Abiria mmoja Mtanzania amekamatwa juzi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi nchini India, baada ya kukutwa akiwa amebeba dawa za kulevya aina ya cocaine.
Msafiri huyo aliwasili akitokea Addis Ababa, Ethiopia na dawa hizo zilikuwa zimewekwa kwenye chupa tatu za pombe kali aina ya...
Taarifa za hivi punde zinasema kwamba, Bondia Mtanzania, Ibrahim Najum, amefariki dunia leo Aprili 27, 2023 baada ya kukaa hospitali kwa takribani siku tatu akipatiwa matibabu.
Bondia huyo Aprili 24, 2023 alikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, kufuatia mfadhaiko alioupata na kuanguka...
Wapelelezi nchini Marekani wamefanikiwa kuutambua mwili wa kijana aliyekutwa amefariki dunia kwenye fukwe huko Galveston sland, Texas miaka mitatu iliyopita.
Polisi wa Galveston wameutambua mwili huo ulikuwa wa Calvin Mbwambo (26), na kudai kuwa ni Mtanzania aliyekuwa masomoni nchini Marekani...
Mtanzania Gabriel Geay, ameweka historia kwa kushika nafasi ya pili katika mbio za Boston (Boston Marathon) zilizofanyika kwa mara ya 127 mwaka huu huko Boston, Marekani
Geay alifanikiwa kumaliza mbio baada ya saa 2:06:04 akimaliza nyuma ya kinara, Evans Chebet kutoka Kenya aliyekimbia mbio...
Jarida la TIME limetoa orodha ya Watu 100 Mashuhuri wenye ushawishi zaidi duniani ambapo katika orodha hiyo ametajwa Elizabeth ambaye ni Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Mkataba wa Biolojia Anuwai wa Umoja wa Mataifa (UN).
Pia wametajwa, Waigizaji Michael B. Jordan, Shah Rukh Khan, Colin...
Habari za wakati huu wana wa Adamu, wana wa Ibrahimu baba yetu wa imani.
Nipo hapa kukupa ujumbe ewe ndugu yangu kuwa ni wakati sasa tunahitaji kufanya mabadiliko katika mienendo yetu na maisha yetu hapa duniani.
Ni kipindi sasa tunashuhudia matukio mengi hapa duniani ambayo hakuna ajuaye nini...
Wasalaam..
Heri ya pasaka kwa wakristo na waislam tuendelee na al-futar ili mradi kila mmoja afanye kinachomfaa na kumpasa..
Leo nimeamka na mood ya kuendeleza mpango wangu wa mwaka (kilimo) na baada ya kufika shambani kutazama shamba nasikitika tu, mazao ni kidogo mno, nimewaza huwenda nyenzo...
Jarida la Forbes katika toleo lake la 9 limetoa orodha ya ‘FORBES AFRICA 30 Under 30’ Vijana 30 wenye ushawishi mkubwa Barani Africa kwenye Sekta za Ujasiriamali, Uvumbuzi na Uongozi ambao unakuza uchumi na unaongoza mustakabali wa Afrika ambapo Tanzania imeingiza Vijana wawili akiwemo Mtanzania...
Habari wataalamu,
Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake.
Naomba kujuzwa utaratibu.
Kuna wakati nawaza sana kuwa nimo kwenye nchi ambayo sijui kama mimi ni mmiliki wake ama nani ndiye anayeimiliki. Nadharia ziko nyingi lakini sijaona hata moja inayonifanya nijue nani hasa ni mmiliki wa hii nchi ninayoishi. Kila siku nikiwaza umiliki wangu kwa Tanzania nautilia shaka sana...
Naichungulia timu ya Taifa inayokipiga muda huu, siwaoni wachezaji wa timu unayosema ni bora humo, lakini naona kuna mchezaji wa kizungu huyu au ni macho yangu mabovu!.
☝🏾Picha zingekuwa zinafunga magori nadhani Uganda ingeona cha mtema kuni.
Hii inaweza kuwa motivational post pia ya kuonesha kwamba ulemavu sio kushindwa kabisa.
Kwa upande wa albino nimewaacha maana kwao wana nafuu, bado wanaweza kusikia, kuongea, kuona, kufikiri, kutembea, n.k. hapa kuna kina Manara, Keisha, Abdallah Posi, Albino flani (R.I.P), n.k.
Ila sasa kuna...
Godbless Lema alikuwa hajawahi kutoka nje ya East Africa, aliishia Nairobi tu, siku alipotoka nje ya Afrika ndio akagundua kumbe sisi hatuishi tunadumu. Ndio maana anaropoka tu, asamehewe, mashikolo mageni..
Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani alikokaa kwa miaka zaidi ya 26 alikuta south...
Nikiwa naendelea subiri mzigo wangu Kariakoo, ngoja niwape nondo moja.
Je, upo tayari kupigania nchi yako kwa jasho na damu endapo kuna adui kaingia?
Je, unahani una sababu yeyote ya kupigania nchi hii?
Kama unasoma nakala hii na kujibu "ndio," naona kabisa akili inasaliti moyo. Moyo unasema...
Nimekuwa najiuliza ni hasara ipi ningeweza kupata nisingekuwa Mtanzania au ni faida gani special ambazo napata kuwa Mtanzania. Nikitazama maisha ya nchi nilizowahi kupita naona zina fursa zaidi ya Tanzania kwa utafutaji mfano Malawi, Zambia, Botswana, South Africa, huku biashara zinalipa kuliko...
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇
Watanzania wengi wanafuatilia siasa za Kenya kuliko siasa za Tanzania. Kenya wanao Uhuru wa kufanya siasa na uchakachuaji WA matokeo hakuna kama ilivyo Tanzania.
Tanzania watumishi WA umma wanafundishwa kuheshimu chama tawala wakati Kenya watu wa umma wanafundishwa na katiba kujitenga na siasa...
Mmiliki wa Jengo hilo ( aliyewapangisha Wahanga wa Moto Mkubwa uliotokea ) ni Mzee Mwamba, ila anayekisimamia kwa sasa ni Mkewe Profesa Mwamba wa Chuo Kikuu fulani ambaye pia ni Rafiki wa Karibu mno na Mtanzania Muhimu ambaye hivi Karibuni tu amemfanya kuwa ni Mmoja wa Washauri wake Wakuu na...
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe, Francis Kasavubu Michael ni Mtanzania? Niliposikia jina hili wakati yupo katibu Wizara ya sayansi nilijiuliza hili swali ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...
Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.