mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Una-deal vipi na matapeli mtandaoni?

    Aisee Hawa watu wakuitwa matapeli wanakera sana. Wakipiga simu ukiwastukia wanaporomosha matusi yani hadi kwa wazazi wako wao wanatukana tu. Hivi haya makampuni ya simu yameshindwa kabisa kutulinda sisi wateja wao waaminifu dhidi ya hawa matapeli?
  2. N

    Napata wapi tena salary slips baada ya kugoma kupatikana mtandaoni?

    Umuofia kwenu!! bado hiyo document haipatikani mtandaoni mpaka leo. maisha yetu ni kukopa na kulipa kila leo.....mwezi julai unakuja, mwezi wa kusomesha vijana wetu. jana nimefika kwenye taasisi ninayokopea wanataka na salary slip ya mwezi mei 2021 na si vinginevyo. naipata wapi, dar au dodoma?!!!
  3. T

    Kumbe kubandika stika ya BIMA kwenye kioo cha gari ni lazima, hata kama umekata BIMA yako mtandaoni

    Wana JF, Leo nlisimamishwa na traffic, akakagua kioo na kukuta sina stika ya BIMA, alivyoniuliza nikamwambia BIMA nshakataa mtandaoni, na kwenye system ya TIRA MIMS inaonyesha gari tayari nina BIMA. Ila kilichonishangaza zaidi ni kuwa huyu jamaa aliniandikia faini, kosa langu ni KUTOKUBANDIKA...
  4. NMB Bank huduma mtandaoni inahitaji muwe na Watalaamu wa IT

    Katika hali ya kushangaza NMB mmeamua kufunga kimya kimya matawi kadhaa mliyofungua kwa mbwembwe huko nyuma. Hata mawakala mliowapa ujiko wa kufungua matawi kwa niaba yenu mmewaacha solemba baada ya kuingia gharama kubwa za ujenzi au mmelipana kimya kimya pia? Siku hizi mmekuja na upepo wa kila...
  5. Huduma ya 'salary slip' mtandaoni imeondolewa?

    Kwanza nilijaribu kutafuta ya may 2021 nikaambiwa no salary slip for selected month. Leo hii ukifungua salaryslip.mof.go.tz huduma haipatikani kabisa. What's wrong!?
  6. Selection za form five 2021 zimetoka?

    Naombeni msaada, nasikia selection za kwenda five2021 zimetoka .. Nilikua naomba msaada wa link itakayonipeleka moja kwa moja kwa selection hizo maana na google lakini sizipati. Msaada wenu please 🙏
  7. Tanzania kuanza kutumia 5G. Sheria ya kulinda Taarifa binafsi za Wananchi yaja

    Na Prisca Ulomi, WMTH Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Faustine Ndugulile amesema kuwa Wizara yake iko mbioni kupeleka Bungeni muswada utakaowezesha kutungwa kwa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi iili kulinda faragha na taarifa za mwananchi. Dkt. Ndugulile ameyasema hayo...
  8. Kuna watu wanabeza Rais kusikiliza maneno ya mitandaoni, kwani watu wa mitandaoni sio Watanzania au hawapaswi kusikilizwa?

    Kuna watu wana hoja mfu sana. Wanabeza Rais kusikiliza maneno ya mtandaoni. Kwani watu walioko mitandaoni sio watanzania au hawapaswi kusikilizwa? Watu wa mitandaoni ndio hawa hawa watu wa mitaani. Au wanadhani watu wa mitandaoni wanatoka sayari nyigine? Mitandao ni platform sahihi kabisa ya...
  9. J

    Je, ukataji tiketi wa mabasi ya mkoani kupitia mtandao una changamoto zozote?

