mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fahamu mambo kadhaa kuhusu 'kutafuta mwenza/mchumba/rafiki mtandaoni'

    Asalaam aleykum.. Kristu.. Bwana yesu asifiwe Kutokana na maendeleo ya utandawazi karne hii imekuwa ni kawaida watu kutafuta wenza au marafiki kupitia hasa mitandao ya kijamii,kwa zaman kidogo miaka ya 90 na 2000 mwanzani magazeti yalikuwa yakitumika kutafuta wenza au marafiki lakini kwasasa...
  2. B

    Naanzishaje mfumo wa malipo mtandaoni, kwa kupitia App au kadi

    Juzi kati apa nilipata wazo zuri sana kwenye hii industry ya malipo ya mtandaoni. Na ningependa kujua ni sheria gani natakiwa kupitia au natakiwa niwe na kitu gani ili niweze kuanzisha mfumo huo. Najua hii nchi ina bureaucracy na changamoto na hizo pia ningependa kuzijua.
  3. UTAFITI: Nusu ya Wamarekani wanatamani kufuta akaunti zao mtandaoni

    Utafiti uliofanywa na NordVPN umeonesha kuwa 55% ya Wamarekani wanatamani kufuta kabisa akaunti zao mtandaoni. Huku 18% wakitamani kusingekuwa na internet kabisa. 60% wanatamani kufuta taarifa binafsi. Robo yao wanatamani kufuta picha, video na akaunti zao kwenye mitandao ya kukutana na...
  4. LATRA wafafanua madereva wa taksi za mtandaoni walioandamana kwenda ofisini hapo

    Baada ya Madereva wa taksi za mitandao wameandamana mpaka makao makuu ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Jijini Dar es Salaam kudai kupandishwa kwa bei elekezi ambazo licha ya kupandishwa bado kuna wahusika awazifanyii kazi hali hiyo inatokana na kuendelea kupanda kwa bei ya mafuta...
  5. Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

    Kuna kipindi kiko NatGeo channel 181 DSTV na pia Azam wanayo siko surr ni channel namba ngapi. Hiki kipindi ni mwanadada anakuwa anafuatilia biashara flani haramu to the source anazungumza na clients na wauzaji au wale victims, na watendaji wa uharamia. Ashahoji wauzaji madawa wa mexico, wezi...
  6. Orodha Rasmi ya Watu wanaokaa Mtandaoni Muda mwingi

    Wakuu Kwema! Kuna kasumba moja ambayo watu wasiotumia akili Yao kuchambua mambo wapo nayo, kasumba hiyo ni kudhani watu wanaoshinda Mtandaoni hawana kazi Jambo ambalo sio Kweli. Lazima watu waelewe kuwa, Mtandaoni huwezi ingia pasipokuwa na Bundle, na wote tunajua Bundle ni pesa, Nani asiyejua...
  7. Dkt. Ndugulile aishauri serikali kuruhusu malipo ya mtandaoni kama vile PayPal

    Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ameuliza bungeni kuhusu mikakati ya serikali kufanya mapitio ya ada za usajili wa mifumo ya malipo(fintech apps) pamoja na mikakati ya kuboresha mazingira ya kazi kwa wabunifu wa malipo ya mtandao. Zaidi ya hayo, ameulizia mpango wa serikali kuhurusu...
  8. Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

    Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu. Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya. Tulipiga...
  9. Ni Jukumu la Kila Mmoja Kuhakikisha Mtandaoni ni Mahali Salama kwa Kila Mtumiaji

    Kujua haki na wajibu wako ni muhimu kila wakati, haswa ukiwa mtandaoni. Mtandao unapanua haki yetu ya uhuru wa kujieleza, lakini pamoja na uhuru huo, kuna wajibu wa kuwatendea wengine kwa kuzingatia utu na heshima. Kuwatendea wengine kwa heshima ni muhimu mtandaoni kama tu ilivyo ana kwa ana...
  10. TCRA: Tumia simu vizuri, ukimdhalilisha mwanamke mtandaoni jela inakuhusu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaonya watu wanaofanya vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake mitandaoni, ikisema kufanya hivyo ni kosa la kihalifu kwa mujibu wa sheria za nchi na kunaweza kumpelekea mtu kutozwa faini, kufungwa jela au vyote kwa pamoja. Wito huo umetolewa hivi...
  11. Diamond Platnumz atajwa kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi mtandaoni wiki hii Afrika. Rais Samia ashika nafasi ya 15

    Mtandao wa Top Charts wa nchini Nigeria umemtaja msanii Diamond Platnumz kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi katika wiki hii. Msanii huyo anakuwa wa kwanza kutoka Tanzania kuchukua nafasi hiyo.
  12. Hivi wapo wanaofanikiwa kupata wenza makini (serious) mitandaoni?

