CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake.
Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma.
Watumishi wa umma wamewekewa mfumo wa kutathmini kazi zao, na wanatakiwa wajaze taarifa zao humo.
Kwa mujibu wa...
Hello bosses and roses...
Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo.
Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites zangu mwenyewe kuanza kutopatikana kwa users walokuwa wanatumia mtandao wa Tigo na Airtel, ivyo...
Wananchi wa Kata za Njoro na Kaloleni Manispaa ya Moshi wamevamia na kujenga makazi ya kudumu juu ya mtandao wa majitaka na hivyo kukwamisha Oparesheni ya kuzibua chemba zinazoziba.
Mbali na Hilo,wananchi hao wamekuwa wakitumia vibaya mtandao wa majitaka kwa kutupa takangumu kwenye mfumo wa...
Kuelekea miaka 5 ijayo tz ijipange kuboresha huduma ya mtandao ili kuzuia uhalifu na matumizi mabaya ya mtandao hivyo serikali ichukue hatua kuboresha sekta ya mawasiliano ili kupata tija nzuri katika matumizi ya mtandao.
Pia serikali iangalie namna ya kuboresha huduma za mtandao kwani...
MWANZO
Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika safari hii. Ni dhairi, ulazima wa VPN (japo nayo imepigwa marufuku) ili kupata baadhi ya mitandao kama...
Hawa wakopeshaji hutakuja kukutana nao ana kwa ana. Nilikopa kwa shida na nikajutia kukopeshwa.
Swali langu je kwa kuwa wanataarifa zangu kama nakala katika picha yangu na Nida yangu je hawawezi kuzitumia vibaya?
Yaani ni wanatukana matusi na dharau wanadhani ukikopa huna akili, maskini...
Binafsi sijapendezwa na baadhi ya wanajamii forum kubeza mtandao wa TikTok. Mwanzo nilikuwa sio mfuatiliaji wa mtandao huo(TikTok) kwakuwa niliona watu wengi hapa wakisema kuwa hauna maudhi mazuri na kuudharau kutokana na wao wanavyo uchukulia.
Cha ajabu na kushangaza nina mwezi sasa...
Download TIGO PESA APP (play store au app store ) jisajili utapokea 1GB ,
Kama tayari app unayo log out then hakikisha iko updated then log in again utapata 1GB
Umoja wa Ulaya unachunguza Facebook na Instagram ikiwa zinaweza kuwa na uraibu wa kiwango cha juu kiasi kwamba zinakuwa na "athari mbaya" kwa "afya ya mwili na akili" ya watoto.
Pia itachunguza kama wamefanya vya kutosha kuhakikisha kuwa watumiaji ni wa umri unaoruhusiwa kuzitumia, na jinsi...
Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu hawajakamilisha masharti, na kama wakikamilisha basi wataruhusiwa kutoa huduma nchini.
Msikilize hapa
====...
access to information
digital rights 2024
freedom of expression
haki ya kuwasiliana
internet outage
internet outage tanzania
mtandao
nape
nape nnauye
starlink
Salam wadau.
Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.
Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda, tigo, airtel nk. Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo...
Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi.
Tunaelewa kuwa tukio hili limeleta usumbufu na...
Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa...
Ni takribani siku kadhaa sasa tangu internet nchini imekuwa na changamoto.
Hadi sasa tunachofahamishwa ni kwamba kuna nyaya huko baharini zimeleta hitilafu, hilo ndilo kila mmoja nchini utasikia akisema, sasa najiuliza na huu mtandao ulivyo chini ina maana kuna nyaya zilibaki ndizo zinaleta...
Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo ilipelekea tatizo la internet
=================
Umekuwa ukipata shida ya mtandao kwenye hizi siku mbili-tatu ndani ya hii weekend? Umejiuliza kwa nini na kulaumu sana mtandao wako?
Usilaumu sana hili tatizo limesababishwa na...
Nyepesi nyepesi;
Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa mtandao.
Hivyo wamekubaliana kutoa GB 10 kwa kila mtumiaji wa mtandao kama kufidia hasara za bundle...
Baafhi ya kampuni zimekuwa zikiwatumia wateja ujumbe kuwajulisha tatizo la umeme. Nadhani ni suala la kiuungwana sana. Mimi nimetumiwa ujumbe na kampuni ya mawasiliano ninayotumia, na kuna huduma nyingine nimetumiwa ujumbe pia.
Kwa kweli nimejisikia faraja. Je umepata ujumbe wa huduma yoyote...
Internet ipo slow sana lakini tunaweza kujuzana mitandao yenye nafuu.
Hapa natumia halotel 4G, ipo slow kama kobe, Imenilazimu nizime picha kidogo kuna nafuu.
Wewe unatumia mtandao gani, je, kuna nafuu?
Pia soma:
- Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani
- Mitandao ya simu ipige faida ya...