    Habari zenu wakuu, Nataka kusafiri kwenda mkoani na tiketi ya basi nishazoea kukata manual lakini siku hizi ni mtandaoni, ila nilisikia madereva wakitaka kugomea huu utaratibu lakini sikusiukia iliishia wapi. Je, bado wanakata tiketi za mtandaoni au baada ya ule muito wa mgomo ilisitishwa...
  10. TAHADHARI: wimbi la wizi wa Mtandaoni kutumia simu

    habari za leo. Nawataarifu kuwa kuna wezi wanazunguka kwenye vituo mbalimbali wakidanganya watu kuwa wanawarekebishia vifurushi vilivyotajwa na Mh Raisi. Wana swap simcars kuchykua taarifa za akaunti za benki na za mitandao ya simu na kuiba fedha. na kama huna fedha wanakopa kutumia salary...
  11. Kwa TRA Tabora: Nililipa SDL mtandaoni lakini kwa sasa inaniambia payments of tax overdue

    Ninahitaji ushauri, Mimi ni mfanyabiashara hapa Tabora na huwa nalipa SDL ya wafanyakazi bila kuwachelewesha malipo ya mwezi. Tulivyoenda lipa SDL ya mwezi wa kwanza tukalipa na nikaambiwa malipo ya mwezi unaofuata tutalipa online tumefanya hivyo ila sasa ukiingia online ninaona imeandikwa...
  12. J

    Je, umechafuliwa mtandaoni? Fanya yafuatayo

    Jaribu kubaki mtulivu, usijibu hata ikiwa unatamani kufanya hivyo Kulipiza kisasi hakutasuluhisha shida, bali itampa mtu majibu anayotafuta Chukua 'Screenshot' ya hilo chapisho ulilochafuliwa, utaitumia kama uthibitisho ikiwa utakwenda kuripoti
  13. Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

    Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali. Hili kwangu...
  14. S

    Doto Biteko kanusha tuhuma zinazokuandama mtandaoni vinginevyo Watanzania wataaamini kuwa ni kweli

    Waziri wa Madini Doto Biteko kwasasa ni vyema utoke hadharani wewe kama wewe na kukanusha tuhuma zote zinazokuja katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama inavyosema kuwa katika awamu ya sita ulifanya Wizara ya Madini kuwa ni sehemu ya kanda yenu. Kanusha kuhusu wizi wa madini ya Tanzania...
  15. Zungu atoa ufafanuzi kuhusu kodi ya mtandao

    Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, alipendekeza kuwepo kwa kodi ya Uzalendo itakayokatwa kila siku kupitia Mitandao ya Simu kwa kila Mtanzania ili kuwa chanzo kipya cha mapato kwa Serikali. Zungu amejibu kwa ku-comment kwenye ukurasa wa Instagram wa JamiiForums akieleza kuwa Tsh. Bilioni 540...
  16. L

    Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya

    Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya Na Kelvin Isenye Ogome Kutokana na ongezeko la matumizi ya simu tamba na za kisasa pamoja na kuimarishwa kwa mtandao, imekuwa rahisi kwa idadi kubwa ya Waafrika kutumia mtandao katika maisha yao ya kila siku, kama vile...
  17. K

    Natafuta Dereva wa Bajaj wa mtandaoni

    Habari wakuu, Natafuta dereva wa bajaji (sio wa gari)mwaminifu, mchapa kazi na Hana visingizio mwenye leseni hai ambaye ana akaunti hai ya bolt na Uber, mwenye uzoefu angalau mwaka mmoja na mkazi wa Dar na anayepaki maeneo ya Sinza, Mwenge, Makumbusho, Moroco, Mikocheni, Oysterbay au Masaki...
  18. Jifunze fursa 6 za biashara mtandaoni

    Hivi sasa teknolojia imekua ndio kila kitu hakuna mahali unapitia pasipo kutumia teknolojia, hiyo inadhirisha kuwa uwezekano wa kufanya biashara mtandaoni ni mkubwa sana cha msingi ni kujua ni vitu gani vya kufanya ili kuweza kuongeza kipato chako. Kwa kuanza basi ni vyema nikwambie kabisa kuwa...
  19. Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

    Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi? Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu. Kwa mujibu wa gazeti...
  20. Wanaume tuwakubali tulio nao; wanawake wanatuibia sana mtandaoni

    Mim kila siku natoka asubuh kuna eneo flan napitab..sasa leo ni mara ya tatu namwona mdada flan hiv famous sana instagram kwa picha zake nzur nzur m classy....picha zake ni viwanja vikal na kwenye instagrm she is veeeeery light skin. Ila sasa huyu dada had naandika uzi huu asubuh leo mara ya 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…