mtandao

  1. Cannabis

    Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania

    Taarifa kutoka Netblocks zinasema mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania --- Confirmed: Live metrics show that X (formerly Twitter) has been restricted on Tanzania's main internet providers; the incident comes as the police force issues an alert over alleged opposition party plans...
  2. P J O

    Mtandao wa Telegram Tanzania una shida gani?

    Wadau natumai mko vizuri. Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote. Telegram, imekuwa inaload tu Kwa siku ya nne sasa, kuna Nini kinaendelea?
  3. Cute Wife

    Tupeane Updates: Hali ya mtandao ikoje mahali ulipo? Shughuli zako zinaenda kama kawaida?

    Wakuu, Hali ya mtandao imekuwa ya kususua tunaenda karibia wiki ya tatu sasa. Ni shida kuingia katika baadhi ya sites kiasi kwamba inabidi utumie vipi. Pia soma: Historia ni mwalimu mzuri, msiseme sikuwaambia! Wale ambao kazi zetu zinategemea uwepo wa mtandao kwa sehemu kubwa zinaathirika...
  4. quantumania

    CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov akamatwa katika uwanja wa ndege nchini Ufaransa

    Kukamatwa kwa Pavel mmiliki wa mtandao wa Telegram pengine kumepelekea mtandao huo kuwa slow sana na wakati mwingine mpaka utumie VPN .Vip inaweza kuwa sababu hiyo ?? Wajuzi wa mambo mtujuze:::: Updates CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov (39) amekamatwa katika kiwanja cha ndege nchini...
  5. M

    Hivi ni kwanini kwenye mtandao huwezi kukuta live updates za Tanzania Premier League?

    Yaani uki Google ligi za ulaya utaona live updates inaonesha ni dakika ya ngapi na goli ni ngapi kwa ngapi, hata line-up za vikosi, ila uki Google Tanzania premier league unakuta inaonesha tu timu zitakazocheza na muda tu basi, yaani kama ni Mashujaa Vs KMC 1600 itabaki hivyohivyo hata mechi...
  6. Cute Wife

    Shida ya mtandao inayoendelea nchini tatizo ni nini? Serikali mpo kimya kampuni za mitandao mpo kimya! Sasa nani ana majibu?

    Wakuu, Kumekuwa na shida ya mtandao karibu wiki sasa, saa nyingine ikifika usiku mtandao unakuwa chini sana na wakati mwingine hata siku nzima, unakuta mtandao unasumbua kweli na hii ni kwa mitandao yote, yaani Voda, Airtel ns mingine. Cha kushangaza shida hii ya mtandao inabagua baadhi ya...
  7. M

    Natafuta vijana tupige KAZI ya kuuza Bundle mtandao ,tupate Mia Mia.

    Tigo na Halotel bundles Tu #0658204909
  8. JanguKamaJangu

    Alphonce Simbu: Hatukwenda kuiangalia njia(Olimpiki 2024), tuliiona tu kwenye Mtandao

    Mwanariadha Alphonce Simbu alipotua Nchini akitokea Ufaransa alihojiwa na hii ni sehemu ya maelezo yake kuhusu sababu za yeye kutofanya vizuri na kushinda Medali kwenye Michezo ya Olimpiki 2024 Jijini Paris: "Kwanza kabisa tulitakiwa tujijue njia ambazo tutatumia kukimbia hata miezi miwili...
  9. K

    Mtandao wa Airtel uko so weak sana na hausikiki wakati wa maongezi, kwanin?