    Kwa siku za karibuni kwenye mitandao mbali mbali kumeshamiri maombi ya kuhitaji Wenza...natamani kujua kama kuna utafiti umefanyika kujua mafanikio ya mfumo huu. Maombi haya yamekuwa yakiambatishwa na vigezo lukuki huku vingi ya hivyo ni ngumu hata kupatikana kwa Mtu mmoja. Pia...
  13. Mbunge Neema Lugangira(Viti Maalum) ashauri Biashara za Mtandaoni kuanza kutozwa Kodi

    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Neema amehoji kwa nini biashara za mtandaoni hazitozwi kodi kama biashara nyingine zinazofanyika nje ya mtandao. Mbunge huyo amenukuliwa akisema "Biashara ikifikia mauzo ya 4m, TRA wanatoza Kodi ya 100k/mwaka. Biashara ikifikia mauzo...
  14. Jinsi ya kulinda taarifa zako ununuapo bidhaa mtandaoni

    JINSI YA KULINDA TAARIFA ZAKO UNUNUAPO BIDHAA MTANDAONI Chati hii inaonyesha kwa asilimia nchi zinazoongoza kwa ukuaji wa mauzo ya rejareja ya biashara mtandaoni, huku Ufilipino ikishika nafasi ya juu zaidi Ukuaji wa Teknolojia ya mawasiliano nchini Tanzania, umechangia kwa kiasi kikubwa...
  15. Matapeli wa mtandaoni

    Angalieni hili jizi
  16. Kwanini kiswahili hakipo supported na biashara nyingi za mtandaoni?

    Ukiangalia kitu kama Kindle; biashara ya ebook ya amazon, hairuhusu uchapishaji wa vitabu vya kiswahili na hsli inakubali vitabu vya lugha nyingi ambazo ni ndogo kuliko kiswahili. Cheki hawa admob/adsense, hawakubali kufanya kazi na watu wenye content za kiswahili. Na hapo utashangaa wanasupport...
  17. Je, unataka kumiliki Duka La Mtandaoni- eCommerce?

    Habari; Je una ndoto ya kumiliki DUKA la mtandaoni.Kama jibu ni Ndio basi Unaweza kutimiza ndoto yako kwa mtaji mdogo tu. Tunatoa huduma ya kutengeneza maduka ya mtandaoni kwa gharama nafuu. Yapo maduka ya 900,000shs,1,200,000shs 1,500,000shs,1,750,000shs na kuendelea.Haya ni maduka ambayo...
  18. Pakistan yaanzisha sheria ya uhalifu inayolenga ukosoaji mtandaoni

    Serikali ya Pakistan imeanzisha sheria mpya ya uhalifu wa mtandaoni ambayo inaweza kuwafanya watumiaji wa mitandao ya kijamii kufungwa hadi miaka mitano jela kwa kuchapisha "habari za kughushi " kuhusu jeshi, mahakama au maafisa wa umma. Sheria hiyo iliidhinishwa na baraza la mawaziri la Waziri...
  19. Tanzania nafasi ya pili kwa usalama wa mtandaoni, nafasi ya 6 kwa gharama nafuu Afrika

    Tanzania imeshika nafasi ya Pili kati ya nchi 43 za Barani Afrika zilizoshiriki kwenye dodoso kuhusu Usalama Mtandaoni, lililoandaliwa na Global Cybersecurity Index (GCI). Pia, kati ya Nchi 155 Ulimwenguni, Tanzania inashika nafasi ya 21 kwa unafuu wa gharama za kununua GB 1. Aidha, Tanzania...
  20. Uliwahi kum - "block" au kuwa "blocked" na mtu mtandaoni?

    Nimegundua watu wengi maarufu huwa hawapendi kupingwa mawazo yao, hawapendi kukosolewa na sivyo walivyo km wanavyoonekana kwenye media. Wengi wao ni wapenda sifa tu na umaarufu. Binafsi nimekuwa muhanga wa kuwa blocked mara nyingi na hawa watu sbb ya kukomenti mawazo tofauti na waliyopost...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…