mtandao

  1. Matumizi ya Mtandao yasibague wazee

    Wazee kama yalivyo makundi mengine hawapaswi kubaguliwa kwenye matumizi ya mtandao ili kufanikisha maisha yao ya kila siku. Wanapaswa kujengewa uwezo wa matumizi sahihi ya mtandao unaoendana na mahitaji ya sasa ili waweze kufurahia vizuri haki yao hii ya msingi. Kwa wale wenye mahitaji maalum...
  2. Ripoti ya Mtandao wa Sekta Bunifu Tanzania (CINT) imeonesha COSOTA waliipa JKT kazi ya kukusanya Mirabaha ya kazi za Sanaa

    Taasisi ya CINT inayofanya kazi ya Utetezi, Uzengezi na Uwezeshaji, Kuwaunganisha Wasanii na Taasisi zao na Kuzungumza kwa niaba ya Sekta ya Ubunifu Tanzania katika maeneo ya Sera, Fedha, Sheria, Elimu, Miundombinu na Teknolojia imezindua Ripoti ya Wadau wa Sekta ya Sanaa Tanzania ambapo katika...
  3. TRA waibuka na elimu kwa njia ya mtandao

    Naomna mamlaka ya mapato Tanzania wamekuja na mkakati wa kuelimisha kwa njia ya mtandao kama tangazo hapo juu lilivyojielekeza ( Join conversation )
  4. K

    Awamu ya sita kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Dira ya serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kinara katika...
  5. R

    Ni kwa kiasi gani watu wanakujua kwenye mitandao ya kijamii? Je, kuna hatari gani?

    Ni rahisi kupeana habari na watu unaowasiliana nao mtandaoni. Majukwaa kama vile mitandao ya kijamii inafanya iwe rahisi kwa wewe kutangaza kwa familia yako na marafiki (na hata kwa watu usiowajua, kulingana na mipangilio yako ya faragha) unachofanya na mahali ulipo. Mitandao ya kijamii kama...
  6. TRA yaja na elimu kwa njia ya mtandao

    Mamlaka ya Mapato Tanzania naona imebuni njia ya kutoa elimu kwa mtandao na hii wamekuja na kuhusiana na uboreshaji wa mfumo wao wa e file
  7. R

    Je, ni umri gani unafaa kwa mtoto kuanza kutumia mtandao (tablet za watoto)?

    Kwa jinsi teknolojia inavyokua katika maisha yetu, haiwezekani kumweka mtoto wako mbali na mtandao. Hata ukimzuia muda si mrefu ataingia kwenye ulimwengu huo. Kwa hivyo, ni umri gani unaofaa kumtambulisha mtoto kwa vifaa hivi, na vipi? Vifaa vya watoto: Subiri mpaka shule ya chekechea Wataalamu...
  8. Ustahimilivu wa Digitali Unawawezesha Watoto Kunufaika na Matumizi ya Mtandao

    Ustahimilivu wa digitali kwa watoto ni ujuzi ambao watoto wanahitaji ili kudhibiti na kustahimili changamoto za ulimwengu wa mtandaoni kwa usalama. Ni uwezo wa kutofautisha mema na mabaya katika maisha ya kidigitali, kufikiri kwa umakini, kufanya maamuzi mazuri, na kufahamu hatari na matokeo ya...
  9. Nauli mpya za Mwendokasi, Teksi Mtandao hizi hapa

    Nauli mpya za mabasi ya mwendo wa haraka zitaanza kutumika kuanzia Jumatatu Januari 16, 2023 lakini nauli ya wanafunzi itabaki ileile ya Sh200. Hatua hiyo inakuja baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kuridhia maombi yaliyowasilishwa katika mkutano uliofanyika Januari 3, 2023...
  10. Ulinzi na usalama wa Kimtandao

    Ulinzi wa kimtandao humaanisha tabia anuwai na tahadhari za kujilinda anazofuata mtu wakati anatumia mtandao katika kuhakikisha kuwa habari nyeti za kibinafsi na za vifaa anavyotumia mtandaoni vinabaki kuwa salama. Husaidia kupunguza uwezekano wa kushambuliwa au kupunguza madhara ya shambulio...
  11. Athari zitokanazo na kuzima Mtandao zisipuuzwe. Biashara Nchini Ethiopia zapoteza Dola za Marekani Milioni 145.8

