mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Adui mkubwa wa Mtanzania ni Mtanzania mwenyewe!

    Naomba nizungumzie kiujumla, licha ya kwamba kati yetu binafsi, wapo ambao wako tofauti na walio wengi. Watanzania wengi ni wajinga [wasiozijua haki zao] na ni waoga sana. Mchanganyiko wa hizo sifa mbili ni kikwazo kikubwa sana katika maendeleo ya jamii. Huwezi kupata maendeleo yoyote yale ya...
  2. T

    Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

    Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa. Kama ni...
  3. Bunge linapitisha mambo mimi kama mtanzania nikiangalia naingia huzuni

    MWANAHABARI nguli na anayeheshimika nchini Tanzania, Pascal Mayala amelitupia lawama Bunge la Tanzania kwa kupitisha baadhi ya mambo ambayo kuna wakati yanampa huzuni na hasira kubwa. "Kuna baadhi ya mambo ambayo Bunge letu limefanya ni mambo ndivyo sivyo,hakuna anayejua mambo haya ni ndivyo...
  4. Diamond aweka historia ya kuwa mtanzania wa kwanza kulipwa pesa nyingi kwenye usiku mmoja hapa Tanzania

    Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa. Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania. Kwa mkataba wa kufanya show ya saa nne juu ya stage pale Ramada. Diamond atalipwa Tshs Million 300. Hajawai tokea...
  5. M

    Nataka kuwa Mtanzania wa kwanza kula nyama kwa Salt Bae

    Nataka kuweka rekodi ya kipekee ya kuwa mtanzania wa kwanza kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae. Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee na adim kula nyama choma kutoka...
  6. Mtanzania atakupa umbea unaotoa ushahidi lakini hatakubali kukusaidia kutoa ushahidi huo mahakamani

    Watanzania ni watu waajabu sana atakupa taarifa in detail ya jambo lolote la kiuhalifu lililotokea lakini ukimuambia sasa naomba taarifa hizi ukanisaidie kuwa shahidi mahakamani hatakubali kwà uoga hii inaumiza sana.
  7. Q

    Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

    Mimi ni layman wa uchumi lakini alichoongea leo Mwigulu Nchemba katika kipindi cha 360 Clouds TV ni Doctorial Rubbish, amesema, "Hakuna siku Mtanzania atakwenda kugongewa mlango kwamba sasa atoe mbuzi alipe Deni la Taifa. Na hakuna siku Mtanzania ataambiwa alipe Deni la Taifa atoe mchango...
  8. Habari mtanzania mwenzetu anaomba support yetu

    Ni jambo la buheri kuwa wanajamvi wote mu wazima Kuna mtanzania mmoja mdogo kiumri kama namzidi miaka mitatu ila niseme ukweli na yeye kanizidi akili kulingana na alichokifanya. Kijana anaitwa Idrisa Amiry ni kijana mdogo amefungua online classified website ambayo ni KUMENOGA baada ya kunipa...
  9. Mtanzania avunja rekodi kwenye mbio za Valencia Marathon

    Mtanzania avunja rekodi kwenye mbio za Valencia Marathon Leo tarehe 4/12/2022, mtanzania Gabriel Geay (26) aweka rekodi mpya ya taifa kwa mbio za km 42 (Marathon) huko Valencia, Spain. Geay kamaliza mbio hizo akiwa wa pili kwa muda wa masaa 2:03:00 ambayo ni muda wake binafsi bora zaidi pia...
  10. Kama kuna Mtanzania mwenye Condoms asizozitumia au za akiba anipe niziwahishe Kenya zilikoadimika wasije 'Kuuana' kwa AIDS

    Taifa la Kenya kwa sasa linapitia Kipindi kigumu hasa kutokana na Kukumbwa na Uhaba mkubwa wa Mipira ya Kiume ( Condoms ) hali inayofanya Wakenya wafikirie mara mbili mbili linapokuja Suala la 'Kubanduana' huku wengine wakimalizia tu Haja ( Nyege ) zao kwa Kupiga Nyeto ( Punyeto ) kwa kwenda...
  11. Kila Mtanzania analamba asali

    Tofaut na awamu Ile. Hivi Sasa kila Mtanzania analamba asali kwa nafasi na nchi inazidi kufunguliwa.
  12. M

    Ujinga wa mwafrika, maandiko ya kihistoria yenye mafundisho kuhusu vikwazo vya wa maendeleo kwa Mtanzania

