mtandao

  1. T

    Mtandao wa TIGO Mbona huu ni kama wizi wa mchana kweupe

    Wanajukwaa kuna mtindo wa mtandao wa TIGO kukata/kutwaa balance za wateja bila maelezo. Ukiingiza vocha kwenye laini yako na ukachelewa kuunga kifirushi, bila maelezo utakatwa hela yako mpakà inaisha. Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani...
  2. Waziri Simbachawene asisitiza matumizi ya Serikali Mtandao kwa Taasisi za Umma ili kuepusha malalamiko ya Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amesisitiza matumizi ya Serikali Mtandao katika kudhibiti vitendo vya uvunjifu wa Maadili katika Utumishi wa Umma ambavyo vinaleta malalamiko Serikalini. Mhe. Simbachawene amesema hayo leo...
  3. Leo nimemalizana na mwalimu wangu kupitia mtandao wa kijamii

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Aisee katika siku ambazo mimi siwezi kuzisahau katika maisha yangu, basi leo ni moja wapo ya siku hizo. Mr Dudumizi nilianza darasa langu la kwanza katika shule moja iliyopo Mburahati jijini Dar es salaam. Shule hiyo kama zilivyo au zilivyokuwa shule nyingi za Dar...
  4. Uhuru wa kutumia Mtandao huwapa Raia Uhuru wa kujieleza ambao ni msingi wa Demokrasia na msingi wa Haki nyingine kwa ujumla

    Kwa mujibu wa Ripoti ya 'Tanzania Elections Watch' ya 2021 Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 unatajwa kuwa moja ya Chaguzi zenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya Siasa za Vyama vingi Nchini Tanzania. Ulifuatiliwa na Watu wengi Kimataifa, kutokana na Mazingira ya kurudi nyuma kwa Demokrasia...
  5. Likawage Wilaya ya Kilwa (Lindi) inadaiwa kuna changamoto ya mawasiliano, watu wanapanda milimani kupata mtandao

    Katika maisha yetu ya kila siku, mawasiliano hutusaidia kujenga uhusiano kwa kuturuhusu kushiriki uzoefu wetu, na mahitaji yetu, na hutusaidia kuungana na wengine. Ni kiini cha maisha, huturuhusu kuelezea hisia, kupitisha habari na kubadilishana mawazo. Sote tunahitaji kuwasiliana. Hata hivyo...
  6. TAMISEMI: Hatutapokea barua ya maombi ya uhamisho, watumishi waombe kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya Watumishi wanaoomba kuhama kushindwa kutekelezewa maombi yao pamoja na kutengenezewa mazingira ya rushwa, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema imebainika kuwa wanaopewa fedha siyo Watumishi isipokuwa ni watu wengine wenye nia ovu katika...
  7. N

    Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

    Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano 0786168340
  8. N

    Ushauri: Vyama vya Siasa viweke nyenzo wanachama wajisajili Kidijitali

    Nashauri vyama vya siasa kuwa na ubunifu wa kuwa na website ambapo mtu kupitia hiyo aweza kujiunga na chama cha siasa atakacho, na kupata Kadi ya Kimtandao.
  9. Kwa nini mtandao wa TTCL unatumiwa sana na matapeli kutuma jumbe zao?

    Nataka kujua kuna ushirika gani kwa hao matapeli na mtandao wa TTCL
  10. Kwa nini nashindwa kufungua websites nikitumia mtandao wa Tigo?