    Jamani ukioiga Airtel kwenda matandao mwingien yeyote yaani hamuwezi kusilizana,sijui kwanini Airtel huduma zimaenza kuwa mbovu hivi?TCRA mmemchukua hatua zipi?
  10. GENTAMYCINE

    Tafadhali ID yangu hii isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku wa Leo tarehe 8 August,2024 basi jueni kuna tatizo Kubwa la Mtandao huku niliko

    Nimeamua kutoa mapema tu Taarifa hii ili ID yangu isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili ya Usiku wa Leo msinishangae.
  11. Mkyamise

    Natafuta router ya mtandao wa Halotel au Universal router

    Habari za leo waungwana. Natafuta router ndogo ya mtandao wa Halotel au Universal router. Ninapatikana Mwanza. Kwa maelezo zaidi na bei tuwasiliane 0623304519.
  12. Fivebrainy

    Kipato kupia simu janja na mtandao kinatengenezwaje?

    Leo asee nimekaa pekeyangu wakati nimejawa na ukimya binafsi na baada ya shughuli ya kila siku nikapatwa na wazo "iv wenzangu kupitia simu zao huwa wanajitengenezea kipato kwa namna gani au wao ni kushinda online badae unafunga data huna ata mia". Nikawaza upande wangu daah! Kwel ukitumia akil...
  13. GENTAMYCINE

    Nape kwahiyo ulikuwa unasubiria Utumbuliwe jana na Rais Samia ndipo Uufunge ghafla Mtandao wako wa X ( zamani ) Twitter?

    Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye si mara yake ya kwanza. Taarifa ya kuondolewa kwa Nape katika...
  14. Erythrocyte

    Mtanzania Afungua Kesi Mahakamani kuhusu kuzimwa kwa mitandao 2020, Aiomba Mahakama ichukue hatua kali

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka Duniani kwa sasa, Kwamba Mtanzania huyo Mzalendo na mwenye uthubutu, Bwana Kumbusho Dawson, ameifungulia kesi Serikali ya Tanzania Pamoja na Mamlaka za mawasiliano kwa jambo lile la kishamba la mwaka 2020 ili Mahakama ichukue hatua na itamke kwamba jambo kama...
  15. Cassnzoba

    Hivi ndivyo nilijikuta nakuwa mwanachama wa JamiiForums

    Salamu wakuu................... Jazeni nafasi wazi apo juu Kwanzaa. 😂😂😂 Anyway, straight to the point 👉 Kama kichwa kinavojieleza je, wewe uliufahamuje mtandao huu Binafsi nilikuwa kila nikisearch vitu kwa lugha ya kiswahili kwenye google nikawa naletewa matokeo ya mada hizo yashajadiliwa...
  16. Mr Why

    Mtandao wa Threads hauna faida yeyote kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta inahaja ya kuufunga

    Mtandao wa kijamii Threads hauna faida kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta ina haja ya kuufunga Idadi ya watumiaji wa mtandao huu inazidi kupungua kwa kasi kwasababu mwanzo walidhani ni mtandao wenye faida zaidi ya zile zinazopatikana X Ifuatayo ni mitandao ya kijamii (social...
  17. under timer

    Naomba maelezo zaidi kuhusu mtandao wa haloteli.

    Uku niliko mitandao mingine imekuwa tabu sana ninafanya mawasiliano network inakuwa chini mno Isipokuwa halotel sasa juzi nimesajili haloteli na kiufupi iko vizuri. Lakn kuna mdau akanambia ningesajili laini ya chuo coz ina ofa kabambe mf: yeye hupewa 3000Tsh kila mwanzo wa mwezi. Je hii ni...
  18. L

    Naomba kusaidiwa kwanini mtandao wa Twitter haufunguki Kwangu Tangia jana?

    Ndugu zangu Watanzania, Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa. Leo...
  19. Fundi wa fundi

    Ukosefu wa mtandao wa mawasiliano Umeme na Maji

    Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
  20. Chance ndoto

    Kupush hashtags mtandao wa x

    Habari ndugu zangu, Nimejaribu kushinda sana twitter sasa X siku ya leo. Huwa naona sana matangazo ya siasa au biashara. Tukae haswa kwenye siasa. Baada ya kufatilia maongezi mengi, na kubadirishana mawazo kupitia comments. Kwanza naona mtandaoni siku za sikuhizi wamejaa sana vijana wa makamo...
Back
Top Bottom