    WADAU AWAMU YA KWANZA ya uongozi Tz ilitoa fursa ya kuchapishwa maandiko ambayo yalikuwa na mafundisho muhimu kwa kutumia maudhui ya kujikosoa na ambayo yalitupa mafundisho mengi. Moja ya maandiko hayo ilikuwa kupitia vijitabu vidogo vilivyoitwa, UJINGA WA MWAFRIKA" Miongoni mwa maandiko...
  13. Saeed Abdullah Bakhresa, Mtanzania aliyejenga uwanja wa Lusail Qatar unaotumika Kombe la Dunia

    Jina la Saeed Abdullah Bakhresa litaibuka kila wakati Uwanja wa Lusail wenye uwezo wa kuchukua watu 80,000 huko Doha, ambao ni uwanja mkuu, ukitajwa. Mhandisi Bakhresa, mmoja wa wafanyakazi wengi wasio wazawa wa Qatar walioajiriwa ili kutoa kile kilichoonekana kama kazi isiyowezekana kwa wakati...
  14. Sidhani kama Kuna Mtanzania aliezidiwa na Maisha Rais wetu anafanya kazi nzuri

    Humlipii mtoto ada, kuanzia darasa la kwanza hadi kidato Cha sita hizo hela ulizotakiwa kulipa ada unazifanyia nini? Rais amedhibiti kwa kiasi kikubwa Mfumuko wa bei za bidhaa, tunaona kushuka Kwa bei za Mafuta, pembejeo za kilimo n.k. Hizo hela zinazobaki baada ya punguzo mnazifanyia nini...
  15. Mtanzania akifukuzwa kazi, utamsikia 'Nimeamua kuacha, Nifanye mambo yangu' hasemi kuwa nimetimuliwa

    Ahahahaha, Naanza kwa kucheka maana nimekutana na visa vingi vya namna hii. Kuanzia wale walioondolewa kwa vyeti fake na sababu zingine ilikuwa ukiwapigia simu mtu anakuambia kuwa NIMEAMUA KUACHA NIFANYE MAMBO YANGU. Then siku mbili mbele anakupiga sound umsaidie jambo fulani la kifedha au...
  16. Nikiwa kama Mtanzania nawatakia kila la Kheri Watunisia Wote kwa tukio lolote lile liliko Kwao leo

    Na wakitaka nifurahi zaidi nawaomba Watunisia hawa waiishi ile Kauli yao ya Kusema Revenge has no Mercy (Kisasi hakina Huruma) na kwakweli Watunisia leo wasio na huruma kwa tukio lolote lile la leo Kwao huko nchini Tunisia.
  17. B

    Mtanzania aanzisha shirika la ndege/ Diamond launches own airline

    Diamond launches own airline Video: courtesy of SimuliziNaSauti N.B Jambo la kufariji mtanzania kuanzisha shirika la ndege. Ni matumaini mamlaka husika zitaweka mazingira mazuri shirika hili liweze kufanya biashara, kutoa ajira na kulipa kodi . Pia wawekezaji wa kiTanzania wanaothubutu...
  18. S

    Gazeti la Marekani laandika kwamba USA walidanganya kuhusu Mmarekani aliyemuua Mtanzania na kumtorosha asichukuliwe hatua na Polisi

    Mtakumbuka kisa cha Mmarekani aliekuwa akifanya kazi Peace Corps hapa Tanzania, ambaye akiwa amelewa chakari alisababisha kifo cha mwanamke wa Kitanzania. Mtakumbuka pia kwamba maofisa wa ublozi wa Marekani nchini walimtoa polisi kwa madai kwamba alikuwa ni mwana diplomasia, na kumrudisha kisiri...
  19. Hakuna Mtanzania mwenye timamu anaweza kumsikiliza Nape. Ni mnafiki na hana credibility kujifanya ana huruma na upinzani

    Mmesahau zile sauti zilipodukuliwa? Mmesahau alivyojifanya kujipendekeza kwa hayati JPM na kuomba msamaha. Leo anajinasibu ni mwanasiasa msafi na anahuruma ya upinzani ili iweze kufanya mikutano. Huyu ni hyocrite politician mwenye roho mbaya. Ana huruma gani na upinzani. Kwa nini hakusema hii...
  20. Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

    Katika kuhamasisha matumizi ya gesi ya kupikia, serikali yetu itakuja na utaratibu wa kumruhusu mteja kuinunua gesi kwa bei ndogo kulingana na mahitaji yake. Kwa sasa wengi wanashindwa kumudu kutokana na gharama kubwa zilizopo, hivyo mchakato wa kuzipunguza unaelekea mwishoni ili kulifanyia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…