    Nina kifurushi cha Tigo kwenye simu. Pia hutumia hicho kwenye kompyuta. Ajabu siwezi kufungua internet kwa kifurushi cha tigo. Ila youtube na instagram zinafanya kazi vizuri kabisa. Nikitaka kuingia kwenye websites kama hivi JF lazima nitumie kifurushi cha voda. Shida nini?
  11. J

    TARURA kuondoa vikwanzo mtandao wa barabara za Wilaya

    TARURA KUONDOA VIKWANZO MTANDAO WA BARABARA ZA WILAYA Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema maeneo ya kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2023/24 ni Kuondoa vikwazo kwenye mtandao wa barabara za Wilaya ili angalau ziweze kupitika misimu yote. Hayo yamesemwa na mtendaji Mkuu...
  12. Msaada: Mwenye kufahamu mtandao wa Kimataifa kama JamiiForums

    Salaam! Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram. Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri. Asante.
  13. Huduma Mbaya, Uarasimu na kupotea hovyo mtandao wa NHIF

    Nimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi. Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali. Nimeshindwa kupatiwa huduma. Inaathiri muda wa kazi maana nimeomba ruhusa. Tafadhalini fanyeni maboresho hali hii sii njema Naambiwa...
  14. L

    Ni mtandao gani wa simu wenye latecy ndogo?

    Natafuta mtandao wa simu wenye upload na download latecy ndogo. Kwenye local server uwe 80 ms na portland OR server (Century Link) iwe chini ya 250ms. Chief-Mkwawa
  15. Twitter kubadilishwa jina na mwonekano kuanzia leo, Itaitwa "X"

    Ni taarifa iliyotolewa na mmiliki wa Kampuni hiyo, Elon Musk ambaye amesema Twitter itaitwa 'X' na itapatikana kwa tovuti ya 'x.com', pia, 'Logo' ya Ndege wa Blue itaondolewa rasmi na kuanza kutumika logo ya 'X'. Aidha, Musk amesema mwonekano wote wa Mtandao huo utakuwa umebadilika kufikia...
  16. Ukraine wakamata mtandao wa majasusi wa wanawake waliokua wanaisadia Urusi

    Kwenye vita kuna mengi sana, yaani mtandao wa wanawake ambao kazi yao ilikua kutuma taarifa Urusi..... Ukraine claimed to have dismantled an all-female spy network operating in the Donetsk region, which allegedly had been leaking information to Russia’s intelligence services and Wagner Group...
  17. Dereva Private (Tax Mtandao)

    Habari! Naitwa Ashraf, nina miaka 25, Elimu yangu ni Kidato cha 4, nimesoma VIP pale NIT. natafuta gari ya kufanyia kazi (Tax Mtandao). Nipo tayari kwa mkataba au hesabu. Nina uzoefu kama Dereva pamoja na uaminifu wa hali juu. Nina Leseni hai, nimesoma VIP na nina kitambulisho cha taifa (NIDA)...
  18. Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi ahoji kuhusu Usalama wa Taarifa zilizokusanywa na Sarafu Mtandao ya 'Worldcoin'

    Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) na Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC) wameelezea kutoridhishwa kwao kuhusu mradi wa Sarafu Mtandao "Crypto" unaoenezwa na mtandao wa Worldcoin. Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa leo Agosti 2, 2023 na Taasisi mbili za Umma, zimeangazia wasiwasi wa...
  19. SoC03 Uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya mtandao Tanzania: Kukabiliana na mmomonyoko wa maadili kwa jamii hasa watoto kupitia mtandao

    Mtandao umekuwa sehemu muhimu ya Maisha yetu ya kisasa, ukiathiri kila kona ua jamii, elimu, na biashara. Kupitia mtandao , watu wanaweza kuwasiliana, kujifunza, na kufanya kazi kwa njia isiyo ya kawaida. Hata hivyo, Pamoja na furs ana faida zinazotokana na mtandao, pia kumejitokeza changamoto...
  20. Kwanini Mtandao wa TIGO unakula Data kwa kasi sana?

    Wanajukwaa mnaotumia laini ya TIGO kama mimi naomba msaada.Mimi data nikiingia internet zinakwanguliwa faster sana.Issue hii imeanza juzi je ?na kwa wengine iko hivi au kuna nini? Lakini kwenye mtandao wa Airtel data consumption kawaida tu. Changamoto airtel internet kwa maeneo nilipo ni slow...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…