Habari wakuu. Kwenye mtandao wa Zoomtanzania ambalo ni duka la mtandaoni, nimeingia na kukuta magari mengi ya mnada. Kuna gari nyingi naona zimeandikwa 'manada wa magari', kwa maana ya kwamba zinapatikana kwenye huo mnada.
Wakuu, kama kuna mtu ana uzoefu na huo mnada, naomba anishirikishe...