    Ripoti Mpya iliyochapishwa na Shirika la Top10VPN inasema kukosekana Mtandao huko Tigray, Ethiopia Mwaka 2022 kumezigharimu Biashara Nchini humo Dola za Marekani Milioni 145.8 Kuzuia Intaneti pamoja na kuweka vikwazo katika Upatikanaji wake huwaathiri Wananchi Kiuchumi, Kijamii na Kisiasa...
  12. Mtandao wa Halotel wanafanya wizi wa kutisha kwenye bundle za wateja kuanzia leo saa 6 mchana tarehe 05.01.2023

    Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha. Kwa MB 490 ukiangalia video...
  13. Msaada jinsi ya kutumia Mtandao wa Twitter

    Sipendelei sana mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila juzi kati hapa nilijiunga na huu Mtandao wa Maski aliyenishawishi kujiunga ni jamaa (Mwigizaji) mmoja anaitwa Anthony Starr kacheza series ya The Boys na Banshee kipindi mechi za kombe la dunia alikua anatabiri kila timu aliyoshabikia ilikua...
  14. NIDA yaanza usajili wa Vitambulisho kwa njia ya Mtandao

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetambulisha mfumo wa usajili wa watu kwa njia ya mtandao utakaowezesha wananchi wenye sifa za kuomba vitambulisho vya taifa kwa kujaza fomu mtandaoni. Waombaji wa awali watajaza fomu mahali popote walipo bila kulazimika kwenda ofisi za usajili za...
  15. TRA rekebisheni mtandao wenu

    Mtandao wa TRA hasa kwenye efiling system unasumbua sana. Unaweza kutumia zaidi ya siku mbili bado hujaweza kufanya malipo. Halafu kuna suala la faini ; ukichelewa kufile return faini, ukichelewa kulipa fani bila kujali usumbufu wa mtandao wao. Mnapaswa kujua kuwa mfumo huo ndio njia ya...
  16. T

    Natafuta Walimu wa hisabati kupitia mtandao wa zoom

    Natafuta walimu wa hisabati kupitia mtandao wa zoom. Wanaoweza kufundisha kuanzia kidato cha kwanza na zaidi
  17. Twitter imeanza kufunga akaunti za waandishi wa habari wanaomkosoa Elon Musk

    Twitter yasitisha akaunti za waandishi wa habari wanaoandika habari za Musk Twitter ilisimamisha akaunti Alhamisi ya zaidi ya wanahabari nusu dazeni waliokuwa wakiandika kuhusu kampuni hiyo na mmiliki wake mpya Elon Musk. kuwanyamazisha waandishi wa habari kwenye Twitter huku wakidai kuwa...
  18. L

    Watangazaji wanauza machungwa moja kwa moja kwenye mtandao mkoani Hunan China

    Mavuno mazuri ya machungwa yamepatikana mkoani Hunan, China, na watangazaji wanauza bidhaa hizo moja kwa moja kwenye mtandao ili kuwasaidia wakulima kuongeza mapato yao.
  19. B

    MSAADA: Vivo Y67 haishiki mtandao vizuri baadhi ya maeneo

    Vivo Y67 haishiki mtandao vizuri baadhi ya sehemu inashika sehemu zingine haishiki haswa haloteli ndo haishiki kabisa Naombeni msaada nifanyaje.
  20. D

    Bodi ya Mikopo (HESLB) wanakata zaidi ya deni, ukiwafuata unaambiwa omba kurejeshewa kwenye mtandao na usubiri kwa miezi mitatu

    Makosa wafanye wao kukata zaidi ya deni mnufaika unalodaiwa halafu ukiwafuata wanakupa statement wenyewe inaonyesha kweli umekatwa zaidi. Badala ya kuhakiki deni lako na kukuandika hundi wanakwambia rudi nyumbani na kajisajiri kwenye mfumo udai kurudishiwa makato yaliyozidi. Wanakwambia subiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…