwasiliana nao inashindikana au sijajua namna nzuri ya...
Nisiseme sana....
Najua humu Kuna wataalamu... Nauliza, mtandao gani wa simu (laini ya simu) ni salama kwa Matumizi ambao unatunza faragha za wateja wake?
Mitandai ambayo ipo tz ni;
1.Tigo
2.Vodacom
3.Airtel.
3.Halotel
4... Kama Kuna MWENGINE muoredheshe... Sasa kati ya hiyo ipi salama?
Idadi ya kadi za simu zilizo sajiliwa kufikia 2023
TZ (TCRA)
2020 51.2 million
2021 54.0 million
2022 60.2 million
2023 67.0 million
KE(CA)
2020 57.0 million
2021 60.1 million
2022 63.3 million
2023 66.1 million
UG(UCC)
2020 29.1 million
2021 30.2 million
2022 31.5 million
2023 32.8 million...
CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...!
Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana.
CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina chembe ya uongo...
Waungwana mtandao wa X umezimwa @ TZ au ni mimi tu. Make kwa muda sasa najaribu kufungua lakini hamna kitu. Mwenye taarifa za ziada tafadhari.
Soma Pia: Mtandao wa X (Twitter) unaelezwa kuzuiwa nchini Tanzania. Mmeanza kuinstall VPN's?
Soma Pia: Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini...
Mambo vipi walipa kodi!!?
Hivi majuzi nilikua na process kamkopo Fulani hivi kwenye Moja ya taasisi za kibenki hapa nchini,Hadi sasa hakuna nilichoambulia japo process zote zimekamilika!
Nilipomuuliza mdau mmoja wa taasisi hiyo akaniambia hujui mtandao wa fedha haupo nchini!!?na wameagizwa...
Taasisi ya ustawi wa jamii tunawaomba mrekebishe mtandao wenu kwani haifunguki na hata kufunguka ni kwa shida.
Mnawasumbua wanafunzi wanaotaka kusoma katika chuo chenu muache kujiendesha kwa mifumo ya kizaman Dunia sasaiv ipo kwenye tehama
Mnawakatisha tamaa wanajiuliza kama website rasmi ya...
Mnamo tarehe 30 Agosti 2024, tuliona ongezeko la hali isiyo ya kawaida kwenye mitandao kadhaa nchini Tanzania, ikionyesha kuwa upatikanaji wa Twitter/X ulizuiliwa kwa watumiaji wengi nchini. Ishara zenye nguvu zaidi za kuzuiliwa kwa Twitter/X zilionekana kwenye mitandao ifuatayo: Vodacom...
Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili?
Lakini ukiandika kwa kuacha nafasi sms inaenda au ukiweka alama katikati ya neno SEX mfano SE.X sms ndio inaenda nani kuruhusu mambo haya?
Mtandao wa 𝕏 umefungiwa Tanzania week hii wadau kwanini serekali inafanya hivi au ndio wanataka censorship?
Hii imeleta picha kuwa Tz is against free speech
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.