Hakuna kitu kinarudisha Nyuma maendeleo ya wafanyabiashara wengi kama utapeli wa Mtandaoni.
Mtu unafanya kazi unajikusanya alafu mtu anakuja kukutapeli.
Nimekutana na tapeli ambaye anaishi Dubai na kazi yake ni kutapeli Watanzania kwa kudanganya kuwa anauza magari. Ametutapeli zaidi ya watu...
Baada ya CCM kuitangazia dunia...
Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu!
Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu katika utendaji wa kazi popote pale tulipo,
Kwamba Watanzania kwa tabia sisi ni wadokozi, wala rushwa...
Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaji aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabidi achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia...
Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika kirahisi, usambazaji wa Chanjo katika maeneo ambayo hayafikiki kirahisi) mwana afrika mashariki...
Mwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea...
Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023.
Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
Kwa mujibu wa Wikipedia, Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa. Hivyo basi, ili binadamu awe na afya iliyo bora yaani asisumbuliwe na magonjwa, yapaswa azingatie kula vyakula vyenye virutubisho vyote kama protini, wanga, mafuta. Anatakiwa...
Nyota ya Mtanzania, Gibson Kawago imeendelea kung’ara baada ya kutajwa katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya ubunifu katika uhandisi Afrika inayoratibiwa na Chuo cha Uhandisi cha Uingereza - Royal Academy of Engineering.
Wabunifu watatu wengine wanatoka Nigeria, Afrika Kusini na Uganda...
Mashambulizi ya kimtandao ni jambo la kawaida katika enzi hizi ambapo teknolojia ya habari na mawasiliano inakua kwa kasi. Maendeleo ya kiteknolojia yameleta faida kubwa katika maisha yetu, lakini pia yameleta changamoto na tishio la usalama wa kimtandao.
Teknolojia inaendelea kuwa sehemu...
digital rights
digital rights 2023
digital security
haki za kidigitali
mashambulizi ya kimtandao
mtanzania
ulinzi wa data
ulinzi wa faragha
ulinzi wa kidigitali
ulinzi wa taarifa binafsi
Haki za binadamu ni msingi muhimu katika maendeleo na ustawi wa jamii. Ukiukaji wa haki za binadamu si jambo la kuchukulia mzaha, na inahitaji tahadhari na hatua thabiti. Katika muktadha wa Tanzania, takwimu zinaonesha umuhimu wa kukabiliana na suala hili kwa dhati.
Katika Ripoti ya Haki za...
Jamani kwema?
Mambo yasiwe mengi ngoja niende kwenye Jambo lenyewe,Katika hekaheka nazopewa na mwalimu ulimwengu wiki hii nimejikuta nipo usukumani ndani kabisa,nimekutana na kina Ngosha original achana na Hawa kina Ngosha wa mjini kina Shimba ya Buyenze ,kiukweli nimefurahi Sana kufika huku...
Kumekuwa na huu utaratibu wa muda mrefu wa timu za Simba na Yanga kuhakikisha nahodha na wakati mwingine nahodha msaidizi ni Watanzania. Sijajuaga dhana hii ilijengwa kwa sababu gani ila naona ilishapitwa na wakati.
Kuna vigezo inabidi tuvizingatie katika kuchagua nahodha wa timu, kikubwa...
Jumamosi, tarehe 20 Mei 2023 Tanzania, imeandika historia nyingine kubwa katika Bara la Afrika na duniani. Ni kwa kuzindua Ikulu mpya katika Makao makuu ya nchi, Dodoma.
Ikulu mpya ya Chamwino ilizinduliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, huku wageni mbalimbali wakishuhudia. Ni Ikulu ya...
Msichana wa Kitanzania, Zamana kutoka kijiji cha Irente Juu, Kata ya Magamba, Wilaya ya Lushoto ameshinda tuzo ya Mfalme Charles III wa Uingereza ijulikanayo kama Prince’s Trust. Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2015 na Mfalme Charles III, wakati huo akiwa bado ni mwana wa Mfalme (Prince of Wales)...
😭😭TANZIA TANZIA TANZIA 😭😭
Ndugu zangu ninawaletea taarifa ya msiba mwingine.
Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania mwenzetu bwana Mohammed Ramadhani aliyekuwa akiishi South Africa katika jiji la Cape Town jimbo la Fley.
Ndugu yetu Mohammed amefariki usiku wa jana huko Cape Town kwa kupigwa risasi...
Habari ndugu Wana jukwaa,
Naomba kwa dhati na nia njema tusaidiane kuyaanisha maeneo makuu ya maadili yanaoyebeba kinachoitwa maadili ya mtanzania au Kitanzania ni yapi.
Je, hayo maeneo makuu yanayobeba maadili ya Mtanzania ni yapi?
Nyongeza je, hatua ya viongozi kuwa wala rushwa, wezi...
Umoja wa mataifa umemteua Ghaamid Abdulbasat kuwa mwanachama wa Kamati ya Ushauri (IAC) kwa niaba ya vijana Afrika na duniani kutekeleza itifaki ya Nagoya ya mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Bioanuwai/Mazingira.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, uteuzi wake unalenga...
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa Tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao...
Habari za wakati huu ndugu zangu wote.
Kufanya kazi kwa bidii ni jambo muhimu sana ambalo sote tunahitaji maishani mwetu. Haiwezekani kufikia malengo fulani makuu bila kufanya kazi kwa bidii.
(Picha kwa hisani ya mtandao wa Google)
Kwa maneno mengine ninaweza kusema ya kwamba, mtu asiyefanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.